bandari

  1. S

    JamiiForums Tanzania Ni wazi malori ndio chanzo cha ajali nyingi nchini; suluhisho la kutatua msongamano wa malori barabarani ni hili hapa, kama kweli serikali iko serious

    Ni kwamba kimsingi, hakuna haja kabisa ya kuwa na utitiri wa malori tunayoyaona barabarani siku hizi katika barabara za Dar - Mbeya, Dar - Tanga, Dar - Songea, Dar - Arusha na hata Dar - Mtwara. Sasa basi suluhisho ni nini? Serikali iamue, kama kweli inataka kuondoa tatizo la msongamano wa...
  2. JamiiForums Tanzania UWEKEZAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM UNAVYOZIDI KUWAUMBUA WALIOPOTOSHA KWAMBA HAUTAKUA NA TIJA, MAPATO YAPANDA KARIBU MARA MBILI.

    UCHAMBUZI KWENYE GAZETI LA UHURU, GAZETI NAMBA MOJA KWA UKUBWA NA UKONGWE TANZANIA. 📌Baada ya uwekezaji huu sasa Bandari ya Dar yatajwa na Benki ya Dunia kuwa Namba moja kwa ubora na ufanisi Afrika Mashariki na Kati hadi Kusini ikizishinda Bandari zingine kama Lamu, Mombasa, Durban, Beira...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna boom kwa sasa bandari imejaa pomoni, real estate iko juu ila hakuna TRICKLE DOWN kwenye uchumi

    Ukiangalia uchumi wa Tanzania kwa sasa ni upo kwenye boom Uchumi unakua vizuri Bandari inaingiza mizigo mingi sana na moja kielelezo ni kuongezeka maradufu kwa bandari kavu Real estate iko juu sana sahivi watu wanajenga sana Mapato ya TRA yanaongezeka Ila hakuna Trickle down economics...
  4. JamiiForums Tanzania BANDARI YA DAR ES SALAAM YAPANDA KIMATAIFA, YAIACHA MOMBASA NA DURBAN

    Bandari ya Dar es Salaam imeorodheshwa nafasi ya 255 duniani katika Container Port Performance Index (CPPI) 2025, ikiwa mbele ya Mombasa (396), Durban (398) na Cape Town (400). Tathmini ya Benki ya Dunia na S&P Global hupima ufanisi wa bandari kwa kuangalia muda ambao meli hutumia bandarini...
  5. JamiiForums Tanzania Plasduce Mbossa: Bandari ya Dar es Salaam imepanda Kimataifa kutoka nafasi ya 360 hadi 255 katika ufanisi wa kuhudumia makasha

    MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika hatua ya ziada ya kuboresha ufanisi wa huduma na kupanua miundombinu ya bandari zake, huku ikilenga kukabiliana na ongezeko kubwa la meli na mizigo pamoja na kuimarisha ushindani wa bandari nchini katika soko la kimataifa...
  6. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam yaweka rekodi kuhudumia tani milioni 54 za mizigo kutoka tani milioni 37

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam tayari ilihudumia rekodi ya tani milioni 33.7 katika mwaka wa fedha 2025/2026, ongezeko kutoka tani...
  7. JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam Kinara Afrika Mashariki Yaipiku Mombasa kwa Ufanisi Duniani!

    Bandari ya Dar es Salaam imefankiwa kuwa kinara Afrika Mashariki ikiipita rasmi Bandari ya Mombasa ya nchini Kenya katika viwango vipya vya ufanisi wa makontena duniani. Kulingana na ripoti mpya ya Benki ya Dunia (Container Port Performance Index), lango hili kuu la bahari la Tanzania limepiga...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Bandari Ya Dar yazidi kupaa( Ahsante Mama)

  9. JamiiForums Tanzania Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Madhila wanayopata Iran kufuatia kuwekewa vizuizi kwenye bandari zake zote na Marekani

    Mamia ya malori yamekwama bila kufanya kazi katika mpaka wa milimani wa mashariki mwa Uturuki, kwenye njia kuu ya kuingia Iran. Kituo hicho cha mpakani kimekuwa muhimu zaidi kiuchumi kwa Tehran, huku Jeshi la Wanamaji la Marekani likiweka vizuizi katika bandari za Iran. Rais wa Iran, Masoud...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa bandari unaoongozwa na China unafungua fursa mpya za kazi kwa Watanzania

    Abdallah Msofe Abdallah alipojiunga na Kampuni ya Uhandisi wa Bandari ya China (CHEC) miaka sita iliyopita, alianza kama mfanyakazi wa kawaida katika mradi wa ujenzi jijini Dar es Salaam. Leo, Mtanzania huyo anahudumu kama meneja wa rasilimali watu katika mradi mpya wa bandari ya Zanzibar...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bandari kavu zilizopo Kata ya Sandali, Temeke ni kero, malori yanapaki hovyo

    Kata ya Sandali, Temeke kwenye eneo la Wizara ya Mifugo na Kilimo kuna bandari kavu imekuwa kero kubwa sana kwa njia ya kwenda Kanisa la KKKT kupitika sababu malori yamekuwa yanaziba njia na huduma ya usafiri imekuwa changamoto. Yanaharibu barabara yana park mpaka kwenye mitaa imekuwa kero...
  13. M

    JamiiForums Tanzania SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA

    SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA Kuna uwekezaji ambao unaonekana kwenye majengo, magati, reli na mitambo. Lakini kuna uwekezaji mwingine ambao thamani yake kubwa haionekani mara moja kwa macho, ni uwekezaji unaobadilisha namna nchi inavyounganishwa na biashara ya kikanda, namna mizigo...
  14. JamiiForums Tanzania Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko Yakamilika

    Kilwa Masoko Yakamilisha Bandari ya Kwanza ya Uvuvi Tanzania kwa 100% Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi ya Kilwa Masoko umekamilika kwa asilimia 100%, ikiwa ni bandari ya kwanza ya uvuvi nchini. Mradi huo umegharimu Shilingi bilioni 280, fedha zote zikiwa za ndani, na unatarajiwa kuchochea uchumi wa...
  15. JamiiForums Tanzania DP World Yaingia Mombasa Kwa Kishindo.Je Bandari yetu Itaendelea kuwa na Ofanisi au Ndio Wanatukacha Kwa Kuchoshwa na Siasa Uchwara za Wapinzani?

    My Take Nahitaji majibu maana biashara ni ushindani,wakitukacha itakuaje? ============= Rais wa Kenya, William Ruto, ameunga mkono ujenzi wa Eneo Maalum la Kiuchumi (SEZ) lenye thamani ya Shilingi bilioni 12 za Kenya (Ksh12 bilioni) katika eneo la Jomvu, Mombasa, akisema mradi huo utasaidia...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa kweli bandari ya Dar es Salaam inahitaji kuongezewa eneo

    Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali kuimarisha matumizi ya teknolojia usimamizi wa bandari

    Serikali inaendelea kuimarisha matumizi ya teknolojia za dijitali, mifumo ya kisasa ya usimamizi wa bandari na biashara, pamoja na matumizi ya taarifa za kisayansi katika kufanya maamuzi ya kutambua kuwa Uchumi wa Buluu wa kisasa unahitaji wataalamu wenye ujuzi, ubunifu na uwezo wa kutumia...
  18. JamiiForums Tanzania UPANUZI NA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM MAMBO YAZIDI KUNOGA

    UPANUZI NA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM MAMBO YAZIDI KUNOGA UJENZI WA MATENKI YA KUPOKEA NA KUHIFADHI MAFUTA WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 52. Mradi huu Utagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 678 za Kitanzania. Matenki haya yatafanya jumla ya Ukubwa wa Cubic Meter 389000 sawa na Lita...
  19. JamiiForums Tanzania ACT: Tunapinga mpango wa DC Temeke kufuta Kata 10 ili kupisha Bandari Kavu, wamenogewa na biashara

    https://www.youtube.com/live/foCqxnCqX8M ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam imepokea kwa mshangao na kupinga vikali kauli za Mkuu wa Wilaya ya Temeke Ndg. Sixtus Mapunda kuhusu mpango wa kuhamisha wakazi na kuathiri uwepo wa kata zipatazo 10 katika Wilaya ya Temeke kwa madai ya kupisha ujenzi...
  20. JamiiForums Tanzania KERO Utitiri wa ‘Bandari kavu’ kila mtaa Tabata jijini Dar. Nini kinaendelea?

    Hivi inakuaje bandari kavu zinafunguliwa kila mahali? Kwa sasa Tabata nayo imekuwa kama kurasini kila mtaa kuna malori. Viongozi wa mitaa hawapo? Mipango miji hawapo? Tuspoangalia hili litakuwa tatizo hapo! Ninachokiona wanatuzuga na mipango ya kuendeleza makazi Sinza huku wakiongeza hizo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…