banda

Mount Banda Banda, a mountain of the Mid North Coast region of New South Wales, Australia, is situated 320 kilometres (200 mi) from Sydney within the Willi Willi National Park. Banda Banda can be seen on the north western horizon from Port Macquarie. And seen on the south western horizon 39 km from the town of Kempsey. At 1,258 metres (4,127 ft) AHD  it is the highest mountain in the region.

View More On Wikipedia.org
  1. W

    Sheikh Ponda: Mtu akikusanya matrilioni alafu akajenga banda la kuku huyo ni fisadi, BAKWATA wamekusanya matrilioni yako wapi?

    Sheikh Issa Ponda ambaye ni miongoni mwa Waislamu 12 waliofungua kesi dhidi ya Serikali (RITA, Msajili wa Jumuiya za Kijamii kutoka Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali) na BAKWATA leo Machi 12, 2026 amewavaa vikali BAKWATA juu ya matrilioni ya fedha wanayoyapata lakini...
  2. Stuxnet

    Mining Indaba Capetown, Kenya wasio na madini wana banda, Tanzania wenye madini hawana banda

    Mkutano wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Afrika (Mining Indaba) ni tukio kubwa zaidi duniani la uwekezaji wa madini barani Afrika, linalofanyika kila mwaka katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Cape Town (CTICC) nchini Afrika Kusini. Tukio la Sasa: Mining Indaba 2026 Tarehe: Februari...
  3. Kijakazi

    Joyce Banda!

    alikuwa raisi wa kwanza ya malawi mwanamke alichukuwa pia uraisi kama makamu baada ya raisi aliyekuwepo kufariki, uchaguzi ulipofika alishindwa akaachia bila ya mauaji wala majeshi ingwaje alikuwa na makashi kashi ya kufunguliwa mashitaka na serikali iliyofuata kwa ufisadi lkn alishinda akarudi...
  4. M

    Askofu Gwajima: Huu sasa si utekaji bali uchukuaji kama mtu anavyochukua kuku kwenye banda

    "Nilipoongea nanyi tarehe 24|5|2025 nilipoanza hoja ya utekaji umezidi katika nchi nilitoa takwimu iliyotoka TLS-Tanzania law society ya watu waliokuwa wametekwa au kupotea, wengine kupatikana na wengine kuokotwa wakiwa wamekufa na sasa ni almsot miezi mitano baadaye utekaji umeendelea umekuwa...
  5. youngkato

    Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda umiza na jinsi ya kupata leseni

    Jinsi ya Kufanya Biashara ya Kuonesha Sinema/Mpira Banda Biashara ya kuonesha sinema au mechi za mpira kwenye banda ni fursa yenye faida kubwa hasa kwa maeneo yenye wapenzi wengi wa michezo na sinema. Ili biashara hii iwe halali, mfanyabiashara anatakiwa kupata leseni ya biashara kulingana na...
  6. Mr Beach Boy

    Kwa wataalaamu wa ufugaji, Banda hili linaweza kuleta tija kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara?

    Kwa kuanza na kuku kumi wa kienyeji Banda hili linaweza kuleta tija kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji?
  7. Taasisi ya Mifupa-MOI

    DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
  8. R

    TANTRADE waweka banda Maalum la Made in Tanzania

    Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) katika kutekeleza majukumu yake ya kuhamasisha Umma matumizi ya chapa ya bidhaa na huduma zinazozalishwa Tanzania, "Made in Tanzania" imeandaa banda maalum kwenye mkutano wa nchi za SADC Banda hilo linalokutanisha wajasiriamali...
  9. Ileje

    Banda la Yanga lang'ara makombe maonyesho ya Saba Saba

    Hii sasa ni sifa, yaani Yanga imekomba makombe yote ya msimu!
  10. Pfizer

    Wengi wavutiwa Banda la TPA maonesho Sabasaba

    Serikali imeendelea kuweka mazingira wezeshi yanayozidi kuvutia wawekezaji wa kigeni kuja kuwekeza hapa nchini hususani katika sekta ya usafirishaji. Akizungumza na wandishi wa habari kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Bw Plasduce Mbossa, Afisa Mwandamizi wa Masoko Bw Nocha...
  11. Imani rubaba

    Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  12. Last sentinel

    Banda linauzwa

    Helw JF,banda linauzwa laki 5.Lakin halina kitu chochote,umeme upo.Kwa hyo kama unataka kuanza biashara unakuja na vitu vyako,kwa mawasiliano piga 0759-124378,eneo,njeteni karibia na shule ya dar es salaam girls mbezi ya kimara.
  13. DalaliBinamu

    Banda la biashara - Mbezi beach Dar es Salaam

    BANDA LA BIASHARA UKUBWA 6×6 BEI LAKI 6 TU MAWASILIANO _ 0687614981 LOCATION _ MBEZIBEACH
  14. Mtu Asiyejulikana

    Akumbukwe: Abdi Banda

    Beki kitasa alichezea mikia akaondoka kwa maneno sana kwenda SA kama sijakosea .yu wapi sasa? Mbona haitwi team ya Taifa?
  15. Minjingu Jingu

    Rais Kamuzu Banda alizitaka Mbeya, Njombe na Songea kuwa sehemu ya Malawi

    Hii speech ni ya kujiamini sana. Sijui alipata wapi hizi nguvu za kujiamini kiasi hiki kutaka chukua maeneo hayo.
  16. Pascal Mayalla

    Mwanamke Masikini, Mama Pendo (Single Mother wa Watoto Wawili) wa Tageta Machinjioni anavunjiwa Banda lake Saa Hii: Tumsaidie Mamlaka kuingilia kati

    Wanabodi Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pendo akiomba msaada wa haraka,anavunjiwa kibanda chake cha kuishi eneo la Tageta Machinjioni。 Anaomba media tupaze sauti wenye mamlaka wasikie wamsaidie kumnusuru。 Please tumsaidie huyu Mtanzania mwenzetu ambaye ni masikini...
  17. C

    Je, ndio yamenikuta kwenye banda langu la mpira?

    Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta nakodisha banda liliko lipo wazi msimu wa mwaka jana. Mtaa ninao kaa kulikuwa na mabanda mawili ya mpira ila msimu huu jamaa mmoja hakufungua kabisa.Kupita kuuliza nikaambiwa jamaaa kashindwa kwahiyo anakodisha pale Mimi huyo na kiranga changu...
  18. Kadodo1

    Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI

    Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar. Wizara ya Nishati inashiriki katika tamasha hilo kupitia Maonesho ambayo Wizara inatoa huduma moja kwa moja kwa wananchi kwa...
  19. Nyarupala

    Kuna sheria inayomtaka mhudumu wa banda la chips kuwa na cheti cha afya kutoka serikalini?

    Hello! Leo katika pita zangu mtaani kwetu makuburi nikamkuta bwana afya wa kata ya makuburi kibangu wanakoromeana na mmiliki wa banda la chips huku mmiliki wa banda hilo akimnyooshea kidole bwana afya kuwa anafanya utapeli kwa kuwa yeye(mwenye banda la chips) ana miaka zaidi ya mitano katika...
  20. Planet Data bundles

    Natafuta banda la chuma la kununua mwanza au kukodi?? sharti bei iwe kitonga!

    Mwanza igoma Sharti bei iwe chini sana
Back
Top Bottom