Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 274
- 112
Helw JF,banda linauzwa laki 5.Lakin halina kitu chochote,umeme upo.Kwa hyo kama unataka kuanza biashara unakuja na vitu vyako,kwa mawasiliano piga 0759-124378,eneo,njeteni karibia na shule ya dar es salaam girls mbezi ya kimara.