ban

Bánovce nad Bebravou (German: Banowitz, Hungarian: Bán) is a town in Slovakia, in the Trenčín Region.

View More On Wikipedia.org
  1. Sitoomba tena kupigwa ban, hii kazi namuachia Laban OG

    Habari wadau. Poleni na majukumu ya kujenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada mimi shuka chini niliomba kupigwa ban endapo Simba atafuzu kwenda Nusu Fainali. Dah! MUNGU saidia akafuzu. Sasa Mods wakawa wamesahau kunilamba ban sijui mbeya gani akafukunyua uzi wangu hatimae nikapigwa ban...
  2. Tarehe 20.04.2025 Simba akimfunga Stollenbosch goli 3-0 nipigwe ban Miaka 3

    Ndio wakuu, nimerudi tena na msimamo wangu ni ule ule Simba pamoja na kuingia Nusu fainali kwa ndondogela kuchechemea kwingi ila hatoboi hio gemu ya nyumbani tarehe 20.04.2025 anakula goli kadhaa kutoka kwa miamba ya kandanda kutoka kwa Madiba hapo Bondeni Stellenbosch. Mods naomba nieleweke...
  3. Wazee wamemaliza kazi saa 4 ya leo. Yanga tusipopata 3 points kwa Azam nipigwe ban. Sioni Azam wakibana hii game

    Match imeisha tayari. Miundombinu imeshafanyika na kukaa sawa. Kazi imeisha. Azam watake watafungwa, wasitake watafungwa. Sioni kama Azam wana pa kutokea. Hawana piga ua points 3 tunachukua. Wazee wanasema Azam akibana sana bao 2 ndo za chini kabisa. Yanga ikipoteza points nipigwe ban. Sioni...
  4. Leo tarehe 09.04.2025 Simba akimfunga Al Masry goli 3 Mods naomba nipigwe ban Miaka Mitatu

    Wakuu nimesema hivyo leo kwenye ile mechi iliyosubiriwa kwa hamu sana. Simba anatakiwa ili afuzu ashinde goli zisizopungua 3. Mimi nasema Simba uwezo wa kumfunga Al Masry goli hata 1 tu hana, tuliona mechi iliyopita wakachezea goli 2 wakarudi nyumbani. Sasa hivi Al Masry wamekuja huku...
  5. Arsenal akimshinda Madrid leo basi mods wanilime ban ya mwezi. Sioni hawa watoto wa mama wakifanya lolote leo

  6. Tarehe 09.04.2025 ikitokea Simba Sc amemfunga Al Masry Mods naomba nipigwe Ban ya Muda mrefu sana isiyopungua siku 3

    Ndio hivyo wakuu nimesema kwamba hio tarehe tajwa hapo juu ikitokea Simba Sc akamfunga Al Masry goli hata 1 tu ndio namaanisha goli hata 1 tu yaan hata mechi ikiisha 1-1 Mods nipigwe ban ya muda mrefu usuopungua siku 3. Kifupi tu tarehe tajwa hapo juu Simba Sc hatofunga hata goli 1 namaanisha...
  7. Simba akifuzu nipigwe ban ya wiki

    Kiukweli kwa simba hii ikifuzu mimi nipigwe ban ya wiki moja .mimi shuka chini nikotayari. Kwa ban hiyo
  8. Simba hata ikitoa draw kule Misri nipigwe Ban ya siku 7. Haiwezekani hata kwa Dawa

    Mapema sana jamaa wanarudi hapa na kukaa bongo tuendelee kutafutana uchawi. Hawana team ya kushinda kule Misri. Hawana. Hii Simba ya akina Mikwara? Akina Agahuo? Akina nani sijui? Nipo hapa. Matches mbili tu chali. Wanarudi kuja sugua magaga nasisi hapa bongo. Team ya kufika mbali ilikuwa...
  9. Itakuwa haina maana unakaa miezi miwili hujapigwa Ban? Are you dead? Huo ni Uzwazwa

    JF raha yake ni mara umepigwa ban, mara umepiga mtu za chembe, mara amekushtaki mara unaitwa ujieleze, mara mtu kakushtaki unaingia unakuta umepigwa ban unacheka unasema hapa sawa. Ama sivyo moderators wanakuwa bored sana. Wanakuwa kama hawana kazi vile maana sasa watafanya nini? Hamna cha...
  10. Yanga ikienda CAS kwa sababu ya kuahirishwa kwa derby nipigwe ban ya miaka 2

    Unajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia! Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile tunachoamini na hiki ndio ninachoamini: Kwanza, Yanga hawana pesa za kwenda CAS. Pili, Yanga hawana...
  11. Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

    Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣 Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh: Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
  12. Simba ikifungwa na Yanga tarehe 8/03 nipigwe ban ya mwaka mmoja

    Wakuu, huu ni mwaka wa ubaya ubwela. Pamoja na kwamba kuna vitu vinanitia wasiwasi kuhusu Simba hasa kwa performance ya hivi karibuni ila naamini huu ni mwaka wa mafanikio makubwa kwa Simba kuanzia kuchukua NBC hadi CAFCC. Kwa hiyo nawapa Mods mamlaka ya kunipiga ban ya mwaka mzima iwapo...
  13. KMC atake anafungwa asitake anafungwa - Yanga akipoteza point nipigwe Ban Week

    Yanga hii? Aaaargh. Watu watalia sana. KMC leo anachapika vibaya si chini ya bao 2. Yaani kufungwa ni kama Pi. Haina ubishi. Yanga imekamilika kila idara na ndiyo team yenye washambuliaji hatari sana katika ligi. Isitoshe tumefanikiwa kuukagua uwanja asubuhi hii ndo tunatoka. KMC wameisha...
  14. Tabora akiifunga Simba kwa heshima na tahadhima naomba ban ya mwaka

    Kwanza Tabora wachezaji muhimu hakuna kama kawaida yao. Referee ni yule yule Rose Mhando Hawana fitness ya kueleweka Rage yupo kwenye kamati kuu Hata wakibana vipi dk za fidaa ata zifike 150+ patawekwa tuta na watafungwa Ni hayo tuu mods naomba mnitimizie nilichoomba
  15. TP Mazembe rasmi waaga mashindano ya Klabu Bingwa CAF, Yanga SC na hesabu za Calculator kufuzu Robo Fainali

    Klabu ya TP Mazembe imeshindwa kufuzu hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF) mwaka huu baada ya kufungwa bao 1-0 na MC Alger katika mchezo uliochezwa usiku wa Januari 10. Timu hiyo ya DR Congo kwa sasa ina alama 2 baada ya mechi 5, na haina nafasi yoyote ya kusonga mbele hata...
  16. Nipigwe 'ban' ya mwezi iwapo Yanga atavuka hatua ya makundi

    Mimi Dabil nikiwa na akili zangu timamu bila kushurutishwa au kushawishiwa na mtu yeyote,Yanga akivuka hatua ya makundi na kuingia robo fainali nipigwe BAN ya mwezi. Ninetafakari sana,haitatokea Yanga kuvuka hili kundi maana hawana uzoefu wa kuingia robo fainali ya club bingwa mwisho wa ni...
  17. Hii Yanga ya sasa ikikutana na Real Madrid, Barcelona, Liverpool isipozifunga hizo team nipigwe ban milele

    Hii Yanga unaifungaje? Dube gari limewaka moto. Majini yote yametoka baada ya kuombewa na wachezaji wengine wamemwelewa kocha. Aziz Ki mnamwona? Hatari sana Chama je? Ikitokea Yanga hii inacheza na Real Madrid au Liverpool au Barca. Isiposhinda Yanga nipigwe ban. Sifai kabisa kuwemo humu. Hizo...
  18. Simba ikishinda leo dhidi ya Pamba nipigwe Ban

    Ikijitahidi sana ni draw. Sioni ikishinda magoli. Labda itashinda njaa tu. Pamba leo wanashinda. Kwa makafara waliyoyatoa? Mikia kipigo kipo. Tena kipo kweli kweli. Simba ikishinda nipigwe BAN YA SIKU 3. Najua hilo la Simba kushinda halipo. Wakijitahidi sana ni kutoa Draw. Hapo wamejitahidi...
  19. Makonda ajibu tuhuma za kumpiga risasi Tundu Lissu. Asema Lissu ana matatizo ya akili, aende Milembe

    Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo. Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017. Akiongea na wanahabari leo...
  20. Wenye mamlaka, Pigeni Ban VPN

    Yaani watu hadi kwenye daladala anawasha VPN anaendelea na mambo yake. Basi angeweka hata screen protector ile ya Privacy. Yaani kuna wazee wa hovyo kabisa hapa mjini. Yaani basi tu sijasoma IT ila ningekuwa nimesoma ningeandika hata proposal ya kupiga ban kabisa na hizo VPN ili tuwe taifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…