Baloži (pronunciation ; German: Rollbusch) is a town of Latvia situated in the Ķekava municipality just 12 kilometres from the centre of Riga. In 2020, the city had a population of 6,829.
Baloži was founded soon after the Second World War; as a village at the time, it was developed for the nearby peat factory workers. The oldest part of the town is built in a Stalinist style. During the 1970s, territory of the village was expanded towards the A7 highway. During the 1980s this part was built as a modern residential district and called Titurga. In 1991 Baloži received town rights. After the Latvian administrative territorial reform of 2009, Baloži became part of Ķekava Municipality and thus became one of the few Latvian towns which are not municipal centres.
Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
balozi
bashiru
bashiru ally
bungeni
dkt. bashiru
dkt. bashiru ally
dodoma
jamhuri
jamhuri ya muungano
kuteuliwa
mbunge
muungano
na rais
novemba
rais
rais wa jamhuri
tanzania
tarehe
Wakuu, Mnakumbuka huyu Mpuuzi Daudi Balali ,alitoaga Twiti yake alisema 2030 Uchaguzi utakua usotabirika Kwa CCM.
Ni hivi huyu jamaani Mwanamtandaoo, na Ndie aliyemteka Mh Polepole .
Tarehe 21/8/2025 Huyu Jamaa alisimamia Mpango wa kumteka Mh BALOZI POLEPOLE, baada ya kujihakikishia kua...
Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS.
kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo
leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na...
Huyu kamanda aliwahi kuingizwa kwenye kinyang'anyiro cha wale waliotajwa kuwa angeteuliwa kuwa IGP kwenye utawala wa hayati John Magufuli. Hiyo ni kwasababu huko nyuma tayari alikuwa Naibu wa Ernest Mangu aliyekuwa IGP tangu Mwaka 2013.
Baadaye baada ya kufanyiwa figisu aliendelea na cheo cha...
"Ili kuwe na amani lazima haki itamalaki, na hii ni kazi ya viongozi wote...wawe watenda haki, wasiopenda kuvuruga wananchi"-Balozi Mstaafu Brigedia Jenerali Francis Bernard Mndolwa
Pia soma: Brigedia Jenerali, Mndolwa: Wananchi kuongozwa na kiongozi mmoja, haimaanishi kwamba hawana akili...
Cape Town, South Africa
Mheshimiwa Balozi Nathi Mthethwa alipatikana amefariki nje ya Hoteli ya Paris mnamo Jumanne, 30 Septemba. (Picha: Picha za Gallo / Foto24 / Craig Nieuwenhuizen)
Wenzake na marafiki wa Balozi wa Afrika Kusini nchini Ufaransa, Nathi Mthethwa, wanaomboleza baada ya waziri...
Balozi Ali Karume amkosoa vikali Humphrey Polepole
https://m.youtube.com/watch?v=sN6hZvI5faY
Mheshimiwa Polepole ni mwanasiasa shughuli ya ubalozi hakuwa anaufahamu kuielewa wala hakutaka kujifunza ndo maana tunaona haya yaliyotokea, balozi Karume anapigilia msumari harakati za Polepole
Ali...
Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini.
Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani...
Ndugu wana JF na Watanzania wenzangu,
Amani ya Mwenye Enzi Mungu iwe juu yenu!
Nimemsikiliza Mh; Balozi Hamphrey Polepole maelekezo yake leo 29-08-2025, ikiwemo kuhusiana na kifo cha mpendwa wetu Rais wa JMT wa awamu ya Tano,
Nina jiuliza je ili kudhibitisha hili kwamba Mh; Rais kifo chake...
Balozi wa Marekani nchini Lebanon amewapa vidonge vyao waarabu kwa kuwaambia hawajastaarabika.
Tom Barrack ambye ni Balozi wa Marekani nchini Uturuki na mwakilishi maalum wa nchi hiyo nchini Syria alikuwa akizungumza na waandishi wa habari mara tu baada ya ujumbe wa Marekani kuzungumza na Rais...
Balozi anasema usafiri wa kwenda na kurudi upo. Hivyo anatafuta watu wa kujaza magari ya kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba.
Wakazi wa dar es salaam mmekumbana na hali hii kama huku kwetu?
Wasaaalamu
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole???
Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna...
Nimekosa imani kwa Chama Cha Mapinduzi. Naona kimejaa majambazi, wahuni na malaya wa kiitikadi. Namchukia sana Kikwete na genge lake la Wahuni akina Rostam kwa mujibu wa Polepole.
Sipendi kuwachukia watu hawa. Napaswa niendelee kuwachukulia kama ni role models wangu. Kuwa ni watu wanaotumia...
Baada ya kuzuka wimbi la watanzania kudai katiba mpya miaka hiyo kipindi cha Jk kuliibuka matukio mengi ili kuzima wimbi la katiba mpya kwa watanzania
CCM inakujaga na planned and calculated mission za muda mrefu mfano ni mingi ila kwa uchache
Shabuda, Zitto, Sumaye, late Lowasa etc hii ni...
Salaam!
Kuna mtu mahiri sana Katika historia ya nchi yetu ambaye isingekuwa hila za familia moja yenye uchu wa madaraka kule Zanzibar, angekuwa Rais wa nchi Bora sana baada ya Mwl Nyerere.
Imagine mwaka 1964 akiwa na miaka 22 pekee aliteuliwa kuwa balozi kuiwakilisha nchi kule Misri, Akapata...
Hadi kufikia Juni 2025, mkoa una jumla ya viwanda 4,117 vilivyosajiliwa, ambapo viwanda vidogo na vidogo sana ni 4,013, viwanda vya kati ni 69, na viwanda vikubwa ni 35. Hili ni ongezeko kubwa kutoka viwanda 2,441 vilivyokuwepo mwaka 2020. Kwa viwanda vikubwa, kumekuwa na ongezeko kutoka viwanda...
Bandari ya Tanga, ambayo ni bandari ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania, imeendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya kiutendaji na kimazingira kufuatia uwekezaji mkubwa wa Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Kwa muda mrefu, bandari hii ilikuwa ikifanya kazi chini ya...