balozi

Baloži (pronunciation ; German: Rollbusch) is a town of Latvia situated in the Ķekava municipality just 12 kilometres from the centre of Riga. In 2020, the city had a population of 6,829.
Baloži was founded soon after the Second World War; as a village at the time, it was developed for the nearby peat factory workers. The oldest part of the town is built in a Stalinist style. During the 1970s, territory of the village was expanded towards the A7 highway. During the 1980s this part was built as a modern residential district and called Titurga. In 1991 Baloži received town rights. After the Latvian administrative territorial reform of 2009, Baloži became part of Ķekava Municipality and thus became one of the few Latvian towns which are not municipal centres.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Balozi wa nyumba 10 anazunguka kutafuta watu wa kwenda kwenye uzinduzi wa kampeni za CCM

    Balozi anasema usafiri wa kwenda na kurudi upo. Hivyo anatafuta watu wa kujaza magari ya kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba. Wakazi wa dar es salaam mmekumbana na hali hii kama huku kwetu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Media za Bongo mnaandikaje utetezi wa INEC na NIDA wakati hamkutuhabarisha kilichosemwa na Balozi Polepole?

    Wasaaalamu Kama kichwa cha habari kinavyojieleza inakuwaje media za kibongo zinatupa habari za NIDA na INEC wakati hazikutuhabarisha habari zilizosemwa na Mheshim8wa Balozi mstaafu Humphrey Polepole??? Hii imenifanya nikumbuke Former President H E Benjamin Mkapa (rip)alivyowahi kusema hakuna...
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Namchukia sana Balozi Humphrey Polepole. Ananigombanisha na Chama sana

    Nimekosa imani kwa Chama Cha Mapinduzi. Naona kimejaa majambazi, wahuni na malaya wa kiitikadi. Namchukia sana Kikwete na genge lake la Wahuni akina Rostam kwa mujibu wa Polepole. Sipendi kuwachukia watu hawa. Napaswa niendelee kuwachukulia kama ni role models wangu. Kuwa ni watu wanaotumia...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
  5. T

    JamiiForums Tanzania Anayofanya ndg Polepole yamepangwa na CCM na yataisha baada ya Uchaguzi Mkuu

    Baada ya kuzuka wimbi la watanzania kudai katiba mpya miaka hiyo kipindi cha Jk kuliibuka matukio mengi ili kuzima wimbi la katiba mpya kwa watanzania CCM inakujaga na planned and calculated mission za muda mrefu mfano ni mingi ila kwa uchache Shabuda, Zitto, Sumaye, late Lowasa etc hii ni...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua faida ya kuwa na Hadhi ya kuitwa Balozi hata ukiwa Mstaafu na Hasara ya kuondolewa kabisa Hadhi ya kuitwa Balozi

    Ngoja sasa nijiandae kujuzwa zaidi nanyi.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Salim Ahmad Salim ni mstaafu wa kupigiwa mfano, aliteuliwa kuwa balozi Misri akiwa na 22 yrs pekee

    Salaam! Kuna mtu mahiri sana Katika historia ya nchi yetu ambaye isingekuwa hila za familia moja yenye uchu wa madaraka kule Zanzibar, angekuwa Rais wa nchi Bora sana baada ya Mwl Nyerere. Imagine mwaka 1964 akiwa na miaka 22 pekee aliteuliwa kuwa balozi kuiwakilisha nchi kule Misri, Akapata...
  8. Bibianna

    JamiiForums Tanzania RC Balozi Dkt Batilda Buriani: Tanga inaviwanda 4,000 ajira 65,000 zimezalishwa na viwanda hivi Wamachinga 2,300 wamepatiwa vitambulisho 1,100

    Hadi kufikia Juni 2025, mkoa una jumla ya viwanda 4,117 vilivyosajiliwa, ambapo viwanda vidogo na vidogo sana ni 4,013, viwanda vya kati ni 69, na viwanda vikubwa ni 35. Hili ni ongezeko kubwa kutoka viwanda 2,441 vilivyokuwepo mwaka 2020. Kwa viwanda vikubwa, kumekuwa na ongezeko kutoka viwanda...
  9. Bibianna

    JamiiForums Tanzania GE2025 Balozi Dkt. Batilda Salha Burian: Tanga tunakarabati bandari kwa TZS. Bil 429.1 ikiwa ni sababu ya wananchi wa Tanga kumtaka tena Rais Samia Oct 29

    Bandari ya Tanga, ambayo ni bandari ya pili kwa ukubwa nchini Tanzania, imeendelea kushuhudia mageuzi makubwa ya kiutendaji na kimazingira kufuatia uwekezaji mkubwa wa Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA). Kwa muda mrefu, bandari hii ilikuwa ikifanya kazi chini ya...
  10. kyagata

    JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula nae kumbe kaliwa kichwa viti maalumu?

    Huyu mama rafiki wa jk nae ana bifu gani na Hangaya mpaka hadi viti maalumu kaliwa kichwa?
  11. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda

    WAZIRI KOMBO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI RWANDA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mhe. Dkt. Habib Kambanga, katika Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania jijini...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Baada ya kusikiliza mahojiano ya Mr Nyanda na Balozi Polepole, Nimegundua Hoja yake ilipo. Katiba ya JMt inasigana na utaratibu wa vyama vya siasa

    https://www.youtube.com/live/SLd-cTx-idU?si=mNjNJacGsstDpqwD Leo ndo nimemwelewa pole pole anachokimaanisha!! Yani katibu ya JMT iliposema kuwa ikiwa makamu wa rais atachukuwa madaraka baada ya rais kufariki ,kwa utaratibu wa chama imara kama CCM ,ilitakiwa kuwepo utaratibu wa kutia Nia Yani...
  14. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Majibizano kati ya Mchungaji Peter Msigwa akisema Balozi Humphrey Polepole anatafuta huruma

  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Butiku, Balozi Polepole na wengineo mnaogopa Kumtaja huyo Mzee aliyeharibu Mchakato Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma kuwa ni Kikwete?

    Hakuna asiyelijua hili kuwa Kikwete ndiye aliyelazimisha Utaratibu wa CCM usifuatwe Mkutano Mkuu CCM Dodoma na sijui ni kwanini mnaogopa Kumtaja na badala yake Mnafumbafumba tu na hata huko Kufumba kwenyewe wenye Akili Kubwa tumeshamjua kuwa mnayemsema hapa ni Rais Mstaafu na Rais wa sasa Kivuli...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hili tu Balozi Polepole nakuunga mkono 100%, na hata Mimi nililieleza hapa JF kwa Utaratibu wake ila Wanafiki, Chawa hawakunielewa

    GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nitamlaumu Balozi Polepole kwa mengineyo ila kwa hili la kusema kuwa hii siyo Awamu ya Sita kama ambavyo WANAFIKI, CHAWA na WAPUMBAVU wanavyosema na kulazimisha naungana nae kwa 100% zote. Mwaka 2021 hapa hapa JamiiForums nilikuja na Uzi (upo hapa utafuteni) kwa...
  17. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo aagana na Balozi wa Slovakia

    Waziri Kombo aagana na Balozi wa Slovakia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kuagana na Balozi wa Jamhuri ya Slovakia, Mhe. Katarína Žuffa Leligdonová, ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini . Mhe. Waziri...
  18. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Mhe. Balozi Ramadhan Omar Mapuri asisitiza uwajibikaji

    Rai imetolewa na Mjumbe wa Tume HURU Dr Cde Balozi Ramadhan Omar Mapuri kwa kuhimiza uwajibikaji.
  19. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Salamu kwa Balozi Humprey Polepole na wanaong'atuka au kung'atuliwa madarakani

  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa navyo wafahamu CCM na serikali wanaweza kuogopa kupeleka balozi Cuba sasa

    Kwa jinsi karata zilivyochezwa walijua huyu jamaa atakuwa kama jina lake pole pole kumbe kawa kasi kasi sasa na mbinu alizotumia. Usijeshangaa tanzania itagoma kupeleka balozi au hata mtu kwenda huko kukawa kikwazo wakijua ndio watu wanapata ujasiri na kuwa ubobevu ambao leo idara zilizotakiwa...
Back
Top Bottom