balaa

Balaa (Urdu: بلا, lit. 'Monster') is a 2018 Pakistani thriller television series aired on ARY Digital. It is produced by Fahad Mustafa and Dr. Ali Kazmi under their banner Big Bang Entertainment. It stars Bilal Abbas Khan, Ushna Shah, Azekah Daniel, Samina Peerzada, Sajid Hassan, Ismat Zaidi and Mehar Bano. The series follows the story of a limping girl who destroys the lives of people around her due to her own insecurities and imperfections.

View More On Wikipedia.org
  1. Isenye

    JamiiForums Tanzania Lodge za Msamvu Morogoro zimejaa kunguni balaa

    Nimelala lodge ya 25k hapa msamvu ila imebidi tu nikatishe usingizi wangu. Kuna kunguni balaa. halafu kingine kuna malaya kila saa wanagonga milango wanaulizia kama unataka huduma ya papuchi.
  2. Izizimba

    JamiiForums Tanzania Tunakoelekea Mungu atunusuru na balaa lililopo mbele yetu

    Naona zama za kupita kwenye bonde la mauti zimekaribia. Waliokabidhiwa taa kutuvusha hawana macho tena na kadri wanavyopambana kuweka mambo sawa ndivyo wanavyozidi kuharibu. Nahisi imeandikwa na lazima itimie. Ukiangalia mtiririko wa matukio unaona kabisa tunaelekea kabisa kubaya.
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ngoma (wimbo) wa "wembe kupita ule.... ushindi" ni kali balaa, niko hapa nasikiliza, nambari one ni CCM

    Kula chuma hicho ndugu mtanzania. Miezi miwili ya burudani
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Huyu mbuzi kanona balaa

    Huyu mbuzi kanona balaa, lakini wanaochepuka kwenye mahusiano yao wataona ni Mbwa.
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mitaani watu waoga balaa! Ukizungumzia tu mambo yanaoendelea ya siasa, wanakukataa

    Eti mmekaa sehemu mnapumzika mko hata wawili na jamaa mnalambalamba bia ila ukisema ugusie hata stori za mustakabali wa taifa hasa siasa jamaa anakukataa kabisa kwamba ni mwiko kusema chochote eti tutachukuliwa kipindi hiko tukae kimya aisee hii nchi inasikitisha Sana yaani uelewa uko chini ya...
  6. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Wataliban wa Mbagala basi wakiona hii picha wanapepesuka balaa

  7. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Watu wanaiongelea ndege ya B-2 “Spirit” ya US inavyofanya mashambulizi huko Iran, unajua ina balaa gani?

    Sio mara ya kwanza hivi karibuni umeona sehemu mbalimbali kwamba Marekani kutumia B-2 Spirit Stealth Bomber kufanya mashambulizi ya “precision” dhidi ya Iran. Lakini je, tunafahamu B-2 ni nini? Inaweza kufanya nini? Ina gharama kiasi gani? Na je, kama taifa kama Tanzania, tunaweza hata...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye sura za baba zao ni watamu zaidi

    Naomba nijielekeze kwenye mada husika. Tukatae tukubali, Kuna wanawake wanasura ngumu sana. Humu JF na vijiweni tumezoea kusema wana sura za baba au wajomba zao. Kundi hili la wanawake hawana fujo sana kwenye profile zao. Utakuta wameweka neutral profile ambazo hazina nasibu na sura zao kama...
  9. African Geek

    JamiiForums Tanzania Hii misumari ya Iran ni balaa

    Video hapo chini
  10. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kujinasua kwa mtu Mwenye balaa, mikosi?

    Wakuu hivi ni nini kinatakiwa kufanyika pale unapojikuta tayari umedate na mwanamke au mwanaume Mwenye GUNDU,NUKSI,MIKOSI? Nitolee mfano mfano umedate na mwanaume x au mwanamke x na ghafla kesho yake unaanza kuona mambo Yako yanaanza kwenda ndivyo sivyo, vitu haviendi kama mwanzo, je ni njia...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Balaa: Kuna ajali kubwa huko Iwambi

    Kulikoni? Naambiwa Huko Iwambi Mbeya kuna ajali kubwa. Pigia simu ndugu na jamaa.. Sijajua zaidi hadi sasa sababu ni taharuki tupu.. Tusubiri Polisi waseme ===== UPDATES: 1200HRS ===== Watu 28 wamefariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari matatu ikiwamo...
  12. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Majibu ya Rais Samia kwa Kikeke alipoulizwa kuhusu katiba mpya

    Kwani angejibu Tu kistaarabu kama msomi angepungukiwa nini?? Kwanini ni hakikishe hili, basi niachie mimi na Watanzania tutaelewana
  13. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Balaa na Nusu: Kenya wana Kenyans on Twitter (X) ila Tanzania imezaliwa Tanzanians on Instagram (IG). Wanashambulia kama Nyuki

    Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au kwa jina Maarufu Kenyans on Twitter. Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi...
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Batilda Buriani aleta balaa Ngorongoro

    Ubishi mkubwa umezuka,Batilda Buriani anagombania ardhi na wanakijiji Ngorongoro. Kwa hiyo wananchi wamefanya mkutano,amefika mwakilishi kutoka ofisi ya DC. Yule afisa anawaambia,ok tuanze mkutano, lakini kabla hatujaanza mkutano lazima tujue kama akidi imetimia. Kwa hiyo kila mtu aandike jina...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyetoa Mimba ana nuksi balaa

    I will be short ukitaka nuksi, tembea na mwanamke aliye toa mimba, yani amna kitu kitaenda, kama ni business kila siku mambo magumu, ukiajiliwa ndo kabisa, life utoboi wanawake wengi walio toa mimba ndo wanaongoza kwa nuksi mjini, Kama unabisha test zali, kama una demu ukipiga tu napata shida...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Balaa kubwa laipata meli ya kivita ya Marekani kwenye Red Sea.Wapoteza ndege ya kivita ya mabilioni

    Ndege ya kivita yenye thamani ya dola za kimarekani 70mil sawa na mabilioni ya fedha za Tanzania imepotea kwenye bahari nyekundu. Tukio hilo limetolewa taarifa na US navy na kutaja sababu ni wakati wa harakati za kuitayarisha ndege hiyo kwa kuivuta kwa kutumia trekta.Dereva wa trekta ambalo nalo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania WaTanzania wameamka CHADEMA msitegemee wazungu - Hongera Ibrahim Traoré

    Safari zenu za ukimbizi na kufanya kazi nje ya nchi zimewapa kiburi na sasa mnategemea nchi za kimagharibi kuwasaidia katika kupata malengo yenu. Ila kwa sasa itakuwa mumechelewa sana sana kutegemea wazungu ,haya mambo ya kutegemea ughaibuni na nyinyi kutumiwa kutekeleza uasi kwa serikali...
  18. mike2k

    JamiiForums Tanzania Nimepata demu mkali balaa ila ana majini. Naomba ushauri wenu

    Habari zenu wadau. Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini. Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho...
  19. second9

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wana majibu ni balaa

    Jana bwana nikiwa natoka job nikakutana na jamaa yangu mmoja akanipa lift akiwa na wife wake na shangazi wa mke wake naweza kusema na yeye ni mkwe wake. Tukiwa maeneo ya Aga Khan upanga ghafla ikapita G wagon. Mkwe: Wanangu mmeona wanaume hao .... Jamaa: Wanaume wapi, yule mwanamke tena binti...
  20. Action and Reaction

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kata ya Itamboleo wilayani Mbarali ni balaa

    Maadhimisho hayo yaliyojaa shamra shamra, shangwe huku Jina la mama Samia likiinuliwa Juu mawinguni yameenda vizuri hadi kupelekea mgrni rasmi ambaye ni diwani wa kata hiyo kutoa zaidi tani moja na nusu za mchele kwajili ya shule zote zilizopo katani hapo baada ya wakina mama kutoa changamoto...
Back
Top Bottom