Hapa sizungumzii wachaga wa Machame, Masama, Hai hadi Siha ambao wengi ni waislam
Nazungumzia wachaga waislam kutoka Rombo, Marangu, Kibosho na Old Moshi, na Uru na maeneo mengine ya nchi ya Uchagga
ukuwakuta hawa ni wachamungu balaa wameshika dini sana
Tupe exprience yako ushawahi kuwaona pia?