bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Condester Sichalwe Apongeza Ongezeko la Bajeti Wizara ya Kilimo

    CONDESTER SICHALWE APONGEZA ONGEZEKO LA BAJETI WIZARA YA KILIMO Mbunge wa jimbo la Momba Condester Michael Sichalwe ameitazama bajeti ya wizara ya kilimo kama mkombozi kwa wakulima wa mahindi na mpunga kwa kuwa itasaidia kupata Masoko ya nje ambapo pia imeitaka serikali kuhakikisha inatokomeza...
  2. LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema la Jimboni mwao. Mbunge huyo ameeleza mengi, yakiwemo yafuatayo: (i) Mhe Rais Dkt Samia...
  3. Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni Jijini Dodoma

    NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Wizara ya Kilimo ambapo amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  4. Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  5. Vipaumbele 10 wizara ya maliasili na utalii bajeti ya 2025-2026

    Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja vipaumbele 10 itakavyovitekeleza katika bajeti ya 2025/2026 ikiwemo kuendelea kujitangaza kupitia ligi mbalimbali duniani zenye kuangaliwa na watu wengi. Vipaumbele hivyo vimetajwa leo bungeni Mei 19,2025 na Waziri wa Wizara hiyo Dk Pindi Chana wakati...
  6. Bajeti ya Ujenzi 2025/26 yapaa kwa 28.89%, Ulega asema itaharakisha Miradi ya Kimkakati na dharura 81

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2025/26 ya Shilingi trilioni 2.28, ikiwa ni ongezeko la takribani asilimia 28.89 kutoka trilioni 1.769 ya mwaka 2024/25. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, amesema bajeti hiyo inalenga kuharakisha...
  7. Bajeti ya TAMISEMI 2025/26 yaongezeka kwa asilimia 16.38, yatengwa trilioni 11.783 kuboresha huduma na miundombinu

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kauli bajeti ya TAMISEMI shilingi trilioni 11.783 kwa mwaka 2025/26, ikiwa ni ongezeko kutoka trilioni 10.125 mwaka 2024/25 imeongezeka kwa takribani asilimia 16.38 ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita. Bajeti hii inalenga...
  8. Bajeti ya Michezo, Utamaduni na Sanaa 2025/26 yapaa kwa 82.2% hadi TSh Bilioni 519.66 kwa maandalizi ya CHAN na AFCON

    Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeidhinishiwa bajeti ya TSh bilioni 519.66 kwa mwaka wa fedha 2025/26, ongezeko la takriban asilimia 82.2 ikilinganishwa na bajeti ya mwaka 2024/25 ya Shilingi bilioni 285.3. Pia, Soma: Waziri Kabudi aomba Bunge kupitisha Bajeti ya TSh 519.66...
  9. Waziri Aweso apata mtihani, afiwa siku ya hotuba yake ya bajeti

    Muktasari: Miongoni mwao alikuwepo wakati Aweso akiwasilisha hotuba yake ya bajeti, ni Babu Ali ambaye ni mdogo wa Waziri huyo aliyeongozana na wanafamilia wengine kumsindikiza na kujionea tukio hilo. Dodoma. Kifo ni fumbo. Hivi ndivyo unavyoweza kusema kwani kinaweza kumtokea mtu mahali na...
  10. Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  11. Karia, Hersi wakiwa bungeni kushuhudia uwasilishaji bajeti ya michezo

    Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia akiwa na Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge jijini Dodoma leo Mei 7, 2025 kwa ajili ya kushuhudia uwasilishaji wa makadirio ya mapato na...
  12. Mapato yote serikalini yanamezwa na mafisadi — wao wanakula, sisi tunadanganywa na bajeti hewa!

    Wakuu, kama hujawahi kukasirika hadi damu ipande pressure, basi soma huu uzi kwa makini. Hii siyo lelemama, siyo kutafuta kiki wala siasa za kishamba — hii ni sauti ya uchungu, hasira na uhalisia wa mnyonge wa Tanzania anayeishi kwa maajabu ya Mungu. Serikali imetangaza bajeti ya mwaka wa fedha...
  13. Mbunge amsonya Mwenyekiti wa Kikao Bungeni akichangia Bajeti ya Ujenzi

    Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi alivyomsonya Mwenyekiti wa Bunge wakati akichangia Bajeti ya Ujenzi baada ya kuambiwa muda wake wa kuchangia umeisha.
  14. Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Ujenzi ni Bajeti ya Kazi na Utu Waziri Ulega aahidi ujenzi zaidi Dkt. Samia kuzindua Daraja la JPM Makandarasi wazawa kicheko Miji 200 kumulikwa taa Usumbufu kwenye mizani wapata dawa Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
  15. Zitto Kabwe: Miaka 15 niliyokuwa mbunge Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati, Mwaka huu imepitishwa bila mikwaruzano

    Katika muda wa miaka 15 niliyokuwa mbunge miongoni mwa Wizara ambazo mijadala ya bajeti huwa ni vita ni Wizara ya Nishati tangu wakati inaitwa Nishati na Madini. Mwaka huu naona bajeti imepitishwa bila mikwaruzano yeyote. Nilipata kusema huko nyuma kuwa Waziri Dotto Biteko ni 'Simba mwendapole'...
  16. Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hoja Katika Bajeti ya Wizara ya Nishati 2025/2026

    MBUNGE NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOJA KATIKA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI BUNGENI JIJINI DODOMA Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Akichangia Bungeni Jijini Dodoma wakati Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ikiendelea kujadiliwa...
  17. Bajeti yako ya wikiend ni kiasi gani?

    Mimi nimetenga 150, inatosha kabisa kwa vurugu zangu. Hapa hakuna pombe yoyote itakayohusika. Haitoshi tu kua handsome, lazima pia uwe na mavumba kidogo.
  18. J

    Wananchi Dodoma waipa Tano bajeti ya TAMISEMI

    Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye kiasi cha shilingi bilioni 11.7. Akizunguzmia bajaeti hiyo mkazi wa...
  19. Mbunge Masache Aomba Ongezeko la Bajeti ya Barabara

    MBUNGE MASACHE AOMBA ONGEZEKO LA BAJETI YA BARABARA Aprili 16, 2025 Mbunge wa jimbo la lupa Mhe. Masache Kasaka ameomba serikali kuongeza bajeti ili kufanya ukarabati wa barabara za kuingia katika vitongoji. Sambamba na hilo Mhe. Masache Kasaka amempongeza Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
  20. Hivi inawezekana kuishi kwa bajeti ya kila kitu? Chakula, mavazi, matumizi binafsi, nk?

    Ma bro hamjambo....... Hili jambo huwa linanitafakarisha sana, najaribu jaribu bajeti siku chache mara napoteana, ila kiukweli siku nnazoishi kwa bajeti naona kabisa matumizi ya pesa yanakuwa vizuri. Bajeti namaanisha kuanzia eneo la chakula nyumbani, yani unapanga matumizi na kuishi ndani ha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…