bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Je, kutumia pesa za wanyonge nje ya bajeti inayopitishwa na Bunge ndio maendeleo?

    Wasalaam. Tanzania chini ya serikali hii ya awamu ya tano ya wanyonge tumeshuhudia matumizi makubwa ya pesa bila ridhaa ya bunge la JMT. katika awamu hii tumeshudia mkaguzi na mdhibiti wa fedha za serikali CAG akitishwa na luzuiwa kukagua miradi mikubwa ya kifisadi kama ununuzi wa ndege, ujenzi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Asante Lissu amesababisha ajira za walimu kutangazwa, hotuba ya bajeti ya Waziri hapakuwa na hilo

    Ni mtu mpuuzi tu anayeweza kumdharau mtu kama Tundu Lissu. Lissu kasema Serikali haijaaijiri walimu tangu 2014, hapo hapo serikali inaitupa bajeti ya Ndalichako na kaika hali ya kupaniki inatangaza kufungua dirisha la kuajiri walimu kwa maelfu. Katika hotuba ya waziri wa elimu, yeye aliahidi...
  3. mimi mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Simu gani nzuri ya Samsung kwa bajeti yangu

    Nataka kununua Simu. Naomba ushauri toleo gani zuri la Samsung. Bajeti yangu 300,000/= ~ 400,000/=. Nazingatia zaidi good camera na muonekano. Update Niliongeza pesa kidogo nikachukua Samsung A 51, nimeipenda ni nzuri. Asanteni.
  4. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Natafuta Toyota VITZ wakuu! Bajeti yangu maximum 5,000,000

    Natafuta Toyota vitz nzuri. New model au hata old model ambayo iko vizuri. Gari isiwe na vipengele/ubovu (nitafilisika/mke wangu atanilaumu) Bajeti 4,000,000 hadi 5,000,000 Napatikana Kinondoni Dar es Salaam. Mad Max Ndeko mmewadadako Tunzo10
  5. UkweliUsiosemwa

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa Bajeti 2018/19 kwa watumishi wa Umma, utafanyika lini?

    Niwakumbushe Serikali ya CCM mnaenda katika Uchaguzi mkiwa na deni la Madaraja. Wapo watumishi walitakiwa kupanda madaraja katika bajeti ya 2018/19 mpaka leo bado haijatakelezwa.
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

    Weka mawazo ya bajeti yako endapo unapokea kwa mwezi shilingi laki moja 100,000/= ukiwa chuoni hapa tunakadiria kwamba mtu alishalipia gharama ya chumba kwenye hostel ya wanafunzi, hivyo hatasumbuliwa
  7. omutimbasafi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Alteza, bajeti yangu ni milion 5 (tano)

    Wana bodi habari za majukumu na poleni kwa msiba huu mzito wa kuondokewa na Raisi mstaafu B.W Mkapa. Kama kuna mwana jamvi atakuwa na connection ya alteza ambayo ipo sokoni naomba aje PM, pesa ipo mfuko wa shati aje fasta na ukizingatia ijumaa ni weekend lakini pia ni IDDI. Nawasilisha.
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Urusi: Bajeti ya jeshi yapunguzwa kutokana na athari za COVID-19

    Urusi yatarajia kupunguza matumizi kwa jeshi lao kwa 5% kwa mwaka 2021 hadi 2023 kutokana na kupungua kwa bei za mafuta na janga la COVID19 lilivyoathiri uchumi wa nchi hiyo Kwa takwimu za mwaka 2019 Urusi ilikuwa ni nchi ya nne kwa matumizi makubwa ya jeshi. Pesa iliyokuwa ikitumika ilikuwa ni...
  9. The Eric

    JamiiForums Tanzania House4Sale Njoo nikujengee nyumba ndogo flat ya makazi au biashara, nakupa na bajeti yake

    Wakuu mko salama! Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing. Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor. Mfano nina design...
  10. Idd Ninga

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa Bajeti ya Mwaka 2020 kwa njia ya mtandao. Jiunge sasa

    MDAHALO WA BAJETI UKUMBI: ZOOM Topic: Mdahalo Kuhusu ya Nafasi ya Vijana Katika Bajeti MPYA 2020-2021 Time: Jun 27, 2020 11:55 AM Africa/Dar_es_Salaam Join Zoom Meeting Join our Cloud HD Video Meeting Meeting ID: 786 0216 8531 Password: 2sqLi9
  11. T

    JamiiForums Tanzania Zitto ukifumua bajeti hii januari kumbuka na hili la wafanyakazi

    Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo. Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa...
  12. CalvinKimaro

    JamiiForums Tanzania Mbunge anajadili bajeti Youtube badala ya bungeni! Mwingine naye aliomba urais kupitia Youtube

    Karibu wiki nzima bunge lilikuwa linajadili bajeti. Mbunge Zitto Kabwe hakuonekana bungeni hata siku moja kuchangia mawazo. Sasa kaibuka na comedy ya hotuba ya kuchambua bajeti YouTube. Kesho kaitisha press conference eti kufanya uchambuzi wa bajeti. Hivi anajitambua? Mbunge uache shughuli nyeti...
  13. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: ACT - Wazalendo na vyama washirika, Januari 2021 kuitisha Bunge maalum la bajeti kuifuta hii inayopitishwa kesho na CCM

    Zito Kabwe amesema hili leo wakati akiichambua bajeti ya Magufuli 2020/2021 pamoja na kutoa mwelekeo wa chama chake kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba, 2020. Amesema kama chama cha ACT - WAZALENDO kitapata ridhaa ya wananchi wa Tanzania kupitia sanduku la kura ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu na...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, Sh34.88 trilioni

    Bunge la Tanzania leo limeidhinisha bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2020/21 ambayo utekelezaji wake utaanza Julai 1, 2020. Katika kipindi hicho Serikali imepanga kutumia Sh34.88 trilioni kutekeleza shughuli zake zikiwemo za maendeleo. Kura 304 kati ya 371 zilizopigwa. Kura 63 zimepigwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe 'azitoboa' bajeti 5 za serikali ya CCM Mpya

    June 14 2020 Source : Wazalendo TV KIONGOZI wa chama cha siasa cha ACT- Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe, amekosoa Bajeti kuu ya serikali na kusema, kila bajeti inapaswa kutafsiri maono, malengo na shabaha, ambazo hazijawahi kuonekana tangu Rais John Magufuli, kuingia madarakani.” Akizungumza...
  16. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ruja, mwanamama aliyewatapeli watu pesa yenye ukubwa wa nusu ya bajeti ya Tanzania na kupotea kwenye uso wa Dunia

    Miaka saba liyopita, Dr Ruja alikuwa akifanya kazi kama mshauri katika shirika moja la kimataifa linahusiana na mambo ya kifedha. Akiwa hapo, ndipo aliposikia habari za bitcoin, pesa mpya ya kimtandao ambayo ilikuwa imeanza kukua kwa kasi ya ajabu ikiwa huru bila kuhodhiwa na benki kuu. Bei ya...
  17. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aichambua bajeti ya 2020-2021 kitaalam | Malengo ya mpango wa pili wa miaka mitano yamefikiwa?

    TAARIFA KWA UMMA UCHAMBUZI WA BAJETI YA 2020/2021: MALENGO YA MPANGO WA PILI WA MIAKA MITANO YAMEFIKIWA?
  18. Environmental Security

    JamiiForums Tanzania Bajeti inayothibitisha azma ya kuwa na Tanzania ya viwanda na taifa linalojitegemea

    Habari wanaJF, Sina shaka na weledi wa wanaJF wengi humu jamvini, ndio maana nina ujasiri wa kuleta thread hii njema kabisa kwa mustakabali wa taifa letu. Tukiondoa tofauti zetu za kiitikadi na kuja pamoja kama taifa tutatambua kuwa kwakweli bajeti hii ya 20/21, imelenga moja kwa moja...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla adai Waziri Mpango alitumia muda mwingi katika kusifu alipowasilisha bajeti. Asema yeye siyo MATAGA na hatafuti uteuzi!

    Ni katika mjadala wa waandishi kwenye kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari. Pascal anasema bajeti ya nchi inatakiwa kuwasilishwa kitaaluma lakini juzi waziri wa fedha Dr Mpango ametumia muda mwingi katika kusifu ukilinganisha na kuifafanua bajeti. Mwandishi Moses Methew alimpinga Pascal kwa...
  20. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Jicho ndani ya habari: Waandishi wa habari hawajawatendea haki wananchi kwa kutochambua bajeti kuanzia bungeni hadi mtaani, wamjadili Mbowe

    Bajeti za Afrika Mashariki zilisomwa kwa pamoja siku ya Alhamisi lakini magazeti na vyombo vya habari vya Tanzania havijajadili bajeti ya mtanzania bali kuanzia bungeni hadi mtaani mjadala ukuwa wa mbowe na masihala na mjadala wa bajeti unaohusi maisha ya watanzania ukawekwa kapuni. Kwa nchi za...
Back
Top Bottom