bajeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mtanzania, Unategemea nini kwenye Bajeti kuu ya Serikali 22/23?

    Salaam Wakuu, Bajeti ya Serikali imepangwa kusomwa leo saa 1600 na Waziri Mwigulu, Waziri mwenye dhamana ya Fedha. Nini Matarajio yako au Unategemea nini kwenye bajeti itakayo somwa leo? 1. 2021, Serikali ilianzisha tozo kwenye uhamishaji wa fedha na tozo ya muda wa maongezi. Je Tozo...
  2. Dodoma: Bajeti Kuu ya Serikali ya Tanzania 2022/2023

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko la 16% ukilinganisha na bajeti ya mwaka wa fedha 2021/22. Kati ya matarajio ya bajeti...
  3. Bajeti ya 10M nitapata Premio au Runx nzuri?

    Habari ndugu zangu! Kijana wenu ninahitaji gari kwa kumvua mtu. Je kwa budget tajwa hapo juu ya 10M ninaweza kupata toyota Premio iliyo kwenye condition nzuri au Runx? Mwenye uzoefu msaada wa mawazo tafadhali.
  4. Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishiwa Trilioni 14.94 kwa mwaka 2022/23

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Trilioni 14.94 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23. Akizungumza Bungeni amesema miongoni mwa changamoto zilizoikumba Wizara hiyo ni mfumuko wa bei katika soko la ndani na kasi ndogo na ukuaji wa Pato la...
  5. C

    Car4Sale Nissan Dualis inatafutwa kwa bajeti milioni 9

    Kama unayo na umeichoka njoo pm tuyajenge. Dalali tulieni kwanza hela ngumu kwa sasa.
  6. A

    Waziri chengerwa awadhihirishia Watanzania kuwa; kero za Wizara ya Utamaduni na Michezo zinaenda kuisha kupitia bajeti yake ya 2022/23

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mohamed Mchengerwa leo amewasilisha bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 ya zaidi ya shilingi bilioni 35.4 Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni jijini Dodoma Waziri Mchengerwa amesema kati ya fedha hizo Shilingi Bilioni 8.2 ni Mishahara...
  7. Dodoma: Nangasu Werema, Bajeti ya Wizara ya Utalii 2022/2023, ni bajeti bora. Tujiandae kupokea Watalii

    Balozi wa utalii nchini Tanzania Nangasu werema, amesifia. Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii 2022/2023 ilisomwa na Waziri mwenye dhamana Balozi Dkt Pindi Hazara Chana Leo Bungeni Dodoma,ambapo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imeleta bajeti bora zaidi inayojibu na kutatua matatizo...
  8. BUNGENI: Wizara ya Utalii yaomba kuidhinishiwa Bajeti ya Bilioni 624 Mwaka 2022/23

    Kwa mwaka wa Fedha 2022/23, Waziri wa Utalii, Dkt. Pindi Chana ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Tsh. 624,142,732,000 ambapo Bilioni 443.7 zimeelekezwa katika Miradi ya Maendeleo na Bilioni 180.4 ni kwa ajili ya Matumizi ya Kawaida Amesema Sekta hiyo imekuwa na changamoto...
  9. Bajeti Wizara ya Nishati kuanzisha Ujenzi wa Vituo Vidogo vya Kusambaza Bidhaa za Petroli Vijijini

    Watanzania wengi vijijini wanalipa fedha nyingi zaidi kununua nishati ya mafuta, ambayo pia sio safi na salama. Kutibu kadhia hiyo, Serikali imebuni mradi wa uwezeshaji na uendelezaji wa vituo vidogo vya bidhaa za petroli kwa maeneo ya vijijini ambayo hayana vituo vya mafuta kwa njia ya mkopo...
  10. Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Nishati ya Trilioni 2.9: Gridi ya taifa kufika Kigoma na Katavi kabla ya Oktoba 2022

    Salaam, MWANZO 1. Serikali kuanza Ujenzi wa Vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye Magari. 2. Ujenzi wa Mabomba ya kusafirishia Gesi kutoka Tanzania kwenda Kenya na Uganda waanza. 3. Kwa mara ya kwanza Kigoma na Katavi kuanza kupata Umeme wa Gridi ya Tifa. Akisoma Bajeti hiyo, Waziri wa...
  11. Mbunge ataka Bunge lisimame kujadili Bajeti lijadili Yanga kuifunga Simba

    Hao ndio wale wabunge walioteuliwa na Magufuli wanataka mwongozo kwa spika wa kujadili Yanga kuifunga Simba. Nadhani hadhi na heshima ya huu muhimili katika hili bunge inazidi kushuka kila uchwao wabunge wamelifanya bunge kama sehemu ya kufanya mizaha. Mara walie mara wapige sarakasi mara...
  12. Haileti maana kupunguza bajeti ya barabara kwa kuongeza bajeti ya kujenga SGR na kununua ndege

    Moja kwa moja kwenye mada. Na declare interest mapema,mimi Niko kwenye industry ya construction hususani civil works, na naishukiru Serikali walau kwa kuongeza bajeti ya Tarura kutoka Bil.272 kwa miaka 5 iliyopita hadi bil.802 mwaka huu 2022/23. Pamoja na hayo Nimepitia bajeti za Ujenzi wa...
  13. N

    Naomba ushauri simu ya kununua kwa bajeti isiyozidi 750k

    Habari wakuu. Kama heading inavyojieleza, naomba ushauri kuhusu simu ninayoweza kuipata kwa bajeti isiyozidi laki saba na nusu (750k) Binafsi ninapendelea brand ya samsung na xiaomi
  14. Waziri wa Ulinzi Na JKT, Dkt Stergomena Tax akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi 2022/23 Bungeni

    Hotuba ya Waziri wa Ulinzi na JKT, Dkt. Stergomena Tax wakati akiwasilisha Bajeti ya Wizara yake kwa mwaka wa Fedha 2022/2023 Bungeni, Mei 19, 2022. HOTUBA YA DKT. STERGOMENA LAWRENCE TAX (MB), WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA WA...
  15. HOTUBA: Waziri wa Habari, Nape Nnauye akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi 2022/23

    Waziri wa Habari Nape Nnauye akiwasilisha Makadirio ya Bajeti ya Mapato na Matumizi 2022/23 Laini za simu Aprili, 2021 - laini 52,965,816 Aprili, 2022 - Laini 55,365,239 Sawa na ongezeko la 4.5% Watumiaji wa intaneti Aprili, 2021 – Watu Milioni 29.1 Aprili, 2022 – Watu Milioni 29.9 Wawa na...
  16. Ajenda ya vijana katika bajeti ya Serikali iangazwe sekta zote

    AJENDA YA VIJANA KATIKA BAJETI YA SERIKALI IANGAZWE SEKTA ZOTE Na; Victoria Charles Mwanziva: (Katibu wa Idara ya Uhamasishaji na Chipukizi UVCCM Taifa) Vijana ndio dira ya maendeleo kwa Taifa lolote lile linaloendelea ulimwenguni, huwezi kuyapata maendeleo ya kweli na yenye tija kwa Taifa...
  17. J

    Shaka amezitaka taasisi za umma zenye miradi mikubwa ya maendeleo kuwa na bajeti maalum ya kuhudumia miradi hiyo

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM taifa Shaka Hamdu Shaka amezitaka taasisi za umma zenye miradi mikubwa ya maendeleo kuwa na bajeti maalum ya kuhudumia miradi hiyo. Shaka alisema hayo leo wakati alipotembelea hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Manyara mjini Babati. “Nitoe wito kuwe na bajeti maalum...
  18. Elimu ya Bajeti kwenye Familia.

    ELIMU YA BAJETI KWENYE FAMILIA! Anaandika, Robert Heriel. Picha linaanza nikaambiwa kwenye maisha hakuna pesa ndogo, sijafika mbali naambiwa nisiidharau pesa yoyote ipitayo mikononi mwangu. Picha linaendelea naambiwa usidharau kazi yoyote Ile ambayo iko mbele yako, siku zote fanya...
  19. Wizara ya Maji yaomba Bajeti ya Tsh. 709,361,607,000

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameomba Bunge kuidhinisha Fedha hizo kwa Mwaka 2022/23 ambapo Matumizi ya Kawaida ni Tsh. 51,462,269,000 Akiwasilisha Hoja yake Bungeni Waziri Aweso amesema "Jumla ya Bajeti ya Maendeleo ni Tsh. 657,899,338,000. Kati ya hizo, Tsh. 407,064,860,000 ni Fedha za Ndani na...
  20. Prof. Mkenda wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia asoma Bajeti ya Makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2022/23

    HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA PROF. ADOLF FAUSTINE MKENDA (MB), AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2022/23 A. UTANGULIZI Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa ndani ya Bunge lakoTukufu na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…