bajeti ya wizara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dkt. Gwajima D

    Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii kwa mwaka 2025/26

    Wasaalam. Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha wa 2025/26 itasomwa tarehe 27 Mei, 2025. Karibuni kwa ufuatiliaji. Ahsanteni sana.
  2. Stephano Mgendanyi

    LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo

    LEO BUNGENI DODOMA - Bajeti ya Wizara ya Kilimo Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameelezea umuhimu wa uanzishwaji wa Mradi wa Kilimo cha Umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema la Jimboni mwao. Mbunge huyo ameeleza mengi, yakiwemo yafuatayo: (i) Mhe Rais Dkt Samia...
  3. Stephano Mgendanyi

    Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo Bungeni Jijini Dodoma

    NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOTUBA YA BAJETI KUU YA SERIKALI YA WIZARA YA KILIMO, BUNGENI JIJINI DODOMA Mbunge wa Jimbo la Ngara, Mhe. Ndaisaba George Ruhoro tarehe 21 Mei, 20245 amechangia hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali ya Wizara ya Kilimo ambapo amempongeza Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  4. Waufukweni

    PICHA: Jerry Silaa alivyopigwa busu na mkewe kabla ya kuwasilisha hutuba ya bajeti ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, akimbusu mke wake Mariamu, wakiagana naye kabla ya kuingia bungeni kuwasilisha hotuba ya taarifa ya makadirio, mapato na matumizi ya wizara hiyo, jijini Dodoma, leo Mei 16, 2025.
  5. U

    Bajeti ya wizara ya viwanda na biashara

    Habari wana Jamvi Leo nilipata wasaa wa kusikiliza Hoja ya Mh Selemani Jafo(Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara ambapo Bunge limeidhinisha maombi ya shilingi Bilioni 135 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 Lakini kuna jambo limenishangaza sana Kwanza Mh alikuwa anachapia karibu Hotuba nzima yaani...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026

    Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Ujenzi ni Bajeti ya Kazi na Utu Waziri Ulega aahidi ujenzi zaidi Dkt. Samia kuzindua Daraja la JPM Makandarasi wazawa kicheko Miji 200 kumulikwa taa Usumbufu kwenye mizani wapata dawa Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Akichangia Hoja Katika Bajeti ya Wizara ya Nishati 2025/2026

    MBUNGE NDAISABA RUHORO AKICHANGIA HOJA KATIKA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI BUNGENI JIJINI DODOMA Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara Akichangia Bungeni Jijini Dodoma wakati Hotuba ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Nishati kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ikiendelea kujadiliwa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mhandisi Mwanaisha Ulenge akichangia Bungeni bajeti ya Wizara ya Mipango na Uwekezaji

    "Nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa mageuzi makubwa ya Mipango na Uwekezaji katika Taifa letu. Rais Samia ameamua kutokuogopa na kusimama kwa utulivu katika kusikiliza wataalamu kulisaidia Taifa letu" - Mhandisi Mwanaisha Ng'anzi Ulenge, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tanga "Taifa...
  9. Wizara ya Ardhi

    Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya utekelezaji bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa nusu mwaka 2024/2025

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Katika kikao hicho...
  10. Roving Journalist

    Mchango wa Luhaga Mpina akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025, Mei 30, 2024

    Mheshimiwa Spika, awali ya yote nianze kwa kumpongeza Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) kwa uwasilishaji wake mzuri wa hotuba yake ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka 2024/2025. Mheshimiwa Spika, Niwapongeze Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za...
  11. K

    Dakika 47 ya Halima Mdee wakati wa kupitisha bajeti ya Wizara ya Ujenzi

    Kwanza kabisa nikupongeze Mhe. Halima Mdee wewe ni jembe. Leo umemfanya Mwigulu - Waziri wa Fedha, Bashungwa - Waziri wa Ujenzi na Mbarawa - Waziri wa Uchukuzi. Leo umewafanya waonekane si chochote mbele ya hoja yako. You have reduced them to nothing. Hakika wamepwaya. Nije kwenye mada. Mhe...
  12. Pfizer

    Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100

    BUNGE LAPITISHA BAJETI WIZARA YA UJENZI KWA ASILIMIA 100 Kwa kauli moja Bunge limepitisha bajeti ya Wizara ya ujenzi ya Shilingi trilioni 1.77 kwa asilimia 100 ambayo inakwenda kutekeleza vipaumbele tisa kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ujenzi wa barabara, madaraja, vivuko, mizani na...
  13. Roving Journalist

    Mchango wa Luhaga Mpina akichangia Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje Mwaka wa Fedha 2024/2025, Mei 28, 2024

    Mheshimiwa Spika, Awali ya yote naomba nimpongeze Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuph Makamba (Mb) Naibu Mawaziri, Makatibu Mkuu na watumishi wengine wa Wizara kwa hotuba nzuri yenye taarifa muhimu za kutuwezesha waheshimiwa wabunge kujadili na kufanya...
  14. BARD AI

    Zaidi ya Nusu ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi itatumika kwenye Matumizi ya Kawaida

    DODOMA: Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Bilioni 171,372,508,000 kwaajili ya Matumizi yake kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ambapo zaidi ya Nusu ya Bajeti (Tsh. 93,930,673,000) imeelekezwa katika Matumizi ya Kawaida Pia, Wizara imeomba kiasi...
  15. M

    Bajeti ya Wizara ya Viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani wanaoteseka kwa kodi

    Bajeti ya wizara ya viwanda ieleze itakavyosaidia wazawa na wazalishaji wa ndani, kuna wanasiasa wanaingiza baadhi ya bidhaa hazinakodi na zile zinazozarisha ndani ya nchi wanatozwa kodi kubwa kupelekea bidhaa zao kushindwa kushindana sokoni na kisha viwanda kufungwa na kukosa ajira kwa watu...
  16. Roving Journalist

    Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya UIinzi na Jeshi Ia Kujenga Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Mei 20, 2024

    HALI YA ULINZI NA USALAMA WA MIPAKA YA NCHI Mheshimiwa Spika, katika Mwaka wa Fedha 2023/24, haIi ya mipaka ya Nchi yetu yenye urefu wa jumIa ya kiIomita 5,923.41, ambayo inahusisha eneo Ia nchi kavu na eneo Ia maji, imeendeIea kuwa shwari. Mipaka hiyo ni baina ya Tanzania na Burundi, Jamhuri ya...
  17. instagramer

    Kwa Hii bajeti Ya Wizara Ya Ulinzi Naomba Msinishawishi Kwamba Nchii Hii Ni Masikini

    Kama Tunavyojua Uimara Wa Taifa Lolote Kiuchumi Duniani, Ikiwemo Marekani Na Uchina Basi Ni Kuwekeza Nguvu Zaidi Katika Kuimarisha Ulinzi Na Usalama Wa Nchi. Lakini Jambo Hili Ni Kinyume Kidogo Na Nchi Za Kiafrika Ambazo Bado Zinapambana Kujikwamua Kwenye Lindi La Umaskini. Lakini Kwa Bajeti...
  18. Ojuolegbha

    Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, kwa Mwaka wa fedha 2024/25

    Hotuba ya Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, kwa Mwaka wa fedha 2024/25
  19. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Wasaalam. Nawashukuru watanzania wote kwa ufuatiliaji wa wasilisho la bajeti ya wizara ya jamii 2024/25. Namshukuru Mungu kwamba, mjadala mkubwa wakati wa uwasilishaji, ni ishara ya elimu kuifikia jamii kwa kina kuhusu kupambana na kutokomeza ukatili wa kijinsia na kudhibiti mmomonyoko wa...
  20. Roving Journalist

    Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka 2024/25

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. 67,905,259,000 inayotarajiwa kutumiwa na Wizara hiyo katika kipindi cha mwaka 2024/25 Katika wasilisho lake Bungeni, Waziri Dkt. Doroth Gwajima amesema Tsh. 47,487,079,000 kati ya Fedha hizo...
Back
Top Bottom