bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata bajaji 3 M iliotumika mwaka mmja tu?

    Je naweza kupata bajaji kwa 3 M iliotumika mwaka mmja tu
  2. JamiiForums Tanzania Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

    Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo; Aina ya bajaji ni RE Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili...
  3. JamiiForums Tanzania TAKUKURU KILIMANJARO: Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji, LATRA NI MZIGO!

    Katika mji wa Moshi, mkoani Kilimanjaro, kumekuwa na malalamiko kuhusu usimamizi wa makusanyo ya fedha kutoka kwa bajaji. Vyombo vya usalama vinapaswa kufuatilia hali hii, kwani kuna madai kwamba wahusika wa LATRA wamejifanya kama vishoka. Wasimamizi hao wapo maeneo maalum, wakiwa wamevaa sare...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Bajaji aliyoacha marehemu mama imeanza kunigombanisha na baba yangu mzazi pamoja na dada yangu tumbo moja nifanyeje?

    Heshima yenu! Wanajamii Jf! Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa! Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa Bodaboda na Bajaji: Hatutashiriki Maandamano ya CHADEMA

    Shirikisho la waendesha bodaboda na bajaji Nchi Tanzania leo Septemba 22, 2024 wametoa msimamo wa kutokushiriki maandamano ambayo yamepangwa kufanyika siku ya Septemba 23, 2024 Mkoani Dar Es Salaam yaliyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA. Msimamo huo umetolewa na Mwenyekiti...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa milioni 2 kama kianzio naweza kupata bajaji ya mkopo

    Habari? Nina milion2 kama kianzio naona nitafute bajaji ya mkopo, vipi inawezekana na inautaratibu upi? Hii pesa nimekosa wazo zuri la biashara naona itaisha tu. Au kama kuna mtu ana wazo zuri wakuu anisaidie. Natanguliza Shukurani.
  7. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata mkopo wa bajaji kwa marejesho nafuu kwa siku

    Kuna taasisi nimewapigia wakanipa utaratibu wao kianzio ni milioni moja na marejesho kwa wiki ni 177,800 kwa miezi 24 haya marejesho ni gharama mno
  8. JamiiForums Tanzania Jamaa yàngu ndàni ya wiki Mbili kanunua Bajaji Kwa Pesa za uganga wa jadi WA mchongo, wateja wakiwa waomba Ajira

    Kwema Wakuu! Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA. Ungeelewa Kwa nini hata Mchumba wake alimbwaga. Kajamaa kalikuwa kamejichokea haswa. Moja haisomi Mbili haikai. Sasa...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Bajaji & bodaboda Authority inahitajika?

    Kwa kuwa latra wameshindwa kusimamia bajaji na bodaboda japo wanawapa leseni, kuna uhumuhimu wa kuwa na chombo cha kudimamia hawa vijana maana wasipo simamiwa na janga la taifa. Bajaji na bodaboda wanafanya kazi nzuri sana hasa maeneo ambayo mabasi na usafiri mwingine haufiki. Pia wanafanya...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Vijana wa vyuoni, mjifunza na mjichanganye na bodaboda, mama ntilie, kinyozi, dalali, wafugaji, n.k. Just in case ! walezi na wazazi muwasihi.

    MOVED >>
  11. JamiiForums Tanzania Morogoro: Afisa anayetuhumiwa kuingia mitini na fedha za madereva za kulipia Leseni za LATRA asimamishwa kazi

    Dar es Salaam, 18 Julai, 2024 Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) iliona taarifa zilizosambaa kupitia mtandao wa Jamii Forums tarehe 17 Julai, 2024 kuwa, "Afisa anayejulikana kwa jina la Fadhili anawalazimisha Madereva wampe fedha awalipie Faini na Stika za LATRA kwa madai mfumo...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Huyu Afisa anaichafua LATRA-Morogoro, anachukua fedha za stika na faini za Madereva Bajaji na kuanza kuwatisha

    Kuna Afisa mmoja wa LATRA Morogoro anafahamika kwa jina la Fadhili, huyu mtu ni hatari sana kwa Vijana wanaoendesha Bajaji, anatutesa sana sisi Vijana na kinachouma zaidi ni kuwa inavyoonekana Wakubwa wake wa kazi wanajua michezo yake lakini nao wapo kimya. Afisa huyu ana mtindo wa kulazimisha...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba link ya LATRA niweze kutengeneza control number ya kulipia bajaji.

    Kichwa cha uzi kinajieleza.naomba kwa mwenye uelewa anisaidie
  14. JamiiForums Tanzania Mimi ni dereva mzoefu, natafuta Bajaji

    Habari wakuu, Bila kuwachosha sana niende kwenye mada. Mm ni dereva Mzoefu ninatafuta Bajaj iwe ya mkataba au hesabu popote ndani ya Dar es salaam. Contacts. 749662314 Nawaslisha. Wasalaam
  15. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huu ni ukurasa rasmi wa Mo Dewji wa kuuza bajaji?

    Habari zenu Wakuu, Kwenye harakati zangu mtandaoni nikakutana na Ukurasa huu ambao unatoa Bajaji kwa ufadhili wa Mo Dewji. Naomba kujua kama huu ukurasa ni rasmi na watoa kweli Bajaji? Asante.
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa: Wakuu wa Mikoa wote simamieni mfumo wa Kidijitali wa kuwatambua Madereva Bodaboda na Bajaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja. Mhe. Mchengerwa ametoa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bajaji Tvs zinauzwa bei gani?

    Bajaji mpya ya Tvs inayotumia gesi na mafuta inacost bei gani? Asante.
  18. JamiiForums Tanzania Kubadili Bajaji kwenda Mabasi katika Jiji la Mbeya: Njia Mpya ya Kuelekea Usafiri Bora

    Jiji la Mbeya, kama miji mingi inayoendelea nchini Tanzania, linakabiliwa na changamoto kubwa za usafiri. Bajaji, ambazo ni maarufu kwa kuwa nafuu na rahisi kupenya katika mitaa midogo, zimekuwa sehemu muhimu ya mfumo wa usafiri wa jiji hili. Hata hivyo, kuongezeka kwa idadi ya bajaji...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Elimika na uburudike kwa misemo inayoandikwa kwenye Malori, Daladala, pikipiki, bajaji, baiskeli

  20. JamiiForums Tanzania Utafiti: Bajaji ya mizigo inaporudi nyuma husema maneno gani?

    Utafiti wangu ulochukua miaka mingi hadi sasa umekuja na mkataa wa kudumu wa maneno ya hizi bajaji. Unaweza hisi inasema sijui nini " Gochionale kikachukattchu ka" 🤨🤨 Mwingine naye atasikia anavyojua yeye 😄😄 Ila ukweli ni kanasemaga "BE CAREFUL THE TRUCK IS BACKING UP" X2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…