bajaji

Bajajirao Mudhoji Naik Nimbalkar was a Maratha nobleman and sixteenth Raja of Phaltan Jagir during 1644-1676. He was sardar of Deccan Sultanates and Maratha nobleman.

View More On Wikipedia.org
  1. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Nini kinafanya taxi kuwa na bei juu kuliko wasafirishaji wenzao wengine kama bolt bajaji

    Kwa maeneo mengi ada yao ni mara 2 au 3 ya wenzao wengine kwa mfano ukiwa dar town centa unaenda ubungo utalipishwa elfu 20 hadi 30 au upo eapoti pale dodoma ukachukua taxi ikuzungushe ikakuache pale chakonichako yaani upande wa pili wa apoapo uwanjani utalipa elfu 30 wkt ukichukua bolt kama...
  2. P

    JamiiForums Tanzania KERO Bajaji jijini Mwanza wanapaki hovyo sehemu ambazo si salama na usumbufu kwa watumiaji wengine wa barabara

    Ukiwa KENYATA ROAD (Mataa/Makoroboi) hadi kufika nata bajaji zimekua nyingi sana wa mbaya zaidi wanavunja sana sheria. Wanapaki wanavyojisikia, wanageuza katikati ya barabara kuna wakati unaweza kuta zinatembea Bajaj mbili lane moja wamejaa wao mmoja kushoto mwingine kulia na wanatembea mwendo...
  3. musicarlito

    JamiiForums Tanzania Mnaotumia bajaji route za barabara kuu kama Morogoro rd kwa wakazi wa Dar kuweni makini

    Wasalaam Vijana wengi wamejiajiri au kuajiriwa katika sekta hii nyeti.Wengi wa vijana hawa hawana weledi wa kutumia vyombo hivi na wengineo kama wana weledi basi ni wahuni Mara mbili napanda bajaji tunasurika na ajali...gari ziko kwenye mwendo yeye anafosi kuingia Leo aliingia kwenye lane ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mnaowapa vijana Bajaji na Bodaboda za mkataba kuweni na Utu!

    Habari Wana JF,humu ndimo tunapita habari mbalimbali,mawazo mapya,Burudani faraja na Elimu kwa ujumla wake. Katika maisha kila mtu ana njia zake za kupata fedha,hapa nazungumzia fedha halali. Nilimdhamini kijana mmoja pikipiki kwa mtafutaji mmoja kwa mkataba, kijana kapambana, pamoja na...
  5. Omary scotten

    JamiiForums Tanzania Dereva taxi na Bajaji mtandaoni natafuta kazi

    Habari, naitwa omary ni dereva timamu,sina usumbufu kwenye mali ya mtu uwaminifu 100%.naweza kuendesha gari na Bajaji kwa boss yeyote mwenye uhitaji katika chombo kimoja wapo tajwa hapo juu iwe ya hesabu au mkataba pia iwe ya gesi au petrol tuwasiliane 0654037276.Nina uzoefu wa miaka 2 katika...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Bajaji mkataba

    Kwa jina naitwa ramdhani napatikana dar es salaam natafuta bajaji ya mkataba na Nina leseni sichagui yeyote pia na uwezo wa kuendesha gar za Uber Kwa mawasilian zaid 0678303923
  7. mtanga255

    JamiiForums Tanzania Nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari

    Poleni na kazi wakuu, Mimi kijana nahitaji bajaji ya hesabu au mkataba, kwa yeyote ambae yuko tayari kufanya biashara ya bajaji mimi niko tayari. Nipo dar Hesabu wiki 100,000/= Mkataba wiki 140,000/= MAWASILIANO 0617562823
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Usiogope Unaweza kuanzisha Kituo cha Kujaza gesi (CNG) kwenye magari na bajaji

    Matumizi ya Gesi Asilia Iliyoshindiliwa (CNG) yameanza kushika kasi Tanzania kutokana na gharama zake nafuu ikilinganishwa na mafuta ya petroli na dizeli. Tanzania ina akiba kubwa ya gesi asilia, hasa katika maeneo kama Mnazi Bay (Mtwara) na Songo Songo (Lindi), ambayo yanaweza kusaidia kuongeza...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha jiji iangalie utaratibu wa bajaji za ngusero hadi chini ya mti(katikati ya mji) kutoza nauli kubwa kwa abiria

    Bajaji zakutoka ngusero kwenda chini yamti (katikati ya mji) Arusha mjini kutoza nauli kubwa kwa abiria tofauti na maelekezo ya mamlaka husika. Nauli elekezi ni 600/= bajaji wanatoza nauli ya 700/= ambayo nikubwa sana kwa abiri wa hali ya chini. Kama kina mama zetu wenye mitaji midogo...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Je, bodaboda wa Dar es Salaam kulipwa fidia? Rejea maneno ya Lema: “Bodaboda sio ajira”.

    Watanzania wengi hawapendi kujua ukweli. Nadhani hulka hii inatokana na wananchi kufungiwa nchini mwao na hivyo kukosa nafasi ya kuona jinsi nchi zingine zilivyoendelea. Kuna siku Lema alisema bodaboda sio ajira, watu walikuja juu na kusema kuwa kawakosea watu na ni kama anadharau ajira za...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hyundai na TVS waungana kutengeneza "Bajaji" za umeme. Zimekaa Unyama sana!

    Kampuni ya magari kutoka Korea Hyundai, wameungana na Muhindi TVS kuleta "bajaji" za umeme ambazo unaweza ukazitumia kwa business au usafiri private. Hyundai yeye atatoa engineering na technology wakati TVS atafanya assembly na marketing. Bei na specifications zaidi bado hazijawekwa wazi.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa Kahama?

    Habarini wanaJF? Naomba kuuliza hivi ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa hapa manispaa ya Kahama?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba kwa Kahama?

    Habarini wanaJF? Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza,naomba mnijuze ni wapi naweza kupata bajaji ya mkataba hapa manispaa ya Kahama.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya bodaboda au Bajaji ya mzigo kipi kinafaida?

    Kati ya bodaboda au Bajaji ya mizigo kipi kinafaida endapo mtu akiamua kokomaa kabisa wakuu
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Samia Mtaani Kwetu Kuwajengea Uwezo Madereva Bajaji Ili Wazitumie Fursa Zinazowahusu

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI KWETU" yenye lengo la kukutana na makundi yote ndani ya jamii yetu kwaajili ya kujenga Umoja...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kama umenunua Bajaji ya Milioni 20 ili upewe 20k kwa siku basi unafanya biashara kichaa

    Yaani Kuna watu bwana Hivi unanunua bajaji milion 10 halafu unampa mtu mmoja awe anapiga deiwaka anakuletea 20k Kila siku na risk za kutosha Hii ni akili gani? Yaani hela za mashamba ya urithi nyumbani kwenu unatarajia hii biashara kichaa ikunufaishe? Kwanini usichukue hiyo hela ukaenda...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ajira ni haki ya kila kijana msomi, lakini kwasababu ya upumbavu wao hawatakuja kuitambua hii haki yao ya msingi mpaka watazeeka.

    Vijana wanajifariji eeeh maisha popote ilimradi mkono uende kinywani. Kijana bila aibu na kimeza chake cha matunda anasema Mimi nina degree. Are you mad? Kama ungetaka kuwa muuza matunda ungeishia DARASA la kwanza tu au la pili. Hesabu za darasa la pili zinatosha kwa mfanyabiashara wa matunda...
  18. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania KERO Mbeya jiji: Kuna Watu wanaotishia waendesha bajaji, hawafanywi chochote na yeyote eneo la geti la Pili kwenye bandari kavu

    Kuna kundi la watu wapo eneo la Geti la Pili kwenye bandari kavu jijini Mbeya, mbele kidogo ya Iyunga unapoelekea Mbalizi. Watu hawa hukamata bajaji mchana kweupe wakiwa na marungu kuzuia bajaji zisiende uelekeo wa Mbalizi. Cha kushangaza, hata kama umekodi bajaji hawa watu hawataki hilo...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbona Tulia Ackson kaanza kampeni mapema hivi? Azindua ofisi ya Chama cha Madereva na Wamiliki wa Bajaji Mbeya Mjini

    Wakuu, Hivi hizi kampeni zinazofanyika sasa si ni kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Au ni kampeni za Uchaguzi Mkuu? Kwa sababu naona kama Tulia ame-lobby hii process na amefanya hii kampeni yote kumuhusu yeye. Na hii benki iliyompa Tulia hizi bajaji nane kwa ajili ya Tulia Trust, mna...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata bajaji 3 M iliotumika mwaka mmja tu?

    Je naweza kupata bajaji kwa 3 M iliotumika mwaka mmja tu
Back
Top Bottom