baiskeli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Kampeni zimeisha, pikipiki na baiskeli alizogawa Samia zinadaiwa huko

  2. M

    Ninyi Makada wa CCM mliochukua baiskeli, pikipiki, khanga na tisheti za Rais Samia wakati hamumtaki mnajisikia vipi leo hii?

    Baiskeli, Pikipiki, Khanga , tisheti na kofia mligawiwa kama njugu. Mkakataa waziwazi kiongozi wenu. Mkasombwa, maloli matrekta na matela ya punda kujaza mikutano. Leo hii mnatumia hizo baiskeli na pikipiki kwa shughuli zenu huku kumbe hamumtaki kiongozi wenu. Mnajisikia vipi?
  3. Q

    Iundwe Tume kuchunguza zile Pikipiki na Baiskeli zenye nembo ya SSH zilitoka wapi, kwa mabeberu, waarabu au pesa za ndani.

    Kama ni watu wa nje tume ituambie walikuwa ni akina nani na walikuwa na nia gani na nchi yetu na walitegemea kupata nini in return, na kama zilinunuliwa kwa pesa za ndani tume ituambie nani alitoa pesa na kama ni serikali tume ituambie zilitoka kwenye fungu gani la bajeti. Serious, sio kwa...
  4. mwehu ndama

    Wale aliowabeba kwenye malori na kuwapa baiskeli mkweche nao wamemkataa

    Kiumbe mmoja, aliwasomba maelfu ya waTanganyika kwenye malori waende kujaza kampeni zake , akawapa baiskeli mikweche , kanga na kofia kedekede ikiwa ni pamoja nakuwapikia wali na maharage. Akatapakaza picha zenye sura yake nchi nzima ,akakamata na kufunga wapinzani wote jela , ili kujisafishia...
  5. Genius Man

    Tetesi: Lindi: Wananchi waliorudisha Pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na Polisi

    Mkoani Lindi wanachi waliorudisha pikipiki na baiskeli za Samia wamekamatwa na polisi, wamepelekwa kituo cha polisi lindi mjini. Kwahiyo kurudisha pikipiki za ccm na baiskeli ndio kosa kwa mujibu wa sheria gani ?
  6. Zacht

    Timu ya Baiskeli ya Israel imepigwa Marufuku Kushiriki kwenye Mashindano Italia

    Timu ya Israel-Premier Tech imetolewa mashindano ya Giro dell’Emilia yanayofanyika Bologna nchini Italia. Wabunge wa jiji la Bologna (mji unaoamalizikia mashindano hayo) ndio waliounga mkono uamuzi wa kuitoa timu hiyo.baana kupata shinikizo kutoka wananchi,wadau ,na vyama vya mchezo huo...
  7. nipo online

    Nimeibiwa baiskeli, kukata RB polisi bei gani?

    Kuna jamaa anadai ameiokota sa 7 usiku wakati nimeibiwa nyumbani kwangu, anadai nimpe 25000 ili anirudishie leo siku ya 2.
  8. 1Africa54

    Kuna watanzania bwana eti kataa baiskeli uinusuru tanzania eeeeti

    Nouma sana kataa baiko🤣🤣🤣🤣
  9. Just Pray

    GE2025 Wao wamepeleka baiskeli, sisi ADC tunapeleka Ng'ombe ili tutoke ngoma droo

    Mwenyekiti wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), Shaban Itutu, amehoji uwiano wa mamlaka kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Tume Huru ya Uchaguzi, akisema kuna mgongano unaoweza kuathiri haki na uwazi wa uchaguzi. Akizungumza Jumatatu, Agosti 18, 2025, katika Mafunzo...
  10. Magufuli 05

    Fikiria: wametumia Kodi Yako kununua chama,wamekupa Baiskeli wao wana V8. Leo wanakuchangisha. Mungu waokoe watanzania

    Watanzania. Watanzania. Watanzania.🇹🇿. Hawa jamaa hata aibu hawana. Sasa wanawaibia watanzania bila aibu kabisa. Ni Mungu tu ndiyo anajua atawachoma Moto wa aina Gani. Tazama,wametumia Kodi za Wananchi kufadhili chama kikaragosi. Wameiba kila namna. Leo wanachangisha watanzania wakati wao...
  11. mr mkiki

    CCM walisambaza BAISKELI na PIKIPIKI Nchi nzima ili waje kukusanya hela kwa Wananchi hao hao

    Ngoja nianze na moja ya habari kutoka Wilaya Mpwapwa. Week mbili nyuma kama sio tatu ndugu Makalla alikuwa Wilaya ya Mpwapwa,watu walikuja kutoka pande zote za vijiji kwa kubebwa na Malori. Walifika na kurudi bila ya kitu chochote lakini kubwa lilikuwa kwa wapiga ngoma walikuwa 22 baada ya...
  12. K

    Baiskeli za mama !!!! kwani watanzania ni watoto

    Jamani umasikini umefika huku hata baiskeli ni za kizamani
  13. M

    Nawezaje kununua au kuagiza baiskeli used Japan, nerthela au kwingineko

    Msaada wazoefu nawezaje kuagiza baiskeli used toka japani nakwingineko baiskeli kama hizi
  14. SSH2025_2030

    Kilimanjaro/Arusha hatujapata baiskeli za Mama au tutarajie Pikipiki?

    Mpaka sasa hatujapokea baiskeli pendwa. Pengine tutarajie bodaboda
  15. Allen Kilewella

    Huyu Binti Kwa kusema hivi anaweza kukamatwa?

    Nimejiuliza kama maneno ya huyu Binti yanaweza kumweka matatani hata kukamatwa? Huyu hapa.
  16. Royal Son

    Holder ya simu, Pikipiki na Baiskeli kwa bei poa

    📢 TANGAZO MAALUM! 📢 HOLDER YA SIMU IMARA kwa PIKIPIKI na BAISKELI 🔧 Imetengenezwa kwa vifaa bora na imara 📱 Inafaa kwa simu nyingi – kubwa na ndogo 🛣️ Inashikilia simu vizuri hata kwenye barabara mbovu 🔒 Inakaa salama – hakuna kudondoka wala kutikisika 💰 BEI: TSH 30,000/= 📍 Mahali: Arusha 📞...
  17. Genius Man

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa

    Hii Baiskeli ya rushwa imetolewa ili watu wamchague flani kwenye uchaguzi hii ni rushwa. Kama mtu anaweza kutoa rushwa kama hivi ili achaguliwe inamaana yeye ni rushwa rushwa tu kwenye maisha yake anaweza kupokea rushwa pia anaweza kuuza rasilimali za nchi. "Mimi sitaki rushwa na ninapinga kwa...
  18. Mshana Jr

    Matoleo ya baiskeli Tanganyika

    Zamani ilikuwa ni usafiri mpaka kwa viongozi kulingana na kaliba.. Na baiskeli ilikuwa usafiri wa kutumainiwa Sana Matoleo maarufu ya enzi hizo yalikuwa Rareigh Phoenix.. Hizi walikuja kujenga kiwanda pale Mwenge.. Sass hivi kiwanda cha madawa Haya matoleo zilikuwa baiskeli hasa kwa safari kwa...
  19. Knock life

    Katika MAISHA usichukulie kawaida , wenzako wanasukuma Mipira kama hii huku wewe unapewa baiskeli.

    Be smart Nigga , wenzako wanakaa katika mipira Kama hiii then wewe unapewa Baiskeli Jitambue.
  20. Knock life

    Kwanini sisi Mabalozi wa Shina hapa Dar esSalaam hatujapewa baiskeli?

    Naomba ufafanuzi kutoka Ccm kwanini Baiskeli hatujapata sisi watu wa DSM
Back
Top Bottom