bahari

Maziar Bahari (Persian: مازیار بهاری‎; born May 25, 1967) is an Iranian Canadian journalist, film maker and human rights activist. He was a reporter for Newsweek from 1998 to 2011. Bahari was incarcerated by the Iranian government from June 21, 2009 to October 17, 2009, and has written a family memoir, Then They Came for Me, a New York Times best seller. His memoir is the basis for Jon Stewart's 2014 film Rosewater. Bahari later founded the IranWire citizen journalism news site, the freedom of expression campaign Journalism Is Not A Crime and the street art and social justice project Paint the Change.

View More On Wikipedia.org
  1. Sonship

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Shule inauzwa Bahari Beach

    ✨Shule nzuri sana inauzwa ✨SQMT 5800 (heka1 na nusu) ✨Bei billion 1.5 maongezi yapo ✨Ina madarasa 14 ✨Wanafunz 110 ✨️Unauziwa na wanafunzi waliopo ✨️Location : bahari beach ✨️ Eneo lake linafaa kwa uwekezaji wowote Hati miliki imenyooka sana Kutoka Wizara ya Ardhi Anahitajika serious buyer tu...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kama mlango bahari wa Kigamboni ukifungwa mambo yatakuwaje Tanzania

    Hormz ya DSM pale Kigamboni imekaa kihasara hasara sana
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mlango bahari wa Hormuz wamfanya Trump kumtukuza Allah!

    Jumanne itakuwa Siku ya Mitambo ya Umeme, na Siku ya Madaraja, zote kwa pamoja nchini Iran. Hakutakuwa na siku mfano wa hiyo !!! Fungueni hiyo Mlango wa Bahari sasa hivi, enyi vichaa, la sivyo mtaishi katika Jahannamu – SUBIRINI MUONE! Atukuzwe Allah . Rais DONALD J. TRUMP.
  4. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kama kuna uwezekano wa bahari ya Hindi kupita Dodoma na Morogoro CHADEMA mnaweza pia kuingia Ikulu

    CHADEMA hii ambayo naiita chama cha kudandia kila jambo linalotokea duniani na Tanzania isahau kuingia Ikulu, labda Mungu aamue kubadili mfumo wake wa Dunia ambao kwa malaki ya miaka haujabalika. Dodoma ipite bahari, Morogoro ipite bahari au iwepo bahari ndipo CHADEMA huenda wakaingia Ikulu...
  5. radhiya

    JamiiForums Tanzania Eneo linauzwa bahari beach

    Eneo lenye Nyumba Iinauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Eneo/Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Mlango bahari wa Hormuz waitesa Iran

    Jeshi la Anga la Israeli lilifanya shambulio sahihi huko Bandar Abbas ambapo Alireza Tangsiri, ambaye alikuwa kamanda wa Jeshi la Wanamaji la IRGC kwa miaka minane iliyopita aliondolewa. Tangsiri alihudumu katika nafasi kadhaa muhimu ndani ya Jeshi la Wanamaji la IRGC, ambapo alisimamia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wheeled excavator ya kukodi siku (March 9)moja Bahari beach

    Habari wadau Kuna kazi ya siku moja Bahari beach inayohitaki hiyo Excavator ya matairi kwaajiri ya kukata layer ya kifusi kilichosindilisa
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

    Wanaukumbi. Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran: -Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz - Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987… ================ BREAKING: IRAN...
  9. okiwira

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kuna maji yenye rangi mbili ndani ya bahari moja na hayachanganyiki?

    Mbali na sababu za kiimani, Ni kweli kuna bahari ambazo zina maji ya rangi tofauti ndani ya bahari moja na maji hayachangamani japokuwa yanagusana?
  10. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Maiti ya mtu isiyotambulika iliyookotwa kwenye ufukwe wa bahari na Mvuvi wa Dagaa

    Wakati fulani nikiwa Dodoma mwaka 2022, siku moja msafara wa Rais Samia (presidential motorcade) ulikuwa ukitokea Airport Dodoma kuelekea ikulu chamwino. Nadhani na yeye alikuwa anarejea kutokea nje ya nchi). Sasa nakumbuka siku hii Mimi nilikuwa nimetumwanatokea benki ya Nmb tawi la Bunge...
  11. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari Beach Simba/Mugeta st

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Polisi msiuingie mtego wa kuzuia maandamano ya 9D ama kwa makusudi au kwa bahari mbaya.

    Wenzenu watakuwa nje ya nchi na familia zao wakiwaangalia kwenye TV, wakati ninyi mnapambana na raia ambao hata baada ya masaa ya kazi mnaenda kuishi nao huko mitaani. Mwenye masikio na asikie. Tarehe 9D siyo siku ya utani. Polisi atakayeliona onyo hili amtaarifu na mwenzie.
  13. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Ati ‘Mji kasoro bahari’ watia aibu hehee! Mji gani washindwa mpaka na Mafinga, Kahama

    Nye Nye Nye. Mekutana na kina Mogela hapa Mazimbu Mayii. Wafurahisha Nye. Maneno mengi pyuu ushubwada hamna lolote. Wajiita mji kasolo bahari wakati washamba watupu. Wanaume kama mabinti hehehe. MO29 mayii iliwaumbua pabaya mayo. Mo town yakushindwa na Mafinga Nye. Kule igumelo kahama...
  14. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kupata viwanja kwenye Bahari ya Hindi

    Habari Tanzania ! Sasa leo nataka kuwauliza hivi hakuna uwezekano wa kupata Viwanja vya kutosha; endapo tukifunika hiyo Bahari ya Hindi pale Kigamboni na Kurasini maana naona kama hilo eneo halina kazi alafu pia tunaweza kupata Eneo kubwa la nchi kavu vijana wakapata maeno ya kufanya Makazi...
  15. pet geo pet

    JamiiForums Tanzania Shida madrasa au bahari??

    UTAWALA WA NYERERE. •Hapakuwepo na mtoto wake mahala popote kisa Baba ni raisi. UTAWALA WA MWINYI •Watoto wote walikuwemo kwenye system, hadi watoto wa ndugu n.k UTAWALA WA MKAPA •Hakuna mtoto wake alisikika popote akifanya lolote kwa mgongo wa uraisi wa babake. UTAWALA WA KIKWETE •Miraji na...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna dalili 'Vigogo' wanajigawia bila kufuata taratibu eneo la Tanganyika Packers kipande cha ufukwe wa bahari

    Nawasilisha hoja yangu ambayo nimekuwa nikitafuta muda wa kuileta hapa jukwaani kama dokezo, ili kama mamlaka zitakuwa na uwajibikaji, vifuatilie hususan idara yetu na TAKUKURU. Kama tunavyofahamu, eneo la Tanganyika Packers lililopo Kawe, Dar es Salaam, kwa sasa linamilikiwa na Serikali ya...
  17. radhiya

    JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Bahari Beach Simba road

    Nyumba Inauzwa Bahari beach, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Simba/Mugeta. Sifa za Nyumba: *Iko Mita 100 kutoka barabara kubwa ya ununio. *Ina vyumba vitano vya kulala, vyote ni master. *Huduma zote za kijamii zipo. Ukubwa wa Eneo: SQM 1833. Nyaraka: Ina Hatimiliki. Bei: Tzs Milioni 900...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi unafanyaje minadi na watu kama wabongo🤣🤣, mwenyekiti yeye akitoka akafanye mambo yake na akale upepo wa bahari kuuguza majeraha yake.

    Wabongo hamfai, ustadi wenu ni mitungi, kubeti na mikasi tu 🤣🤣 Yani mwamba amekimbiwa na watu kama vile bomu limeanguka pale HQ 🤣🤣
  19. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Eneo la ekari 1,linauzwa, ni kiwanja cha kwanza barabara ya bahari beach Dar es salaam Tanzania,bei ni billion 1.2

    #plotsforsale KIWANJA KIZURI SANA KINAUZWA UKUBWA WA KIWANJA NI 4,000SQM NI KIWANNA CHA KWANZA KUTOKA BARABARA YA LAMI (Bahari Beach) RAMANI YA MUUZAJI ULIKUWA NI KUJENGA APARTMENTS,KWAHYO AKAGAWANYA FENSI VIPANDE VINNE NDANI YA KIWANJA KIMOJA ENEO NI ZURI SANA KWA SHUGHULI MBALIMBALI ZA...
  20. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Bahari ya Galilaya yageuka Nyekundu kama damu

    Nimekutana Na Chapisho Kwenye Mtandao Wa Instagram Likieleza Kuwa Bahari Ya Galilaya Imegeuka Nyekundu Kama Damu Chapisho Hilo Limechapishwa Kwenye Ukurasa Wa Global Tv Online's Nimeona Nilete hapa Kwa Ajili ya Verification
Back
Top Bottom