bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. Inawezekana watu waliokimbia nchi wanashindwa kurudi kwa sababu Bashite bado Yuko uraiani, na hajachukuliwa hatua?

    Watu kadhaa waliondoka nchini kusalimisha maisha yao, na wamekuwa na hofu kwamba watu waliowasababishia madhila hawajachukuliwa hatua, wako mtaani, na wamekuwa wakitoa wito wa kuhakikishiwa usalama ili warudi. Baada ya kumwaga maji mengi kwenye shimo la nguchiro, hewa imekata, nguchiro mmoja...
  2. Sheria zetu bado zina walakini mwingi

    Mijadala mingi muda hautoshi. Nimeona nishiriki kidogo mjadala wa aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Ndg Makonda. Nimeona watu wengi wanajaribu kulijadili jambo hili kwa upambe na tofauti zao za huko nyuma. Wanaoweza kushangilia hili la Makonda ni wale tu ambao wanategemea kuishi leo...
  3. Ummy Mwalimu: 1.4% ya Watanzania bado wanajisaidia vichakani

    Waziri wa afya amesema kuwa idadi ya Watanzania wanaojisaidia vichakani imepungua kutoka asilimia 5.7 hadi 14 Desemba 2021. Ameyasema hayo leo Jumatatu, Aprili 11, 2022 wakati akitaja mafanikio yaliyopatikana kupitia kampeni ya Nyumba ni Choo kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka mitano ya...
  4. W

    World Bank: Tanzania bado ipo uchumi wa kati

    Ndugu zangu, Katika pitapita kwenye magazeti hii habari kuhusu Tanzania. Je,kwa Tanzania kuwa hadhi ya juu kiuchumi kuna misaada tunakosa?
  5. CCM bado inao researchers wenye weledi wa kutosha?

    Sina uhakika kama hiki chama kinachojinasibu kuwa dola kinajitizama ila simple research yangu mitandaoni na mtaani mnaenda down the hill kwa speed ya mwanga hasa huduma kwenye ofice za umma . Rushwa ,hali ya uchumi wa watu, serikali kurejuvinate kwenye stage ilokwisha kataliwa huko nyuma , in...
  6. Visa yafungua ofisi yao ya kwanza Afrika, hapa hapa Nairobi

    Kainchi ka Kenya rasmi kamekua kitovu cha Afrika, hauwezi kufanya lolote kwenye hili bara bila kubisha hodi Kenya kwanza..... Kampuni kubwa duniani ya malipo imegundua hili na kuwekeza Kenya... ========================== Global digital payments giant Visa has opened an innovation studio in...
  7. Sahihi Serikali kuongeza ndege nyingine tano ilihali huduma za afya bado zipo duni?

    Nimeona kwenye news kuwa serikali imefanya malipo ya ndege tano mpya. Dreamliner moja, boeing 737-9 mbili na Dash 8 q 400 moja. Malipo haya kwa haraka haraka yanakadiliwa kugharimu zaidi ya tril 1.8. Kwa jinsi watanzania wanavyohangaika kupata huduma za afya ni bora pesa hizi zingewekezwa...
  8. USHAURI: Binti mwanafunzi wa miaka 18 apata ujauzito, tufanye nini?

    Salamu Wana JF. Naomba ushauri wa hatua za kuchukua katika mazingira haya. Asanteni.
  9. K

    Je, Kinana bado ana uraia wa nchi mbili?

    nilimsikia vuvuzela Cyprian Musiba enzi za utawala wa kayafa akibwabwaja kuwa bwana Abdulhman Kinana alikuwa na uraia wa nchi mbili na tuhuma hizi hazijawahi kukanushwa na Kinana mwenyewe Sasa kama mtu ana uraia wa nchi mbili na bado anakabidhiwa nafasi kubwa kabisa kwenye chama dola je...
  10. Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

    Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha 1. Utoaji wa Tuzo Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado...
  11. R

    Bado dada wa kazi anahitajika

    Eneo la kazi Dar, Tegeta Mshahara elfu 60 Nyumba ya watu wawili Hakuna mtoto. Kwa mawasiliano au kama kuna mtu anaye nicheki pm tafadhali UPDATE: Shukrani kuna mdau humu amenisaidia amepatikana mdada tayari. Tubarikiwe sote!
  12. Kabwili: Yanga bado wananilipa, nilipagawa, sina wa kumlaumu, narudi uwanjani

    Ramadhan Kabwili amefunguka kuwa klabu yake ya Yanga iliamua kumpa likizo ya muda mrefu huku akiendelea kulipwa na Yanga kama kawaida Anasema alipewa likizo ili akili yake itulie na atafute nafasi ya kuonana na mwanasaikolojia kutokana na kile ambacho kilitokea mitandaoni kumuhusu yeye...
  13. Pande za moshi: Yule babu muhindi muuza juisi bado yupo?

    Habari za pande zote. Naomba kuuliza watu wa kipande hiyo(mo-town) Yule babu muhindi pale dabo rodi alikuwa anauza juisi bado yupo?? Nilikuwa nikipita mitaa hiyo lazma niende kunywa juisi pale zilikuwa tamm sana. Nilikuwa napenda ukifika pale ukataka juisi,basi anafungua friji anatoka na...
  14. Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
  15. MY HUMBLE OBSERVATION: Pamoja na kupewa uhuru waliotaka bado hakuna mpinzani anayeongelea maendeleo

    Serikali ya awamu ya Sita chini ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan iliwasikiliza wapinzani,asasi za kiraia na mataifa ya Magharibi kwa kurekebisha baadhi ya misimamo na sera zake ili kutoa fursa iliyosemwa kuwa haikuwepo kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. Uhuru wa kusema na kufanya siasa...
  16. Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

    Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
  17. Akasema; Bado tuu Una-join the Chain?

    Kwema Wakuu!! Jana nikiwa Maeneo ya Posta pale mwendokasi, kabla sijavuka ili nipande Mwendokasi, Gari jeusi nafikiri ni Toyota Fortunes ya kijivu ikasimama pembeni yangu. Kisha ikanipigia honi kutazama alikuwa ni Carlos rafiki yangu WA siku nyingi Sana. Nilipotezana naye tangu tulipomaliza...
  18. CCM kuitisha mkutano Mkuu maalum wa kufanya mabadiliko ya katiba yao

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kuitisha mkutano Mkuu maalum wenye lengo la kufanya mabadiliko ya katiba yake ili kuongeza kasi ya ufanisi wa kazi na utekelezaji wa uamuzi ya vikao vya chama hicho. Taarifa iliyotolewa leo Jumamosi Machi 12, 2022 na Katibu wa Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu...
  19. S

    Uchambuzi: Je, ni kweli kuwa mifumo ya ulinzi wa anga la Ukraine bado inafanya kazi?

    Jeshi la anga la Ukraine hapo kabla ya kuanza kwa vita liliripotiwa kuwa na mifumo mingi anuai ya ulinzi wa anga lake, ambayo ni: Pisi 250 za S-300 air-defense systems ambazo ni aina za S-300P, S-300PS na S-300PT. Hizi zote zinaweza kurusha makombora (SAM) ya masafa marefu ktk kulilinda anga...
  20. M

    Wakulima wa Tanzania hamko serious na Kilimo, Yaani Ng'ombe anatoa kilo 25kg za kinyesi kwa wakati mmoja na bado mnalia kwa kupanda bei mbolea ya YARA

    Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana. Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…