Bado sijasikia SSM wa Silent Ocean kuwaahidi dau nono Tanzania Prisons waifunge Yanga leo katika ASFC

Lupweko

JF-Expert Member
Mar 26, 2009
20,606
20,341
Wamekuwa wakitoa ahadi za hadi 30M iwapo Prisons itaifunga Simba. Bado nasubiri ahadi ya dau nono iwapo Tanzania Prisons wataifunga Yanga leo katika ASFC

Uzi
1677833167268.png
 
Walikuwa na mkakati maalumu kwasasa wamefanikiwa ndo maana wapo kimya.
 
Wakiahidi, mnalalamika! Wasipoahidi, bado mnalalamika tena! Hata hamueleweki mnataka nini!!!
 
Binafsi namkumbuka mjomba Magu ..enzi zake sizani kama hao majamaa yanhe cheka cneka
 
Counsellor Salah anatoa ahadi kwenye NBC tu.

Huku pengine hatoi ahadi.

Halafu kingine,Hela za mwanaume mwenzio usipende kumpangia nini afanye.

Anafanya kitu ambacho yeye anaona kinafaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom