bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Canon IR 2204 inatoa Copy mbaya. Nini kifanyike?

    Mashine yangu aina ya CANON IR 2204 inatoa copy za namna hyo. Nimejaribu kubadili drum, roller na hata blade lakini hali bado ndo hyo mnaiona hapo chini. Nifanye nini wadau? Nakufa njaa mwenzenu. Msaada tafadhali
  2. Utafiti: Ndoa nyingi zimeshakufa ingawa watu bado wanaishi kama mke na Mume

    Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka isiyopunguwa 10 nimegunduwa ndoa si kitu muhimu tena Kwa jamii ya Kitanzania, anayebisha hili shauri...
  3. Music industry haiwabebi wasanii Wachanga

    Nimejaribu kufatilia kuna uchafu mwingi sana kwenye industry, na zama hizi mpaka msanii aonekane lazma labda adandie record label. Na ukidandia ndo hivyo tena unakua kama wakina rich mavoko, siku mambo yakienda kombo unapotea kwenye game. Talent na uwezo sio kigezo cha msanii kutoka pamoja na...
  4. S

    Afrika ndiyo kinara wa kufanya kazi ngumu lakini kisukari ni tishio je kazi ngumu sio mbadala wa mazoezi?

    Afrika watu wanafanya kazi ngumu sana lakini bado kisukari ni tishio, nilikuwa Dodoma kukawa na upimaji wa Bure Cha kushangaza vijana below 40 wengi tu wana sukari. Nikazama gugo kudadisi statistics zinatisha watu jamii ya black race wapo kwenye risky ya kupata kisukari ukilinganisha na...
  5. Ushawahi kufanya interview vibaya lakini bado ukaitwa kazini

    Haya maisha bwana. Mwaka 2019, nilifanya interview na shirika Moja la waingereza, aisee interview ilikuwa kali hatari, nilikuwa natoa jibu linalonijia kichwani. Cha kushangaza baada ya wiki Moja nikaitwa kazini. Je, ushawahi kufanya interview na ukaona umeifanya vibaya lakini ukaitwa kazini...
  6. Kuna watu wana miaka 30 na bado wapo nyumbani kwa wazazi, nimelia sana

    Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact. Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye historia ya Dunia. Unamjua Alexander the Great, aliyoyafanya yote hadi kutawala almost Dunia nzima Aliya...
  7. KERO Website ya ORS BRELA kila siku nikiingia haifanyi kazi

    Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
  8. Wanachama wa Simba mchakato wa kufanya Simba Kampuni bado, chukueni hatua!

    Wakuu, Ni muhimu wanachama kuomba kikao cha dharura waweze kuelezwa hatma ya timu yao. Kama msipofanya hivyo subirini miujiza! Hii timu mkitaka mfanikiwe msikubali hadithi za kale na takwimu za tupo nafasi ya ngapi CAF, ulizeni maswali magumu mjibiwe au watuachie timu tuungeunge hadi tupate...
  9. Computer4Sale Nauza PC Kalii bado mpya

    Ssd 239 Ram 8 Touch screen Core i5 gen 7 Bei 500k njoo tuzungumze 0753865861
  10. DAWASA bado wanasubiri wakabidhiwe Mradi wa Maji Kiluvya NSSF

    Mradi wa Maji Kiluvya NSSF Eneo la Kiluvya NSSF kwa sasa kuna mradi unaoendelea kutekelezwa na Shirika la hifadhi ya Mifuko ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya wateja ambao waliuziwa viwanja katika eneo hilo. Mradi huo umehusisha ulazaji wa bomba kubwa la inch 8 kutoka kwenye bomba kubwa la inchi 30...
  11. Kwanini CCM pamoja na kujilimbikizia mali lakini bado wanapora Mali za Umma?

    Tanzania yote kuanzia kwa wenyeviti wa vitongoji, wenyeviti wa vijiji/Mitaa, madiwani, wabunge na Rais, kwa asilimia tisini na tisa nukta tisa tisa (99.99) wanatokana na Chama cha Mapinduzi. Kwa ivo unaposikia CAG anaposema fedha zinaibiwa kwenye taasisi za umma ujue hapo anamaanisha...
  12. B

    Pisi kali za Mjini unalisha na kuivalisha lakini bado inakuona we ni Mshamba tu.

    Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali. Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu. Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa? Tembea uone vichekesho. Fanya mambo yako ewe...
  13. Naibu Spika: Kuna watumishi wa TASAF bado wanaingiza ndugu zao kwenye Malipo

    DODOMA: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema kuna Watu wasio na sifa lakini wameingizwa kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kinyume na malengo ya mpango huo. Akijibu taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  14. G

    Licha ya Waislamu weusi kujaribu kutengeneza umoja na waarabu kwa kigezo cha kudumisha umoja wa kiimani na tamaduni, kwanini bado Waarabu wanasita?

    Juhudi za mtu mweusi kujenga umoja na waarabu. Mavazi ya kiarabu - kuvaa kanzu, kobazi, barakshia, n.k. Majina - ni kawaaida kukuta jina la kwanza mpaka la ukoo la kiarabu Lugha ya kiarabu - huipa uzito wa hali ya juu Ndoa kwa tamaduni za kiarab - kuvaa jambia kiunoni kwenye siku ya kufunga...
  15. Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

    Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo (wengine kupitia Baba zao) na wengine humpelekea Waganga wa Kienyeji, wengine Chenji za Upigaji zikibaki hummege nae Kidogo. Na...
  16. Acha achaa, ila bado akaendelea

  17. M

    Halotel imekuja Tanzania mwaka 2015 kamkuta TTCL ana miaka 30 sokoni ila Halotel kampita wateja TTCL

    Telecom market share ya Tanzania ya mwaka 2023 kutoka TCRA inaonesha wazawa tulivyo wavivu na wazembe kwenye kuongoza mashirika ya umma Baada ya kuanzishwa October 2015 iliwachukua mwaka mmoja tu Halotel kufikisha wateja milioni tatu (3), yaani by mwaka 2016 October Halotel alikuwa tayari...
  18. K

    Tutakuja kujuta tukimpuuza Mzee Warioba. Tumsikilize wakati bado yupo

    Huyu ni Mzee ambaye alikuwepo tangu wakati wa Nyerere. Kikubwa bado yuko fit na anaweza kujibu maswali. Siku hizi wanasiasa wanajiona wanajua sana kila kitu kuongea kishabiki na kuweka kiki. Lakini ukimuona huyu mzee ambaye kaona mengi anahofia kwasababu anaongea kwa uzoefu na data sio ushabiki...
  19. Wakenya kununua mazao yakiwa bado shambani na kupeleka Kenya sababu ya nafaka kupanda bei sokoni Tanzania

    Siku za hivi karibuni umeibuka mtindo kwa Wafanyabiashara wa kikenya kuingia vijijini ndani huko kwa wakulima na kununua na mazao yakiwa bado kuvunwa. Wanachofanya ni hivi,mfanyabiasha wa kikenya huingia makubaliano na mkulima kulingana na ekari Alizo nazo mkulima ilhali mazao yakiwa bado...
  20. Tanzania bara bado kuna maeneo msichana kuvaa suruali ujue ni kahaba, mhamiaji au hana wazazi

    Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni. Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…