bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari bado ni wachache kwenye vyeo muhimu Tanzania, waongezwe wafike at least 30%

    Kwenye vyeo vya wakurugenzi wa taasisi, mashirika, n.k. unaweza kuwakuta wazanzibari wawili tu kati ya 10. Mfano kuna mabalozi 9 tu kati ya 45 Mawaziri wapo wachache Kwenye nafasi za ajira haitoshi kabisa kuna tetesi hupewa 2 kati ya 10, bado ni chach sana hizi, at least ziwe 4 nitoe pongezi...
  2. JamiiForums Tanzania Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

    Bwana bwana miaka ya 2018-2020 kuna goli(duka) la magodoro nilikuwa nauza maeneo ya kinyerezi location ya duka haikuwa mbaya ilikuwa nzuri sana opo road kabisa na wanunuaji wengi walikuwa kipato cha kati. Sasa bwana ilikuwa akija mteja ni lazima apigwe udalali kama bei ya kuuza ni tsh 200,000...
  3. JamiiForums Tanzania Wasanii wetu wengi bado hawajui kufanya Biashara na makampuni

    Kuna vitu wanavyo wasomi, halafu wao wanakwenda kuwapa wasanii ama watu maarufu ambao si wasomi, mwisho wa siku wanakuja kupiga pesa. Tatizo la wasanii wa Kibongo? Wanaajiri wasomi lakini hawa wasomi wanakuwa na tamaa ya pesa, wanachokitaka ni msanii kuingiza pesa, wagawane na kisha wachukue...
  4. JamiiForums Tanzania Lebanon yalalamika Israel wamegoma kusitisha mapigano. Bado waendelea kuishambulia Beirut

    #Lebanon’s Prime Minister Najib Mikati has criticised #Israel’s “expansion” of its attacks on his country, saying it indicates the Israeli rejection of a ceasefire after more than a month of war.⁠ .⁠ “[Israel’s] repeated threats to the population to evacuate entire cities and villages, and its...
  5. JamiiForums Tanzania Madalali Wakamatika, sasa kujiandikisha, Bado wanawapiga bao mawakili!

    Kumekuwa na changamoto kubwa katika suala zima la kupanga na kununua nyumba, mashamba, magari na kadhalika. Hawa watu wanaojulikana kama madalali au 'mtu wa kati' wamekuwa wakifanya maisha kuwa magumu kila siku yaani ni kero kwa kifupi. Hawana huruma hata kidogo, imagine nyumba inauzwa milioni...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mpaka karne hii ya 21 bado kuna michepuko ina akili kiasi hiki?

    Wakuu salama? Kuna chimbo jipya(mchepuko) nimelipata hapa Dodoma.so katika story za hapa na hapa akanitumia huu ujumbe hapa chini. Nijuavyo mimi michepuko huwa 8na lengo la kuvuruga tu ndoa za watu. Ila huu mchepuko umenishangaza kidogo kwa jinsi ulivyo positive.
  7. JamiiForums Tanzania Mashujaa wetu wa zamani bado wanathaminiwa katika kufundisha kizazi kilichopo mashuleni?

    Nataka Kujua mashujaa wa kipindi cha nyuma kama kina chifu mkwawa bado wana somwa kweli mtaala wa elimu wa sasa?
  8. JamiiForums Tanzania Mabilioni yaliyomwagwa kukarabati uwanja wa Mkapa mbona bado uwanja mbovu?

    Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi chote hicho, na kwa mabilioni yaliyomwagwa pale, Tulitarajia uwanja angalau uwe Pitch yenye quality...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kenya wametufunika kwenye shughuli za kimaendeleo, Benjamin fernandez kijana wa kitanzania aliehamishia biashara zake Kenya na Kutajirika zaidi anena

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa utajiri mkubwa sana kwenye rasilimiali kuanzia ardhi nzuri ya kilimo, madini, vicutio vya asili, n.k. lakini bado tupo nyuma sana kimaendeleo, Kenya ni nchi ambayo ina rasilimali chache lakini wametufunika kwasababu wamewekeza zaidi kwenye watu (elimu, ujuzi) na...
  10. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia ameinunua CHADEMA, maaskofu, wasanii, na wote wenye ushawishi ila bado simpendi mpaka kiama

    Binafsi simpendi Samia not personal but kwa vitu vyote anavyofanya kwa watanganyika. Katoa Toto afya kadi kwa watoto watanganyika Kaongeza mfumko wa Bei kuanzia nauli, vocha, mafuta, Shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kutoka 2200 mwaka 2021 mpaka 2700 mwaka 2024. Kawawekea matozo ya kila...
  11. JamiiForums Tanzania Tumeshuhudia madhara ya kuwa desperate na mademu ila bado tumo tu. Kuna energy fulani inayokuvuta katika tabu pale unapokuwa mshamba wa wanawake.

    Tumehudumia malaya zaidi ya mama zetu. Tumepigwa klabu kisa kugombea mademu. Tumedharililishwa kisa wake za watu. Tumefirisika kisa makahaba Tumeharibu familia kisa kuleta mke mwenza Tumefukuzwa makazini kisa ku-date na work mates Tumepitia divorce kisa cheating na michepuko Tumechelewa...
  12. JamiiForums Tanzania Utawala bora bado ni tatizo kwa hii nchi

    Kumbe watu wanakula mitonyo yetu na sie tumekaa kimyaa tuu?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Chadema acheni maisha ya kifahari chama bado ni Maskini sana

    Chadema jaribuni kupunguza matumizi ya anasa ili mjenge chama; 1: Mikutano ya kamati kuu inafanyika kwenye hotel zenye hadhi ya nyota tano. 2: Viongozi wakuu kutembelea magari ya anasa. 3: Kipngozi mkuu kuomba michango watanzania ili anunue gari ya anasa 4:Viongozi wa chama kukesho mitandaoni...
  14. JamiiForums Tanzania Hiki ndicho kinatakiwa kuwa kiwango cha chini kabisa cha imani ya mtu ambaye bado anaingia nyumba za Ibada

    Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake. Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani. Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa aina zao wanaonyesha ujasiri wa kuyapuuza na hata kutoyazungumzia au kuyapa promo wanaomcha Mungu na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini bado usipuuze Maombi?

    Bado maombi yana nguvu. Puuza wanaopuuza maombi. Maombi Yanaweza kugeuza maamuzi ya Serikali na viongozi wakubwa wa nchi. Mfalme wa Iran Koreshi, Altashasta na Dario walijikuta wanaendeshwa na maombi ya wakina Danieli, Nehemia, Ezra licha ya ukatili wao. Maombi yalimtoa Petro Gerezani. Maombi...
  16. JamiiForums Tanzania Kama bado unajitafuta toyota passo ndo usafiri sahihi

    Wakuu hii ni passo ya 2 kumiliki, ya kwanza nlimvua mtu nikaa nayo km miaka 4 nikauza nikanunua mpya sasa ninayo mwaka wa 5 unaelekea, mimi ni heavy user nasafiri nayo sana hadi km 1300 non stop, coz napenda kuwa na independent time kwamba nikipanga nasafiri mda flan na mda flan nitakuwa mahali...
  17. JamiiForums Tanzania Je, bado hujapata Airtel SME menyu?

    OFFLINE ❌❌🥶
  18. JamiiForums Tanzania Vituo vya usaili kwa walimu ni bado?

    Nikiingia kwenye account yangu kwenye sehemu ambako usaili utafanyika hakuna jina la kituo na badala yake wanaelekeza kuingia kwenye tovuti ya www.ajira. go.tz kwa taarifa zaidi lakini nako hakuna taarifa yoyote. Shida ni nini hapa wakuu? Au majina ya vituo bado?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Napendaa mambo ya modeling sana na natamani nifike mbali lakini bado sijapata connection nzuri ili niweze kutimiza ndoto zangu

    Hello naitwa Jenipha napenda sana mambo ya modeling lakini Bado sijapata connection au njia rasmi ya kuweza kutimiza ndoto zangu nahitaji msaada wenu. 0713776534
  20. JamiiForums Tanzania Wasio na mwenza(mke/mume) au mtoto bado hawajaanza maisha?

    Kuna hii kauli watu huwa wanapenda kuisema wanaposimulia historia za maisha yao "nikampata mwenzangu tukaanza maisha..." Hivi kabla ya kumpata mwenza na watoto mtu anakuwa bado hujaanza maisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…