bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu kiufundi sababu za kocha kumtoa Mpanzu leo wakati bado anaupiga mwingi aniambie

    Elie Mpanzu ndio kwanza leo ameanza kuitumikia rasmi Simba, alitakiwa acheze dakika zote 90 kWa sababu hana match fitness. Lakini huyu jamaa yetu Fahdu ambaye mimi namuona kabisa anabahatisha dakika 58 tu anamuita nje. Isitoshe akaendelea kufanya sub za kuwaingiza Mzamiru, Kagoma, Mutale na...
  2. JamiiForums Tanzania Swala la Elimu bado serikali inatania kwenye baadhi ya mambo

    Haiwezekani mtaala umeboreshwa na hekaheka kibao zimefanyika halafu leo majestically wanafunzi wote wanachaguliwa shule yao ileile ya katani kwao whereas waliambiwa kabisa hapo kabla kwamba kutakuwa na mkondo wa jumla na mkondo wa amali na shule za mkondo wa amali zikaainishwa watoto wakachagua
  3. JamiiForums Tanzania Mpoozo wa Simba kipindi cha pili Bado haujatafutiwa dawa

    Falsafa za Fadlu kipindi cha pili itasababisha siku Simba ifungwe magoli mengi Mohamed Hussein anatoa boko nyingi sana siku hizi.
  4. JamiiForums Tanzania Nimempa mwanamke wangu mchongo wa kuingiza elfu 50 kila siku na bado ananiomba hela za matumizi

    Naona mahusiano haya yatanishinda, asubuhi kaamka anataka nimtumie hela anunue gesi, mchana kanitumia meseji tena anataka nimsaidie kulipa ada ya chuo saa hizi anataka hela ya kwenda kusuka Nimewaza na kuwazua sijamuelewa ikiwa kazi anafanya ya serikali na kuna mchongo nimemconnectia anapiga...
  5. JamiiForums Tanzania Maelezo ya Wenje yamenyooka zaidi kuliko tuhuma za Lissu! Huenda Mbowe bado ni mtu sahihi zaidi kuongoza CHADEMA

    Nimesikiliza maelezo ya Ezekiel Wenje aliyetuhumiwa na Lissu kumpeleka Abdul kumuhonga pesa, ukiniuliza mimi naona maelezo ya Wenje yamenyooka sana kuliko tuhuma alizokuwa anarusha Lissu dhidi ya watu anaodai wamehongwa. Swali ambalo limebaki sasa ni kwamba Lissu anafanya mambo haya kwa sababu...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia manabii wa uongo bado hawajatokea, hawa niwatafuta maisha tu

    Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu. Biblia imetabiri watafanya Ishara hadi kushusha moto. Hapa bado sijaona nabii yoyote akifanya ishara yoyote ya ajabu. Vyote ni vya...
  7. JamiiForums Tanzania Ambush in the night...by Bob Marley..Maneno bado yanaishi na yanatuhusu...

    Ambush In The Night"....Ishapita miaka 45 toka wimbo huu upigwe na kurekodiwa,,,lakini maneno haya bado yanaishi,,,tena kwa hili wimbi la upepo wa kisiasa kwa sasa,,,utamalizia mwenyewe,,,,,, (Ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!) See them fighting for power (ooh-wee, ooh-wee, ooh-wa!) But they know not...
  8. JamiiForums Tanzania Watanzania bado hawajui maana ya demokrasia wanatakiwa waelimishwe

    Mimi nilijua demokrasia ni nini baada ya miaka fulani ya nyuma sana kufuatilia primaries za both republican and democratic Kwanza unajiuliza hawa wote wanatoka chama kimoja kwanini wanapondana hivi hadi mambo ya kifamilia, it very nasty lakin wao wanaona ni kawaida na wanaita democrasia na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kwa hesabu zangu Makusanyo ya DP World bado yapo chini kulinganisha na miaka ya nyuma 2019/20

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa amedai DP World kwa miezi mitano tangu ianze kazi imekusanya Bilioni 325. Hii ni sawa na Bilioni 65 kwa wastani wa kila mwezi mmoja. Natuzingatie hii ni miezi yenye meli nyingi na mizigo mingi. Kwa mwaka wa 2019/2020 Serikali ilikusanya Bilioni 901 kwa mwaka...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea CHADEMA, na suala la Abdul bado mnaamini saini kwenye barua ya kuwaidhinisha kina Mdee ilifojiwa?

    Pascal Mayalla aliwahi kuleta uzi humu kwamba CHADEMA kuna kirusi kinawatafuna na kipo ndani kabisa kwenye chombo chao cha maamuzi. Ukiangalia haya yanayotokea hapo chadema kwa Mbowe kung'ang'ania madarakani ukijumlisha na suala la Abdul kuambatana na kiongozi mkubwa ndani ya chadema kupeleka...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Kama ni kweli kuwa CHADEMA bila Mbowe haiwezi kwenda, basi chama bado kina safari ndefu sana

    Kuna baadhi ya wanachama wamenza kuwa na wasiwasi kuwa Lisu anakipoteza Chama bora uongozi wa Mhe. Mbowe ulikuwa imara na madhubuti
  12. JamiiForums Tanzania Mambo bado kesi ya Dr Manguruwe, kuendelea kusota rumande, kesi yaahirishwa

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Vanilla International Limited, Saimon Mnkondya, maarufu Manguruwe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo baada ya kesi inayomkabili kuahirishwa kutokana na kutokamilika kwa upelelezi ambapo anashtakiwa kwa makosa 29 ikiwamo ya uhujumu uchumi...
  13. JamiiForums Tanzania Je upendo wa kweli ni mpaka aagize Mungu ?

    Je
  14. R

    JamiiForums Tanzania Lissu kuwa na kaba ya ulimi, unawapa clue wafuatilie calls zako kumjua aliyekwambia kuhusu wasiyojulikana

    Nimeshangaa Lisu kusema kuwa kuna mtu mkubwa sana hayupo serikalini amemfahamisha kuwa anawindwa kudhuliwa ili asingiziwe Mbowe. Fine, unaropoka kitu nyeti kama hicho, technolojia ya sasa watafuatilia nani alikupigia simu/whatsapp kutoka kwenye makampuni ya simu na kumjua huyo unayemficha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania STORI YANGU; Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na Mama yake!

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania Nilimsomesha mpaka chuo lakini bado wakataka kunimaliza yeye na mama yake

    Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote, lakini alikuwa anahudumia familia na kusomesha wadogo zake. Mimi sikuwa nikijua hilo mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanaume unaoa ukiwa bado unaishi kwenu, una akili kweli?

    Hii Gen Z ina mambo mengi sana, ni kawaida kukuta mtoto wa kiume ameoa na bado anaishi kwa wazazi, yani alipo olewa mama yake na yeye analeta demu wake, huku ni kuvunjia heshima wazazi, kama unajijua ni kijana unayesumbuliwa na genye za kipumbavu basi nenda ukapange na sio kumaliza pwiru wako...
  18. JamiiForums Tanzania KERO MAAJABU! Dom-Iringa, mashimo kama yote. Mkandarasi bado yupo site?

    Hata kama ni kubunya huku mnazidisha aisee. Mbona Dom-Kondoa-Babati-Arusha barabara imejengwa standard kabisa haina mashimo kama hiyo ya Dom-Iringa?
  19. JamiiForums Tanzania Wazee wa Kubet njoo tukumbushane mbinu tulizotumia lakini Mhindi Bado AKATUCHAPA!

    Betting ni kitu kitu addiction ya ajabu sana. Kila siku tunachezea kichapo lakini Bado hatukomi. Sasa Kuna Ile time, umeshachambua Games lkn Hali Iko pale pale, unaanza kwenda prediction zako😁, ukiamini pengine mambo yanaweza kuwa tofauti🍾... twende kazi ngoja nitoe zangu😋 Mm nilishawah...
  20. JamiiForums Tanzania YANGA BADO VIWANGO VIKO CHINI

    Wakishinda ni bahati nasibu 😂
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…