bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi bado hawana uelewa wa kujikinga na machafuko

    Chiefs heshima kwenu... 1 Poleni sana kwa kila mmoja aliyeguswa kwa namna moja ama nyingine kutokana na shughuri ya ukombozi wa taifa lenu wenyewe. 2 Nikiri kuwa kuna idadi kubwa ya waliopoteza maisha huku wakiwa si washiriki wa maandamano. 3 Pamoja na hayo ,nimegundua watu wengi hawana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuna muda mizigo tunayobeba wanaume ni mizito ila tukifikiria Familia hatuna namna na bado watoto wanamuona mama yao ndie hero

  3. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wajuzi: Je hizi brake pads bado zipo vizuri au zimekwisha?

    Wadau wa spare za magari, naombeni mnijuze kuhusu hizo brake pads kama bado zinaweza kutumika au zimeisha kabisa. Ni Toyota genuine parts
  4. JamiiForums Tanzania Bado haingii akilini mtu anawezaje kuuawa na risasi mbele ya Askari jeshi wa nchi husika ?

    Toka tarehe 29 mpaka leo bado nawaza mwananchi anawezaje kulengwa shaba mbele ya askari wa jeshi la wananchi naye askari akabaki anashangaa tu kama sanamu. Moja mwananchi anapigwa virungu mbele ya askari jeshi, jeshi bado linashangaa inafuata anauawa bado tu mwanajeshi anashangaa wala hatua...
  5. JamiiForums Tanzania Tukiwa wakweli, kuna kosa la uhaini wakati serikali inayodhaniwa kutaka kupinduliwa ilikuwa bado kuchaguliwa wala kuundwa?

    Kosa la uhaini uhusisha nia, kujaribu, hata kutenda kitendo cha kutaka kuiangusha serikali. Sasa najiuliza na kushangaa. Ni serikali gani iliyokuwa 'ipinduliwe' wakati uchaguzi wa kuchagua watakaounda serikali na mihimili yake ndo walikuwa bado kuchaguliwa? Huu ni ujanja au uzwazwa wa watawala...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi hawajawaruhusu watoto wao kwenda shuleni. Bado wana hofu ya vurugu

    Nimegundua kuwa Wazazi wamewazuia watoto wao kwenda shuleni. Hofu bado ni kubwa sana. Wanasikilizia kama kweli hali ya utulivu na amani imerudi
  7. JamiiForums Tanzania Kwa ukatili ulichofanywa na polisi hadharani, ninamashaka kama Waliotekwa wanaweza wakawa bado wapo na roho zao

    Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana. Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika. Ule ukatili wao umefanya niwaze utimamu wa akili wa aliyewatuma. Ule ukatili wao umefanya niwaze majukumu ya msingi...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matumizi ya Tsh 600B za uchaguzi!!! Tusishangae vijana kuchoma nchi

    Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu wa kuja kutusaidia Watanzania

    Tanzania Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Netblocks: Mitandao ya kijamii bado Inakabiliwa na vikwazo licha ya Intaneti kurejeshwa Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
  11. JamiiForums Tanzania Hata kama watazima maandamano, je Samuya bado atakuwa na udhu wa kuongoza nchi yetu au aende kwao Zanzibar na kutuachia nchi yetu?

    Kuna haja ya watanzania hasa watanganyika kuanza kutafakari juu ya mstakabali wa taifa letu. Je, tutafanya uzembe tuliache kwenye makucha machafu ya machawa na ida amin mama ili tuumizwe na kuibiwa zaidi? Je, tutafanya nini? Nadhani huu ndiyo wakati muafaka wa kujikomboa na kulikomboa taifa letu...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tume ya Uchafuzi Bado Ipo Kazini?

    Hili ndilo swali la DHARURA linalotakiwa kupata jibu haraka wakati huu kabla ya masaa 72 hayajatimia kama walivyo ahidi kabla ya zoezi la uchafuzi kuanza hapo Oktoba 29. Hawa wanafanya kazi gani wakati uchafuzi ulizuiliwa na wananchi? Kwa nini waruhusiwe kuendelea kutoa matokeo ya zoezi ambalo...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Leo ni siku ya Uchaguzi, lakini barabarani bado kuna Mabango ya Wagombea wa CCM

    Leo ni siku ya Uchaguzi, lakini barabarani bado kuna Mabango ya Wagombea wa CCM. Kwani Sheria inasema? Je, nani atawanya nini?
  14. JamiiForums Tanzania Weekend nyingine tamu EPL. Pale juu wa kututoa bado hajaonekana

    EPL inaendelea kutupa raha, kuna watu mechi nne hawajashinda ata moja. Arsenal kombe letu huu mwaka. Mnao ogopa makelele nunueni ANC earphones.
  15. JamiiForums Tanzania Bado mpo mnaolitegemea jeshi kuchukua nchi tarehe 29? 😂

    Hayawi hayawi yanakuja kuwa. Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia. Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu. JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu: 1. JWTZ ni majuha. Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kama ni Kweli CCM Bado ni Chama

    Kwa nini wasianze upya kabisa baada ya zoezi la Oktoba 29? Maana yake ni kwamba; CCM iliyo tufikisha hapa ifutike kabisa, kwa sababu imekuwa ni balaa kwa nchi hii. Maana yangu ni kuwa, kila kinachohusika na CCM ya sasa kiishie Oktoba 29; watakaotaka kuendelea na chama hicho waanze upya kabisa...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano bado siku 4! Tanganyika

    WATANZANIA GENZ-ZS FLOOR NI YAKO, UTUFANYE! GHADHABU NA MATAIFA Pamoja tusonge mbele #Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️ #SamiaMustGo #riseupTanzania #FreePolepoleNow #FreeTunduLissu #wakeupTanzania #struggle_for_africa 📍
  18. S

    JamiiForums Tanzania Enyi JWTZ Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo

    Vaeni mavazi ya ujasiri. Vaeni gloves za uzalendo. Fungeni mikanda ya maamuzi. Kwa mkijua, nchi inauzwa. Ngorongoro imeuzwa. Bandandari imeuzwa. Pori la Loliondo limeuzwa. Madini yameuzwa. Ni kipi kimebaki kwa ajili ya wanetu? Ndugu zetu wanatekwa, wanauawa, na wanafungwa bila sababu. Yote...
  19. JamiiForums Tanzania Tutakoleza moto waliowasha wenyewe. Na bado

    Mlitaka wenyewe. Na bado. Mliwasha moto msojua kuuzima sio. Siye wakati twauzima nye mlituzuia. Sasa tulieni tukoleze afu mwaja kutuambia nini mwataka. Na bado. Zamu yao wapelekewe moto walowasha wenyewe. Peleka moto Shubash
  20. M

    JamiiForums Tanzania Una uhakika wa kula maisha yako yote na ukoo wako wote, bado tu ung'ang'ania cheo ili iweje?

    Panaugumu gani mtu kuachia nafasi kwa sababu ya kuogopa nafsi zinazopotea kwa ajiri yako? Unajua kabisa wewe ni waziri wa mambo ya ndani, lakini kinachofanyika kwenye wizara unayoiongoza ni laana tupu ya maisha yako yoote Licha ya watu wengi kuishi maisha ya dhuluma na hata kutesa na kuuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…