baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Baba Majaliwa apongezwe. Ilikuwa ni lazima baba yake aikimbie familia ili kijana Majaliwa awe shujaa

    Babake Majaliwa anastahili pongezi nyingi sana kwa kutuletea shujaa. Kitendo cha huyu babake Majaliwa kuukimbia familia ndiyo kimepelekea Majaliwa kuishi kwa shida hivyo kujengeka na kuwa shujaa. Watoto wengi wanaolelewa na wazazi wawili huwa ni walegevu na wasio na tija ktk jamii. Huishia...
  2. JamiiForums Tanzania Nyumba nyingi zinatelekezwa na wababa kisa akina mama. Hii ni baada kumsikiliza baba yake kijana Majaliwa, baba Dimpozi n.k

    Nyumba nyingi wazazi wa kiume ama kina baba wanazikimbia na kuwaacha watoto kisa kikubwa inaonesha ni kina mama, hii ni baada kujitokeza mara nyingi wazazi wa kiume baada vijana wao kupata maendeleo flani mifano michache ni kama huyu kijana shujaa Majaliwa na watu maarufu kama Dimpoz na Diamond...
  3. JamiiForums Tanzania Baba yake Majaliwa mvuvi ajitokeza na kudai..

    Nimepitia kwenye mitandao nimekuta kuna habari kubwa kumhusu Majaliwa kijana ambaye amevunja vichwa vya habari hapa juzi kwa kuongoza zoezi la kuwaokoa abiria wa ajali ya ndege huko Bukoba. Baba huyo ametoka hadharani na kudai kwamba pesa ambayo Majaliwa alipewa kama motisha ni ya familia na...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta ndungu wa upande wa Baba Meck Msigwa

    AMANI ya Bwana iwe nanyi. Kama kichwa cha Habari hapo juu.natafuta ndugu wa Baba angu ambaye Alifariki kwa Ajali ya Gari miaka ya 1987. Alikuwa Akiitwa Meck Msigwa.alikuwa akifanya Biashara ya Mchele na Maharage kutoka Mbeya kwenda Dar. Mara ya mwisho alipata Ajali akiwa anasafirisha Maharage...
  5. JamiiForums Tanzania Tunamlinda Mzee. Mali ya Baba yako ni Haki yako ya Msingi

    Hakuna haja ya kuuma uma maneno. Watu wana ujinga eti usitegemee urithi au usipigie hesabu Urithi. Ukiona hivyo ujue hawana cha kurithi Mzee aliamua yeye na mama kunizaa. Sikumwomba. So alikuwa amejipanga. Na hakupaswa anizae nije pata shida. Sasa amepata mali eti nisipigie hesabu. Nyie mna...
  6. JamiiForums Tanzania Niwasimulie kisa cha Babu yangu aliyekuwa kama baba yangu

    Mi ni first born, tumezaliwa wawili. Miaka hiyo ya 90s baada ya mama kutalikiana na baba mzazi aliyeamua kumuoa mwanamke mwingine na kumwingiza aishi nyumba moja na mama(dharau) hivyo mama alishindwa aliamua kurudi home kwao Tukuyu from Magomeni Mapipa DSM. Watoto wawili, hivyo akaona hatoweza...
  7. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi baba mwenye nyumba naye kupangiwa zamu ya kupika na kuosha vyombo?

    Habari za Muda huu Nipo na rafiki yangu, nimekua nikiona ana ratiba yake ya kupika na kuosha vyombo. Watu huku wenzetu wanamapenzi ya kizungu yaani huyu rafiki yangu kila Jumapili huwa anashinda Nyumbani na kufanya shughuli za kupika na kuosha vyombo achilia mbali kufua na kufagia uwanja. Je...
  8. JamiiForums Tanzania Yusuf Bakhressa na Mzee Bakhressa hiki ndicho kinaisibu Azam FC yenu kwa 99%

    1. Kuna wapigaji wengi. 2. Kuna wanafiki wengi. 3. Kuna Uyanga na Usimba mwingi. 4. Kuna usaliti na kutumika kuanzia kwa viongozi na wachezaji. 5. Majungu mengi kutoka kwa wachezaji wazawa na mafaza. 6. Ushirikina na kurogana sana. 7. Mchoyo wa kuhonga kwa waamuzi (marefa) ambao wanahongwa...
  9. JamiiForums Tanzania Kumuenzi Baba wa Taifa: CCM, Serikali, Viongozi na Watanzania kwa Ujumla. Je, tunamuenzi kwa Mawazo, Maneno na kwa Vitendo? Tunamuishi?

    Karibuni tena kwenye makala zangu za “Kwa Maslahi kwa Taifa”, zinazozungumzia mada mbalimbali kuhusu taifa letu ziwe ni za kisiasa, za kiuchumi au za Kijamii, baada ya leo ni kuhusu kumuenzi Mwalimu Nyerere, kwa vile Tarehe 14 October ni Nyerere Day, leo naomba tutafakari jinsi sisi Watanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Watoto wa "Single mama" jifunzeni kwa Diamond Platinumz kuishi na baba zenu wa kambo

    Ndiyo, nawakumbusha tu. Kila siku utasikia Anko Shamte piga YOPE! Anko Shamte! Ankali wa Taifa! Yaani hadi unatamani kabisa kuoa single mama. Hii si kwa bahati mbaya, kijana anamkubali baba’ke wa kambo. Na hii ndiyo furaha na tulizo la mama’ke. Sasa kuna hawa wengine, kuna muda hata salamu tu...
  11. JamiiForums Tanzania Baba alitaka kuniua Mbele ya Walimu na Wanafunzi wenzangu. Kama tu si Kuzuiwa...

    Nilikuwa nasoma kisa cha mtu flani humu nikakumbuka story ambayo nlishaielezea twitter kwa wadau wa huko. Miaka hiyo nlikuwa nasoma shule flani ya Sekondary Mkoa fulani hapa Tanzania. Unajua tena shule za Boarding na ujana nikiwa Kidato cha sita nikapata msala baada ya kukamatwa Namkamua binti...
  12. JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Historia ya Baba wa Taifa kwa mukhtasari

  13. JamiiForums Tanzania Nyerere Day: Baba wa Taifa katika vitabu

  14. JamiiForums Tanzania Mungu baba anajua haya?

    Kila nikitazama clip na live za manabii,kuhani,wachungaji najiuliza kweli wote wayatendayo haki ktk imani kweli? Wengi wanahubiri mafanikio ktk biashara,kazi na kipato.Sioni wakihubiri zaidi ktk kuwajenga watu ktk imani na kumcha mwenyezi. Wanahubiri matukio zaidi unakuta anasema shetani...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Hayati Baba Magufuli najua hujalala mpaka yalio andikwa yatimie (Utabiri)

    Najuwa umelala lakini roho yako haijalala. Yes najuwa roho yako haijalala. Najuwa Kuna watu walifurahia kifo chako mpaka wakasimama nakusema alidhani yeye ni Mungu lakini sasa wote wapo ktk vyumba wanalia kila wanapo juwa ukweli na sio kuujuwa ukweli ila kupewa full secret mission which while ye...
  16. JamiiForums Tanzania Inamaanisha nini kumheshimu BABA yako na MAMA Yako?

    Amri inayosema mheshimu baba yako na mama yako,inapatikana mara nyingi katika biblia. (Kutoka 20:12, Kumbukumbu la Torati 5:16, Mathayo 15:4, Waefeso 6:2,3) [ KUTII AMRI HIYO KUNAHUSISHA KUFANYA MAMBO YAFUATAYO:-] 1>-WATHAMINI:-Unawaheshimu baba Na mama yako unaposhukuru kwa ajili ya mambo...
  17. JamiiForums Tanzania Akina baba msiwachokoze watoto wenu

    Waefeso 6:4 "Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maonyo ya Bwana". Kabla ya yote niweke wazi kwamba ninaamini biblia ni kitabu kitakatifu chenye mafundisho yote muhimu kwa binadamu. Pia ni kitabu chenye kuburudisha na kusisimu sana. Kimsingi biblia ni...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mimi ndio Baba na mimi ndio Mama. Je, ni sahihi?

    Baba ni nini? Baba ni mzazi wa Kiume wa mtoto. Baba mzazi ni mzazi wa Kiume wa mtoto yule aliyesababisha ujauzito. Kwa maneno Mengine ni yule ambaye Mbegu zake zilikutana na yai la mama na kutunga mimba. Siku hizi kumekuwa na Trend ya wanawake wa Mjini hasa wenye matatizo na familia zako, au...
  19. JamiiForums Tanzania Ikitokea Baba yako ( Mshua ) Kaoa na Kazaa na Mwanamke unayemzidi Umri mkubwa ( Binti ) Salamu yako Kwake itakuwa ipi kati ya zifuatazo?

    1. Shikamoo Mama 2. Oya Binti Hujambo? 3. Niaje Wewe Mazeri? 4. Heshima yako 5. Za Kulala na Kuamka Maza 6. Uko poa? 7. Mzima Wewe? Nasubiri jibu lenu ili nianze kulifanyia Mazoezi mapema na nilizoee pia kwani Maji yameshavurugika tayari.
  20. JamiiForums Tanzania Binti asimulia Polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti

    Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia mbaroni baba yake ambaye sasa ni marehemu. “Kwanza walifika kwa kishindo alfajiri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…