baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe: Tangu jana nimehifadhiwa ndani kama mwali. Wanaodhani mimi nimepanga mkusanyiko huu sio kweli

    Wakuu, Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu. Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani
  2. G

    JamiiForums Tanzania Mume na Baba wa familia anahitajika

    Mwanamke miaka 33 natafuta mume ambaye yuko serious kuanza maisha ya familia pamoja,awe na sifa zifuatazo. umri kuanzia miaka 33 hadi 40 awe Mkristo Elimu kuanzia bachelor degree na.... awe ameajiriwa/kujiajiri kama hana mtoto au anaye ni sawa awe mrefu. Mimi miaka 33,mkristo,sina...
  3. JamiiForums Tanzania Makonda alivyowadhalilisha wazazi wake Arusha, adai baba yake hakusoma kabisa, mama yake ni darasa la saba

    Nimeamini mdomo kiwanda cha maneno Elimu huongeza busara Kulikuwa na haja gani ya kusema wazazi wake hawana elimu? Kwambababa yake hakusoma kabisa na mama yake ni darasa la saba B Lengo lilikuwa nini kama sio kuwadhalilisha?kwa dunia ya leo kujisifu kuwa mzazi wako hajui kusom wala kuandika...
  4. JamiiForums Tanzania Ukitaka kuoa usiangalie kabila wala Nyash bali chunguza kama Baba wa mkeo mtarajiwa ni mkoloni, utakuja kunishukuru

    Malezi ya mtoto ni conditioning, na kama tunaongelea mtoto wa kike basi uhusiano wake na baba yake utakupa ishara bora jinsi utakavyokuwa ndani ya ndoa na wewe Kuna wale mababa ambao huwaita watoto wao wa kike maneno ya kiutani utani; utasikia "my little angel", "Sweetheart" na ukurutu...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mpenzi/mke wako akishika mimba mwezi huu jiandae mwakani mwezi 8 kuitwa baba

    Tunaanza weekend salama.Poleni kwa mihangaiko wapambanaji wenzangu Ila ni muhimu kuepuka Mimba zisizotarajiwa.🤣👇
  6. JamiiForums Tanzania Lissu ana uwezo wa kudai urithi wakati baba yake akiwa hai, familia ya Mzee Antipas ijihadhari

    Imagine mtu kaanza kujaza fomu za makamu Mwenyekiti mwaka jana, leo kaibukia kwenye uenyekiti, ni nini kinamsibu Lissu? Tamaa?
  7. JamiiForums Tanzania Njombe: Baba abaka watoto na kuwaambukiza Virusi Vya UKIMWI (VVU)

    Watoto wawili wa familia moja ambao ni wanafunzi wa shule ya msingi katika halmashauri ya mji wa Makambako mkoani Njombe wanadaiwa kubakwa na kuambukizwa virusi vya ukimwi (VVU) na baba yao wa kufikia. Victor Nyato ambaye ni mwenyekiti wa mtaa wanapoishi watoto hao na mama yao, ambao mmoja...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kaburi la baba yake Asad lachomwa moto na waasi

    Niaje niaje, katika kuendeleza msururu wa matukio baadaya kuanguka utawala wa mkono wa chuma kutoka kwa familia ya asad waasi waliopindua serikali wamechoma moto kaburi la baba yake na asad. Hii inadhihirisha kuwa kama hawa jamaa wangemkamata mikononi basi alikuwa analiwa supu kabisa .hapa...
  9. JamiiForums Tanzania Kaburi la hafez al assad baba yake bashar al assad limelipuliwa leo na waasi walioteka nchi

    Kaburi hilo limelipuliwa na kuharibiwa vibaya mno na waasi waliochukua nchi kwa kumfurusha bashar al assad Ikumbukwe hafez al assad aliwaua wasunni wengi sana wakati akitawala syria kwa mkono wa chuma ilibidi afanye hivyo sababu madaraka aliyapata kwa mapinduzi ya kijeshi Hii habari...
  10. JamiiForums Tanzania Jina lipi la utani mlimbatiza baba yako kutokana na ukali wake?

    Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia. Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi badala ya upendo na usalama kutoka kwa wazazi. Mfano mzuri ni pale baba anaporudi nyumbani kutokana na...
  11. JamiiForums Tanzania Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo "Sijakutuma kuniombea msamaha"

    Ally Kamwe amtolea povu Baba Levo: akisema: "Sijakutuma kuniombea msamaha," baada ya Kampuni ya Kisheria inayomwakilisha mfanyabiashara Sandaland the Only One, mtengenezaji wa jezi za Klabu ya Simba, kumtumia barua ikimtaka kulipa fidia ya Shilingi Bilioni Tatu. Barua hiyo inadai kwamba kauli...
  12. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Kiume kadri anavyokua huanza kumsamehe Baba yake

    Mahusiano yana mambo mengi, Ndoa zina mambo mengi. Kuna mambo yanatokea kwenye Ndoa kupelekea Baba kuikimbia familia na kwenda Kuoa Mwanamke mwingine. Ama Baba kuzaa nje bila Mpangilio. Mtoto wa Kiume humchukia Baba pale anapokua Mdogo, humuona Baba kama asiye na Upendo na Mama yake, ama...
  13. JamiiForums Tanzania Baba mkwe hataki nimrudishe mwanae anasema atamkanya kwa mara ya nyingine

    Hivi ni kwanini? wanasema busara ni kumrudisha mtoto wa wenyewe kwa wazazi endapo unaona hakidhi vigezo ikiwemo ukosefu wa utiifu. Sasa Leo nimepiga simu mzazi kasema hapana ataongea nae kwa mara nyingine tena nimpe nafasi nyingine. Siku za hapo nyuma mara 3 hivi nimeripoti kuhusu vitendo vya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Madhara gani kwa mtoto baba akitembea na mwanamke mwingine?

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  15. S

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kwa mtoto baba akitembe na mwanamke mwingine

    Ivi nikweli ukitembwa na mwanamke mwingine huruhusiwi kusika mwanao kwamba Atadhuruka.. na kuathiri ukuaji wake?
  16. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli. - Watu wali...
  17. JamiiForums Tanzania Ukiona kijana yeyote ni kada mtiifu wa CCM jua baba yake alikuwa ana nafasi fulani ya uongozi

    Wadau Tusitishane, Tusipangiane na Tusilazimishane. Wengi wa vijana wa ccm {kada} watiifu wamekuwa hivyo kutokana na wazazi wao kuwa watendaji wa vijini/kata, wengine ni watoto wa waalimu hawa huwambii kitu kuhusu chama ma mapinduzi. wengine ni watoto wa mafisadi papa hawa sasa kaa nao mbali...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto hawatelekezi baba mwenye nguvu ya kifedha na akili

    WATOTO HAWATELEKEZI BABA MWENYE NGUVU YA KIFEDHA NA AKILI Mara nyingi sana tunaona na kusikia visa na mikasa Ya jinsi wababa ambao wamesogea kiumri sana...🥸🥸🥸 Wakilalamika kukimbiwa na watoto pamoja na mke Yaani watoto wamejipata wanaungana na mama yao... Kukuweka wewe kando... Hata kama mko...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kauli gani uliwahi kuambiwa na baba, mama au mlezi wako ambayo baadae kabisa ndio ulikuja kuielewa?

    Kwema wakuu? Binafsi nilikulia kwenye familia ambayo wazazi wanazingatia sana kuhusu watoto wao, nikimaanisha ni watu wenye kufuatilia Kwa ukaribu sana mienendo yetu, sio watu waliotuachaniza kufanya mambo Kwa kujiamulia. Kipindi nasoma nilikuwa na rafiki zangu ambao wazazi wao walikuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Huwenda Chadema ndicho Chama kilichokataliwa na Baba wa Taifa kushika hatamu kama ilivyokuwa kwa Lowasa?

    Chadema ndicho chama Kikuu cha upinzani Tanzania licha ya misukosuko mingi inayopitia, hiki ndicho nafahamu na jambo hili liko wazi! Nimetafakari nikawaza na kuwazua mengi sana, na tafakari yangu ikanipa kuwaza hiki ninachouliza sasa Chadema kimepitia na kinaendelea kupitia kwenye wakati mgumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…