Jakaya Kikwete atabaki kuwa Baba wa Demokrasia bora Tanzania kupita Marais wote waliopita na wajao

Gabeji

JF-Expert Member
Sep 10, 2024
817
1,068
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania

Nikabaini kuwa mh.kikwete miaka yake kumi alifanya bora zaidi ya katika kuruhusu democrasia ya kweli.
- Watu wali mtukana ,hakuwazuru
  • Watu walikuwa huru kutoa maoni yao
  • Vyombo vya habari vilikuwa huru
  • Uchaguzi ulifanyika kwa amani kabisa bila kumwaga damu za watu
  • Watu hawakupotea ,kutekwa, kuuwawa, nk, ni kesi tu ya mwangosi, ambayo nayo ilikuwa bahati mbaya.
  • Wapinzani walifanya siasa na wakachaguliwa, bila shida yoyote .
  • Raisi ambaye kwa kweli mm binafsi alifanya vizuri sana ukilinganisha na wengine.

NB. Wengine huwa wanasifa mtu akiwa amekufa, mm mzee nakupa maya Yako wakati u hai , uishi maisha marefu sana. Mungu ibariki Tanzania by mwinjilist wenu Gabeji.
 
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Nimefikilia sana leo juu ya uchaguzi ulivyo fanyika, kulinganisha na chaguzi zingine zilizo pita chini ya maraisi mbalilmbali Tanzania...
Mimi hata waniambie ooh Dr. Ulimboka sijui mwangosi ila ukweli ni kwamba awamu ya Tano na ya sita imetia fora kwa ukatili wa hadhara na kwa viwatu vidogo vidogo
 
Back
Top Bottom