baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Askofu Dr Bagonza: Mwongozo wa Kuhama Chama

    MWONGOZO WA KUHAMA CHAMA Katika msimu wa Ligi yoyote, huwa kuna wachezaji kuhama club zao. Hata kwenye siasa, dini na hata ndoa, imeanza kuzoeleka watu kuhama au kuachana. Napendekeza Mwongozo wa kuhama: 1. Unapohama, tueleze uzuri wa unakokwenda, si ubaya wa unakotoka. Tayari tunajua utokako...
  2. JamiiForums Tanzania Hili baba lina miaka 43, halijaoa na halina mtoto. Ila lina sababu ya msingi japo haina mantiki

    Umaskini Umaskini Umaskini Nakuita mara tatu😭 Yupo yupo tu. Kwa mujibu wake ameanza kupambania maisha yake tangu akiwa na miaka 14 baada ya kufeli shule darasa la saba. Kapambana sana maskini! Kuna kipindi alifikia akasema hata mapenzi aache kufanya kabisa maskini, akiamini nguvu za kufanyia...
  3. JamiiForums Tanzania CCM watoa salaam za pongezi kwa kuchaguliwa kwa Papa Leo XIV

    SALAAM ZA PONGEZI KWA KUCHAGULIWA KWA BABA MTAKATIFU MPYA
  4. JamiiForums Tanzania Arusha; Baba aokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto kubebwa na mafuriko

    Kijana mmoja ajulikanae Kwa jina la jimmy au almaarufu Baba Adriana, mwenye umri wa miaka 30 mkazi wa Lemara ameokolewa akitaka kujinyonga baada ya mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 6 aliyekuwa nae kwenye pikipiki yake kusombwa na maji wakati wakivuka mto. Tukio Hilo limetokea njiro...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kila jioni unaenjoy chakula na watoto wako ila wewe umehusika bila haki kuwatenganisha baba na watoto wake wasi-enjoy jioni ya pamoja

    AMANI, UTU NA UTULIVU kwa baadhi ya watu ni vitu cheap sana.
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ukiuchukua Urais kwa Dharula ya Kikatiba na Kuongoza kwa miaka 3 au 4 bado unastahili kuitwa Baba au Mama wa Taifa?

    Nitashukuru mkinijibu manake kuna Dada Mmoja hapa Mtaani amekuwa ni Mjumbe wa Kata yetu tokea Mwaka 2021 na hakuna anachofanya zaidi tu ya kupenda Umbea, ila nashangaa wana Mtaa Wenzangu wamemkubali hadi kufikia kumuita Mama wa Taifa la Mtaani, ila Mimi mpaka sasa sijaona Maendeleo ya hapa...
  7. JamiiForums Tanzania Wajua Wakristo na Waislamu Watoto wa Baba Mmoja Ibarahim?Mungu Wao ni Mmoja?na Sheria yao n Moja ya Mussa?Amri Kuu ni Upendo!Uchaguzi Huu Tupendane!

    Wanabodi Leo tena naendelea na zile mada zangu za holistic approach kumtumia Mungu kwenye kufundisha mambo ya uchaguzi wetu wa mwaka huu ili twende kwenye uchaguzi mkuu ambao sio tuu ni uchaguzi huru na wa haki,bali pia uchaguzi wenye upendo,utulivu na amani!。 Mada ya leo ni kufundisha kuhusu...
  8. JamiiForums Tanzania Rombo; Kilimanjaro Baba aua mtoto wake na Kisha kuchimba shimo na kumfukia

    Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Edward mwenye umri mwenye umri wa miaka 66 anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Rombo kwa kosa la kumuua mtoto wake wa kiume Kwa shoka na Kisha kuchimba shimo na kumzika mwenyewe usiku. Hali ya Taaharuki imeikumba Kijiji Cha Kilema katika kata ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kutoa siri za familia ya mwenzako mitandaoni je kisheria ni sawa?. Nawazungumzia Baba Levo na Mwijaku chawa Promax

    Huwa sipendelei kuchunguza maisha ya watu lakini hapa kuna kitu cha kujifunza kidogo hasa kisheria hii ni kutokana na hawa jamaa wawili walio jitoa fahamu. Kwangu huwa nawaona kama moja ya wanaume wapumbavu kuwahi kutokea chini ya jua! Nikianza na baba levo amewahi kuwa diwani kabisa akiongoza...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu amegoma kesi yake kuendeshwa kwa njia ya Mtandao. Kesi yaendelea Mahakamani

    Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amegoma kusikiliza kesi ya Uhaini inayomkabili kwa njia ya mtandao hii ni kwa mujibu wa mawakili wake. Lissu alipaswa kufikishwa Mahakamani leo ili kufatilia mwenendo wa kesi hii. Pia soma > LIVE - Kisutu: Kesi ya Tundu Lissu leo itaendeshwa kwa njia ya...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha: Baba atafutwa na jeshi la polisi kwa kumlazimisha mwanafunzi amlawiti

    Jeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, umri miaka 50 anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na...
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Baba mkwe kakataa kupokea Mahari kwa awamu tatu

    Mwaka huu nina mpango wa kuoa sasa Mwezi uliopita nilimtuma mshenga kwenda kuposa kwao Mchumba wangu, Sasa mshenga akanipa jibu posa imekubaliwa na kiasi cha mahali wakatajiwa ni Shilingi milioni mbili na laki mbili na 30, Mimi nikakubali kulipa ila nikawaomba nilipe kwa awamu tatu yani awamu...
  13. JamiiForums Tanzania Ukiwa mdogo utaamin kwa 35% mambo ambayo baba yako analalamika kuhusu mama yako, ukisha pevuka utayaamini kwa 45% na ukisha utayaamini kwa 88%

    Kuna wakati utamsjudu baba baadae utamchukia then baadae unaishia kumuenzi. Hii ndio cycle ya kijana wa kiume katika uhusiano wake na baba yake ambao kwa asilimia kubwa utaathiriwa na mama yake. Maan mama ndio sikio ya mtoto wa kiume Ila ukisha oa, dunia yako inasambaratika vipande na kuanza...
  14. JamiiForums Tanzania Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.

    Akili za hawa machawa kuanzia Manara, Baba Levo , Mwijaku wana IQ ndogo sana.
  15. JamiiForums Tanzania Kwa nini ni rahisi zaidi binadamu kukorofishana, kuchukiana au kutengana kabisa na baba zao kuliko mama zao?

    Ukifuatilia familia nyingi ambazo zina utengano mara nyingi utakuta baba ndio katikati ya migogoro. Watu wengi sana huwa wanatengana na baba zao kabisa ila ni nadra kutokea hivyo kwa mama zao hata kama wanatofautiana huwa ni kwa kipindi kifupi tu kisha mahusiano yanarejea ila upande wa baba ni...
  16. X

    JamiiForums Tanzania Mtu pekee anayekutakia mema na uumzidi mafanikio ni baba na mama yako mzazi tu

    Ndugu na marafiki ni wanafiki tu siku ukifanikiwa ndio utaelewa au ukiwa umewazidi kimafanikio utaona jinsi walivyo kihalisi. Watajifanya kukupongeza kinafiki tu ila pembeni wanaumia sana. Baba ni mpambanaji mwenzetu kila siku atakupa mawazo ya kukujenga. Na huwa anafurahi sana kuona watoto...
  17. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya siku hizi vimegeuka tabia za kusifia mabosi wao kukashifu watu mfano Baba levo

    Kupitia wasafi FM baba levo naona amekuwa kero sana yani mnawezaje kumpa mambo ya uchumbuzi kuanzia uchumi,michezo mpaka kimataifa wakati sio taaluma zake. Uwezi kukashifu watu na kutaja majina yao kuwa wameshindwa kufanikiwa sababu walitoka kwa diamond. TCRA kama mna manufaa na vyombo vya...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje baba kijana wa miaka 28 anaishi Kwa wazazi wake nyumba moja

    Wakuu Leo nataka tu tuongee vitu serious Kuna jamaa kaja analalamika wazazi wake wanamuendesha Kwa kumkalipia na anasema baba yake anamtangaza mtaani kwamba anamtafutia kazi ila yeye hataki jambo ambalo huyu jamaa anasema ni uongo na sio kwamba yeye anapenda kuishi kwao ni kwamba anajitafuta...
  19. JamiiForums Tanzania Watoto waliolelewa na single ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.

    Watoto waliolelewa na single maz ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo. Kijana usioe singo maza
  20. JamiiForums Tanzania Kijana huyu ndiye aliyeteuliwa kuwa mwanaume mzuri zaidi katika sayari ya dunia, Naijulikane Mimi ni baba yake mzazi 😍

    Kijana huyu ndiye aliyeteuliwa kuwa mwanaume mzuri zaidi katika sayari ya dunia, Naijulikane Mimi ni baba yake mzazi 😍
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…