Salaam Wakuu,
Leo sionglei hela za Wahujumu Uchumi kwenda kufichwa China na mchakato wa Investigating Plea Bargaining. Ni uzi mwingine ntaweka.
Kipindi anaenda kuchukua fomu ya kuomba apendekezwe kugombea urais kupitia CCM, alienda Dodoma kimyakimya kama mwizi na kwa Mjibu wa Zitto ni Mwizi...