Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, amesema Watanzania watashuhudia aina ya ubunge tofauti na waliyozoea.
Chipando amesema watu wengi huamini kuwa wabunge hubadilika wanapopata madaraka na kujiona kama “mabosi”, lakini kwake itakuwa tofauti, kwani...