baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gari za watoa misaada Gaza zilipigwa kwa makusudi moja baada ya nyengine

    Mwanzilishi wa shirika la kutoa misaada ya chakula la WCK, Jose Andres amesema kuuliwa kwa wafanyakazi wa shirika lake ilikuwa ni kitendo cha makusudi kilichofanywa na jeshi la Israel. Katika mahojiano aliyofanya na redio moja ya Israel mwanzilishi huyo amesema magari matatu yalikuwa yakitoka...
  2. JamiiForums Tanzania TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

    PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara. Siwezi kuamini hili baada ya kumuona siku chache zilizopita, wakati wa huzuni ya ajabu, rambirambi zangu za dhati kwa wapendwa wake...
  3. JamiiForums Tanzania Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

    Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N. Chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika ni mtangazaji huyo kuoa bila kuomba consent kutoka kwa mke wake huyo, na hata baada...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kumuacha mke wangu amelia sana, naanza kumuonea huruma, nifanyeje?

    Wakuu naanza kumuonea huruma huyu mke wangu baada ya kumpiga chini sasa amenza kulia na kusaga meno yaani napata na huruma aisee na mimi naanza kulia na kusaga meno nakumbuka zile moment lakini moment nyingi zilikuwa za mimi kupigwa,kuchambwa na kutukanwa aiseee lakini sio kesi Wakuu nifanyeje?
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya 'Royal Tour', Serikali sasa yaja na filamu nyingine iitwayo 'Amazing Tanzania'

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa Bungeni leo wakati akiwasilisha Hotuba ya kuhusu Makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi yake kwa mwaka 2024/25 amebainisha kuwa Serikali kutokana na mafanikio ya programu ya The Royal Tour, Serikali imetengeneza filamu nyingine yenye hadhi ya kimataifa ya...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

    Habarini wa Jf imepita sasa takribani week7 na nusu niko week ya 8 baada ya kuishi kwa msongo mkubwa sana wa mawazo kupelekea afya kudhorota na ufanisi wa kazi kuwa mbovu baada ya kuyatimba kwa mdada ambae anamoto aka umeme bado naendelea kumuomba Mungu. Nimeleta mrejesho huu nitumaini nitapata...
  7. JamiiForums Tanzania Ungejuaga mapema baada tu kumaliza form four ungeenda kusomea nini na wapi?

    Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa. Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
  8. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 30 wa Marekani wahofiwa kufa baada meli yao kulipuliwa

    Habari zilizotufikia hivi punde meli ya Kijeshi ya Marekani ya USS Libert imepigwa na makombora ya Iran nakulipuliwa huko Ghuba ya uajemeni na wanajeshi 30 wanahofiwa kufa BREAKING: It's reported that American Navy intelligence vessel 'USS Liberty' has just been hit with a barrage of Iranian...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua. ===== Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali isiyotimiza wajibu wake wa Kikatiba tunaiwajibishaje? Hapo ni baada ya kuiba kura kama dhambi ya kuu ya kwanza

    Kila kinachofanywa na serikali yetu pendwa ni utekelezaji yakinifu wa ilani ya chama kilichopo madarakani. Wananchi ndiyo wanaoiweka serikali madarakani kwa kuchagua chama kitakachoiendesha. Lakini haki hiyo imepokwa kikatiba kwa sababu Katiba ya sasa inaelezea uwezo na utaratibu wa wananchi...
  11. JamiiForums Tanzania Uongozi wa simba msisubirie fursa iwafuate itafuteni- Yanga walikua na mpango wa kupeleka mashabiki south baada tu ya draw ya robo

    Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs mamelodi tayari walishakuwa na mkakati wa baadhi ya mashabiki wachache kwenda south afrika na...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel imebidi liondoke kwa mara nyengine kutoka hospitali ya Alshifa baada ya hasara kubwa

    Hospitali ya Alshifa ndiyo iliyokuwa hospitali kubwa na ya rufaa kwa jimbo zima la Gaza ambalo wakati huo pamoja na mzingiro jimbo hilo lilikuwa na hospitali nyingi za kisasa zenye madaktari bingwa. Mnamo mwezi Novemba mwaka jana hospitali hiyo ilikuwa ni uwanja mkubwa wa kivita ambapo jeshi la...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    Mama ndo mwenye sauti yaani mama anakuwa na kaubabe fulan hivi. Pesa ya Posa lazima iwe nyingi ili wagawane ndugu wa wazaz wa bint na baadhi ya majiran Binti kuolewa mtaa mzima wataambiwa as if kuolewa ni jambo geni kwao. Ukimpa mimba bint wa mbeya usipokua makin anakuletea mtoto na kumuacha...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Lile kundi lililokuwa linafurahia uteuzi na utendaji wa Makonda ktk nafasi ya uenezi, linasemaje baada ya utenguzi?

    Kundi lilianza kutamba kwamba linaogopwa sana, na hata likaenda mbali zaidi kwa kusema kundi la "watoto wa mjini" limeufyata kwao. Nataka kupata majibu ktk maswali haya. 1. Je, kundi hili lina maoni gani kwa sasa baada ya mtu wao kutenguliwa? 2. Bado lina matumaini ya kukirudia kiti cha enzi...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya teuzi mpya Makonda kapanda cheo au kashuka?

    Kutoka kwenye Ukatibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi na Uenezi mpaka kuwa Mkuu wa Mkoa Arusha. Je cheo cha Paul Makonda hapo kimepanda au kimeshuka?
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mrisho Gambo anachekelea sana vita ijayo, baada ya kuletewa Jembe!

    Itakuwa ni rasmi, baada ya trh 04.04.2024 jembe PCM anatinga chuga city, maskani ya machalii wa afrikani Geneva. 'Wasiempenda kaja' wenye roho mbaya naye huyo hapo anaingia mjini, iwe kashushwa cheo au kapanda ila ndiye yeye, mara mama kakosea, wengine huko wanasema ooh kamalizwa na msoga gang...
  17. JamiiForums Tanzania Nini hatima ya Wakristo walio Zanzibar kwenye sherehe za Pasaka baada ya zuio la kula mchana wakati huu wa Ramadhan?

    Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani. Je itakuwaje kwenye siku ya Pasaka ambayo inatakiwa waumini wachinje na kula na kusherekea pamoja...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya Ramadhan idd ni moja tu, hakuna kitu inaitwa idd pili! Kwenye idd ya kuchinja ndipo penye siku tatu za baada ya idd

    Salaam wandugu, Niliwahi kuandika jambo hili kuiomba serikali na kuishauri na leo narudia tena kwa nia ya kukujuza wewe usiyejua ujue kabisa utaratibu ulivyo. Mwishoni kama ada sitaacha kuishauri na kuiomba Serikali itekeleze jambo Ni kwamba wengi wetu tumezoea tangu mashuleni mwezi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema.... Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu...
  20. JamiiForums Tanzania Ziara za Deng Xiaoping baada ya kupokea kijiti cha Mao. Hivi viongozi wetu huwa wanaenda kuzurura tu huko nje ?

    Hebu mtazame hapa huyu mwamba Deng Xiaoping katika ziara zake baada ya kuipokea China iliyokuwa imechoka vibaya katika miaka ya mwisho ya Mao. Deng alifanya ziara muhimu kwa wakati ule kwa majirani zake waliokuwa wamewaacha China mbali sana kama Thailand, Singapore, Japan, Malaysia tazama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…