baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    HAMAS yaua askari 21 wa Israel baada ya kuwashushia makombora mazito

    Askari wa Israel walikuwa karibu na Jengo, huku wamehifadhi mabomu ya ardhini. Vijana wa HAMAS wakawaweka katika rada zao, wakawashusia makombora ya RPG yaliyopelekea mlipuko na Askari takriban 21 wa Israel wakafariki. Hii imetokea jana tarehe 22/1/2024 na Imeripotiwa leo na gazeti la Israel la...
  2. L

    Afrika inaunda wakati muhimu mmoja baada ya mwingine wa “Dunia ya Kusini”

    Mkutano wa 19 wa kilele wa Harakati ya Kutofungamana na Upande Wowote NAM umemalizika huku Mkutano wa 3 wa wakuu wa Nchi za Kusini ukitarajiwa kufanyika mjini Kampala, Uganda. Huu ni wakati mwingine muhimu unaomilikiwa na "Nchi ya Kusini" unaotengenezwa na bara la Afrika baada ya Misri na...
  3. Ataka kumuua mtoto baada ya kujifungua ili kunusuru Ndoa

    Msichana mwenye umri wa miaka 19 alietambulika kwa jina la Rehema Erick Mkazi wa Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi ameingia matatani kwa kujaribu kumuua mtoto wake kwa kumtupa chooni baada ya kujifungua ili kulinda ndoa yake isivunjike. --- Msichana mwenye umri wa miaka 19...
  4. PreGE2025 Dkt. Nchimbi: Makundi baada ya uchaguzi hayatavumiliwa ndani ya CCM

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amekemea na kuonya tabia ya baadhi ya Wana CCM wanaovunja taratibu za Chama kwa kuendekeza makundi baada ya uchaguzi, akisema haikubaliki na haitavumiliwa ndani ya CCM. Amesema kuwa ni muhimu Kiongpzi anayeshinda awe...
  5. Leo Tanesco itakuwa kuna intern kitengo cha switch ya kukata umeme. Wanakata kila baada ya nusu saa.

    Naamini kabisa leo kuna mtu anapata mafunzo kwa vitendo kwenye kitengo cha kukata umeme hapo Tanesco. Maana kila baada ya nusu saa wanakata. Nimekaa hapa nawahesabia tu.
  6. K

    NSSF fao baada ya ajira kuisha

    Nilifanya kazi, nikawa nimefikisha miezi 192 ya kuchangia 2022 ingawa umri ulikuwa 46 years. Baada ya Mzee baba kuja na sheria za kuunganisha mifuko nikaogopa hivyo nikawithdraw FAO la kukosa ajira na fedha nikapata ila nikawa nasubiri umri wa 55 ufike ili nilipwe na pension. Bahati nzuri baada...
  7. C

    Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

    Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche. Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha...
  8. C

    Pole sana Mwamposa baada ya kulikoroga Tanganyika packers na kukataliwa na Feza School ulipoambiwa uhamie jirani nao

    Tulikuonya kuwa acha dharau kutokana na utajiri wako wa kuwahadaa kimapumbazo waumini wako na kamwe usiwaamini hao viongozi waandamizi watatu wa serikalini wanaokupa jeuri kwani kuna siku utageukwa na hutoamini hukutaka kutusikiliza Mwamposa najua unaficha sana hii taarifa ili isienee wala...
  9. Kenya kujiondoa katika makubaliano ya uingizaji wa mafuta na Saudi Arabia

    Nchi ya Kenya inatafuta kujiondoa katika makubaliano ya Serikali kwa Serikali (G2G) na Saudi Arabia ikieleza kuwa inaleta upotoshaji kwenye soko la ubadilishaji wa fedha na kukiri kwamba imekosa kulegeza shinikizo kwenye dola. Makubaliano ya G2G yaliyoanzishwa na Rais William Ruto mwezi wa...
  10. Katavi: Binti ajaribu kuua kichanga baada ya kujifungua akiwa chooni, akihofia kuachika

    Msichana ajulikanaye kwa jina la Rehema Erick (19) Mkazi wa Kijiji cha Mtapenda, Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi amejaribu kuua kichanga chake mara baada ya kujifungulia chooni katika Hospital ya Halmashauri ya Nsimbo pasipo mafanikio. Rehema akiwa katika hospitali hiyo...
  11. Baada ya Pakistani kumfurusha Balozi wa Iran, imeshambulia miji ya Iran iliyoko mpakani

    Security Assistant to the Iranian Governor of Sistan and Baluchestan: Explosions sounded on the outskirts of the city of Saravan, near the border with Pakistan. Pakistani intelligence official: Pakistan launched strikes inside Iran. Source: Al Jazeera, Agence France-Presse Na muda sio mrefu...
  12. Baada ya mechi ya Taifa Stars dhidi ya Morocco, Tanzania hawajui mpira kabisa

    Wake pole na habarini za zenu. Hivi ni mimi peke yangu ndio nimeona kwenye ile mechi ya Morocco dhidi ya Taifa stars? Maana sio kwa mpira mbovu vile aisee. muda Wote wachezaji wetu wanapiga pasi kwenye eneo letu tu mpaka unajiuliza Hivi hawa kweli walifuzu kihalalli kweli, maana kama algeria...
  13. FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024

    Tanzania (Taifa Stars) inatarajia kuingia kucheza Mchezo wake wa kwanza wa AFCON dhidi ya Morocco kwenye mji wa San Pedro, Ivory Coast. Mechi hii itachezwa saa 2:00 usiku Timu hizo zipo kwenye kundi F ambpo timu nyingine ni Zambia na DR Congo. Upi utabiri wako wa mechi hiyo? ===========...
  14. Tanzania yazuia ndege za Kenya Airways kutua nchini. Ni baada ya Kenya kutoruhusu ndege za Tanzania kubeba mizigo Kenya

    Kumekucha. Kama kupata tupate wote, kwa nini unazuia ATCL isinlbebe mizigo Tanzania na kutua Kenya. Nadhani kuna haja ya kutumia forum za kidiplomasia za EAC. Vinginevyo tuambiwe EAC imeshindwa kukutanisha viongozi wake ili kutatua mambo yao kwa amani. ====== Taarifa ya Mamlaka ya Usafiri wa...
  15. RC Chalamila: Ombaomba wa Dar waondolewe

    Akifanya mahojiano na East Africa Radio Mkuu wa Mkoa wa Dar-es-salaam Albert Chalamila amesema; "Kuna watu wana zagaa zagaa kwenye Tanzanite bridge, kamateni watu wote wanaokaa kwenye maeneo na walemavu kuombaomba, tumegundua ule ni mtaji wa watu ambao jioni wanakusanya mapato wanawapa kidogo...
  16. Ashambuliwa na watoto wake baada ya kutaka kuuza ardhi ya familia

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 50, Kanu Mugwere, ameshambuliwa na watoto wake wakipinga uamuzi wake wa kutaka kuuza ardhi ya familia kwa shilingi milioni 1.5. Kulingana na taarifa, Mugwere alikuwa akilenga kutumia fedha hizo kugharamia matibabu ya mtoto wake mmoja mwenye ugonjwa wa akili...
  17. K

    Nashauri kufanyike uchunguzi wa kina juu ya kinachoendelea kwenye Bandari zetu baada ya mapato kupungua huku shehena ya mizigo ikiongezeka

    Nilifuatilia maelezo ya Menejimenti ya TPA hivi karibuni waliyoyatoa kupitia vyombo vya habari. Maelezo yao yalikuwa ni kwamba shehena imeongezeka zaidi ya matarajio yao kwa meli nyingi zaidi kushushia mizigo kwenye bandari zetu hususan bandari ya Dar. Hata hivyo,viongozi hao hawakutaka...
  18. Baada ya Kutupatia Ubuyu wa TB Joshua, BBC Waje Tanzania Kutupatia Ubuyu wa Mitume na Manabii wa Mchongo

    BBC Wahini Tanzania mtupe ubuyu wa wanaojiita mitume na manabii wanao wabebesha watu maji, mafuta, vitambaa, sabuni na vyupi vya upako. Naamini BBC kama chombo cha udaku cha kimataifa kitalifanyia kazi ombi hili na kutupa ubuyu
  19. Kufa kufaana; Wanakijiji wagawana nyama baada ya ng'ombe 16 kupigwa radi

    Wananchi wa Kalebezo kata ya Nyarubungo Wilaya ya Biharamulo, wakigawana kitoweo baada ya maafa ya radi kuua ng'ombe 16, mali ya Richard Daudi. Ajali hiyo ilitokea Januari 13 mwaka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…