baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Baada ya Jerry Silaa kuondoka Ardhi, Papa Msofe aibuka na kutaka kudhulumu ardhi Salasala

    Karibu siku 5 zilizopita limeibuka sakakata la kitapeli kutokana na wajihi wa mlalamikaji Ndg Marijani Msofe aka Papa Musofe chuma cha reli hakiingii kutu. Papa Msofe anadai anamiliki ardhi yapata miaka 7 hajawai kwenda wala serikali ya mtaa haimtambui kama ni mmiliki na ardhi hiyo karibu...
  2. JamiiForums Tanzania Je angela kairuki hatakuwa mbunge tena baada ya kuteuliwa kuwa mshauri wa Rais

    Nimeona panga panga ya baraza la Mawaziri Kwa kairuki kutenguliwa na kupelekwa kuwa mshauri wa rais ikulu Sasa nauliz a nafsi yake ya ubunge wa kuteuliwa itakuwa pia umepoteza Lucas mwashamba hv bado hajateuliwa
  3. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Screen ya TV AilLyons inazima Kila baada ya dakika 50

    Ni skrini ya mpiga kura AILYONS, hutoa ujumbe kuwa inazimika.....bonyeza any key ndipo inaendelea. Nini kifanyike kuondoa hiyo dhahama?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Chanjo ya COVID-19 sasa Monkey pox

    Baada ya chanjo ya COVID-19 kutolewa nchini kwa mafanikio makubwa ambapo vifo vilipungua kufikia zero baada ya Serikali kuingiza nchini na kuhamasisha matumizi yake kuna janga lingine kwa majirani wetu hasa DRC. Changamoto ya ugonjwa wa monkey pox tayari imeshapatiwa chanjo na hivyo muda si...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu anayeacha tabia mbovu kwa ajili ya ndoa usimuamini

    Wengi wao wakiachwa au ndoa zikiwashindwa huwa wanarudia tabia zao mbovu. Rejea: Dada mwenye Msambwanda heavy East Africa nzima, sasaivi amerudia uhalisia wake wa kupost picha za hovyo. Mjanja M1 kwasasa napatikana Vienna Austria
  6. X

    JamiiForums Tanzania Marekani: Ndani ya siku 100 tu deni la taifa la Marekani lafikia $35 trillion kutoka $34 trillion

    Deni la taifa la Marekani au kama wao wanavyoliita Federal Debt, Government Debt, National Debt, U.S Public Debt linapaa kwa kasi sana limefikia $35 trillion ambalo ni sawa na $104,082 kwa kila mtu anayeishi Marekani. Deni la taifa la Marekani linakua kwa kasi zaidi kuliko uchumi. Kuna sababu...
  7. JamiiForums Tanzania Makonda amerejea baada ya likizo

    Makonda amerejea baada ya likizo ya kiutumishi kwa mujibu wa sheria. Waliosema kada watakufa wao kabla yake ila awe makini USSR
  8. JamiiForums Tanzania Cutelove nimerudi upya Jf baada ya kukosekana kwa muda wa miezi 8 nashukuru walionitext pm kuniulizia kama nipo hai

    Wanafamilia nimerudi tena dada na mdogo wenu kutoka Kanda pendwa ya ziwa mkoa wenye wasomi wa kutosha Nashukuru waliokuja pm kuniulizia kama nipo hai,nawathibitishia kuwa bado nipo hai na ni mzima wa afya Nitoke Jf niende wapi jamani ,mi nipo wa kutosha Credit: Kona ya Bwiru,Mwanza
  9. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia awalipua watu kwa shangwe, nderemo na vifijo mitaani baada ya kuwahakikishia kuwepo Madarakani hadi 2030

    Ndugu zangu Watanzania, Mitaani ni shangwe, nderemo, vifijo , chereko chereko,furaha,hoihoi na tabasamu tupu kwa wananchi mbalimbali. Hii ni baada ya Rais Samia kukata kiu ya mamilioni ya watanzania waliyokuwa nayo mioyoni mwao. Kiu ya kutaka kuona Rais Samia akiendelea na muhula wa pili wa...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Uliishije baada ya kugundua huna nyumbani tena , wala huna mtu yeyote wa kusikiliza shida zako

    Wakuu kwema. Naomba tusaidiane huu uzoefu
  11. W

    JamiiForums Tanzania Travis Scott akamatwa na Polisi baada ya kupigana na Bodyguard wake Ufaransa

    Rapa wa Marekani, Jacques Bermon Webster, maarufu kama "Travis Scott," amekamatwa na Polisi wa Ufaransa jijini Paris baada ya kuhusika katika ugomvi kwenye Hoteli ya Nyota Tano, 'George V,' mnamo Agosti 8, 2024. Vyanzo mbalimbali vimethibitisha kuwa rapa huyo alikuwa amelewa wakati...
  12. JamiiForums Tanzania JF POLL: (Nini sababu ya kuongezeka kwa Atheists na Non-Believers miongoni mwa vijana hapa Tanzania). Majibu ya poll ni baada ya masaa 24

    Andika namba kwenye comments. Namba ambayo itatoa ufafanuzi halisi ya majibu ya swali lililoandikwa kwenye kichwa cha uzi huu. 1: Kuongezeka upotoshaji katika dini 2: Kuongezeka kwa hali ngumu ya maisha ikiandamana na matumaini finyu au lah kabisa. 3: Maswali yasiyojibika vizuri na majibu...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vya Israel: Hamas imechagua mtu hatari zaidi kuongoza harakati hiyo baada ya Haniyeh

    Shirika la Utangazaji la Israel lisema kuwa uteuzi wa Sinwar unashangaza na ni ujumbe kwa Israel kwamba yu hai na kwamba uongozi wa Hamas huko Gaza uko imara, upo na utabaki. Kwa upande wake, mchambuzi wa masuala ya Mashariki ya Kati wa gazeti la Times of Israel, Avi Iskharov, amesema kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya Simba Day na Yanga Day Kutamatika, Ni Zamu ya Watani Kukutana – Uchambuzi wa Kitaalamu na Utabili wa Matokeo

    Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Timu ya Simba SC...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi kadhaa wa Marekani wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na bomu nchini Iraq

    Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa. Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu katika kambi ya marekani iliyopo Iraq lakini inadaiwa huenda makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii 'Samia Legal Aid Campaign' ni kiashirio kwa ameshaanza Kampeni? na je, itakuwepo na baada ya Uchaguzi Mkuu ujao?

    Haya wale Machawa wake Gegedo mlioko hapa JamiiForums njooni mnijibu ili nami nikaombe msaada kwani Nimeibiwa Mbuzi wangu kutokea Zizini Kwangu hapa Tanzania Bara na Mwizi kasepa / kaenda nao kwenda Paje Kizimkazi Zanzibar ili akawauze kwa Waarabu.
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya kichaka cha sold out na full house kufweka, sasa wamekuja na kichaka kipya

    Baada ya jana Yanga kujaza pomoni viwanja viwili vya Mkapa na Uhuru, wale wacha mbuzi uchwara wamehama kutoka kwenye vichaka vya sold out na full house na kuja na kichaka cha time management. Hawajui kuwa lile ni tamasha/bonanza kati ya viongozi, wachezaji na mashabiki/wanachama wa timu kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaijeria wafanya maandamano kupinga njaa na hali ngumu ya maisha

    Leo wanaijeria wamefanya mgomo usio na fujo kupinga maisha magumu nchini kwao. Pichani: Je sisi tunaweza au tunasubiri upinzani. --- A curfew has been imposed in Nigeria second-biggest state, Kano, after protests against the high cost of living were "hijacked by thugs" who engaged in...
  19. JamiiForums Tanzania Baada ya kushinda kombe la TOYOTA Yanga ombeni udhamini wa TOYOTA

    Nimerudia kuitazama mara tatu ile mechi kati ya Kaizer Chiefs vs Yanga mashindano ya TOYOTA Cup nimebaini kuwa Kaizer Chiefs haikuwa timu mbovu hata kidogo, ni makosa madogomadogo ya kukosa pumzi na muunganiko kuliko Yanga kulikosababisha Kaizer kuchapwa 4-0. Nabi hana kazi ngumu sana kuifanya...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba tu Kuuliza je, Mjanja anakubali kupokea Milioni 200 kwa Mwaka ili aweze kuipata Bilioni 1 baada ya Miaka Mitano?

    Siku zote Thamani ya Mjanja anayejitambua kama Rafiki yangu Bila bila haiwezi kuwa ya kupewa Shilingi Milioni 200 kwa mwaka wakati Mjanja mwingine anayejitambua kama GENTAMYCINE Yeye anajijua kabisa kuwa Thamani yake kwa sasa na kwa jinsi alivyo hapa Barani Afrika ni kuanzia Bilioni 3 kwa Mwaka.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…