Utakuwa unamkunja sana jaman, km mm nilikuwa na mtu mmoja akitaka kumwaga anakung'ata yaan maumivu huku utamu.Kwema Jf Doctors?
Mpenzi wangu analalamika kuwa Kila akikutana na Mimi , baadaye hupata maumivu makali ya mgongo. Na anasema huwa inatokea kwangu Tu kabla ya hapo hakuwahi kupata shida hiyo husababishwa na nini?