baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Bondia wa Nigeria Gabriel Olanrewaju Amefariki Baada ya Kuanguka Wakati wa Pambano la Uzani wa juu Nchini Ghana

    Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi Mamlaka ya...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mke wangu amebadilika baada ya kupata dada wa kazi (house girl)

    Habari zenu wakuu, nisiwachoshe sana ngoja niende Moja kwa Moja kwenye maada. Mimi na mke wangu tangu tuoane hatujawahi kuwa na dada wa kazi nyumbani zaidi ya miaka 6 sasa. Mwishoni mwa mwaka 2024 mke wangu aliomba atafute dada wa kazi ili awe anasaidia kazi za nyumbani kwasababu yeye anatingwa...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya kumuona bi sagrada akiwa hoi kitandani nimegundua ni msichana mrembo sana ! Nahitaji kumuoa haraka aachane na siasa aje tutafute familia !!

    Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Katibu Mwenezi CCM, Amos Makalla amtembelea hospitali Mwenezi wa BAWACHA aliyedaiwa kushambuliwa na mlinzi wa Heche

    Ndugu zangu Watanzania, Muwe Mnaelewa tunaposema ya kuwa CCM ndio chama chenye uchungu na Maisha ya kila mtanzania, ndio chama chenye kujali watu pasipo ubaguzi ,ndio chama chenye huruma ,upendo , unyenyekevu na ukarimu wa hali ya juu sana,ndio chama chenye kujua kila mtu anathamani na mwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kulimwa barua ya onyo kali na Trump nayo yatoa vitisho

    Iran imetishia kuwa endapo itashambuliwa kijeshi na Marekani, italenga kambi ya Marekani na Uingereza zilizoko Diego Garcia umbali wa Kilomita 3,800 kutoka Iran, huku kombora la masafa marefu zaidi la Iran linafikia kilomita 2,000 tu.hii inaonyesha Iran walivyo waongo wanajaribu kuwatisha...
  6. JamiiForums Tanzania BAADA YA KULEMAZWA NA IDF HEZBOLLAH YAJITUTUMUA TENA KUISHAMBULIA ISRAEL

    Leo tena, kombora lingine limerushwa Israel kutoka Lebanon. Israel wamezoea ving'ora vya roketi na milipuko wakati Iron-Dome ikipopoa makombola kama vile sisi tulivyozoea kunywa kahawa au chai. Wakati mwingine, huwa najiuliza ikiwa ni jambo zuri wamezoea hilo (labda njia ya kukabiliana na...
  7. JamiiForums Tanzania Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu

    Mpwa avunja nyumba ya mama yake baada ya mjomba wake kung'ang'ania kwa muda mrefu Ulitokea mgogoro wa muda mrefu kati ya mpwa na mjomba wake huku chanzo cha mgogoro huo kikisababishwa na tabia ya mjomba wake kung'ang'ania mali za mama yake https://www.facebook.com/share/v/1Zh6RTrPM5/
  8. JamiiForums Tanzania Tujuze kipi kilitokea baada ya kupata huduma ambayo hukuuliza Bei kabla?

  9. R

    JamiiForums Tanzania Kama tumeshindwa mwendokasi, unadhani ni baada ya miaka mingapi Dar Es Salaam itakuwa na metro kama hii ya Tokyo?

    Kama tunashindwa mwendo kasi, je hapa tutafika kweli milele na milele amina? Tokyo Metro Hii iko chini ya ardhi.......
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maiti ya Polisi wa Kenya yadhalilishwa baada ya kuuawa na gangs wa Haiti

    Chanzo: https://x.com/Darrenvickmell/status/1904837433637695607?t=D_cvUfRD4yeI98DSPU1TtA&s=19 Huku William Ruto akiwa ameficha commission yake aliyopewa baada ya kukubali kupeleka Polisi nchini Haiti, haya ndiyo yanaendelea.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Hoja juu ya Biblia Agano Jipya: Je ni kweli Wayahudi walikuwa wakifungua kaburi baada ya kumzika mfu ili kumpaka marashi?

    Tunaelezwa katika maandiko ya Injili kwamba siku Yesu alipofufuka wanawake watatu walienda kaburini wakiwa na marashi/manukato ili waupake mwili wa Yesu. Je, kweli kihistoria hii ilikuwa desturi ya Wayahudi mtu ameshazikwa wafungue tena kaburi na kumpaka manukato (or preservatives in that...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

    Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Baada ya mgomo wa daladala kutolipa ushuru, hatimaye Stendi ya Nanenane yaanza kurekebishwa

    Baada ya malalamiko ya muda mrefu na baadae kusababisha madereva kugoma kulipa ushuru , hatimaye halmashauri ya Jiji la Mbeya imeanza kurekebisha barabara za stand hiyo. Ni muda mrefu Sasa stand hiyo na Nanenane imekuwa na miundombinu mibovu ya Barabara. Halmashauri ya jiji jitahidi kufanya...
  14. JamiiForums Tanzania Swali kwa wataalamu wa sayansi; Kwanini tunahisi ladha tofauti ya chakula baada ya kushiba?

    Baada ya kushiba ndiyo tunagundua chakula kimezidi chumvi, ama imepungua au kama ni mihogo baada ya kushiba ndiyo tuna gundua ni michungu. Kama ni juisi baada ya kushiba ndiyo tunagundua sukari imezidi ama imepungua. Kwanini ni baada ya kushiba?
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA na chama chochote cha upinzani wekeni nguvu kubwa Vijijini kabla na baada ya Uchaguzi, mijini hakuna shida mna karata

    Wasalaam Vyama vya upinzani msiwe kama manabii wa utapeli waliojazana mijini Mtaji wa CCM ni ujinga wa watu wengi walio vijijini...huku mjini mnakubalika sana...ushahidi ni kabla ya Mhe. Mwendazake...mtaji wa CCM ni vijijini Wao huwatishia kuwa amani ndio jambo la msingi na endapo chama...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna ulazima gani wa kumpa mwanamke pesa baada ya tendo

    Kumekua na wimbi la utapeli wa akina dada ambao wanajiweza na wasio jiweza kiuchumi.. Mbinu wanazo tumia akihisi we hauwezi kukosa chochote cha kumpa atakutafuta kwa hila za kujifanya amekumis kwamba umemtenga na ukijaribu kupeana nae ahadi ya kuonana hata ukijifanya unakausha anakuendea hewani...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
  18. JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake

    Wakuu Huu ndio ukweli mchungu! Usimba na Uyanga ukiwekwa pembeni, Eng. Hersi anafaa kuwa Rais wa TFF baada ya Karia kumaliza muda wake Eng. Hersi ana sifa na uzoefu mkubwa katika uongozi wa soka, hasa kupitia nafasi yake ndani ya Yanga SC, tangu amechukua nafasi hiyo kubwa katika ngazi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kilichonitokea jana baada ya kuamka kula daku saa10, sitakuja kurudia

    Mliofunga kama mimi poleni na mfungo muda si mrefu tunafuturu, tuendelee kuwa wavumilivu. Juzi usiku nilikuwa nimepika futari nikala mida ya nne usiku nikasema ntaamka saa10 kula daku, nikaweka alarm ya saa kumi na nusu, kweli ilivyolia nikaamka kula. Hadi kufikia saa11 nikaingia kulala...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kukosa usingizi nikaona nijisomee kidogo na kuwaza

    Kwa Nini SoMo la bible knowledge liwe kiingereza na dini ya kiislamu liwe kiswahili!? Kwa nni yote yasiwe kiswahili ili kuweka usawa!? Ukiangalia hili SoMo sio gumu sana ila kwa sababu ya lugha linakuwa gumu na kuzuia watoto wengi wa kikristo kulisoma mashuleni huku lile la kiislamu kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…