The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.
Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii.
Wachambuzi wengi wenye uelewa mdogo wa mpira wa miguu hasa africa utawasikia wanavyochambua kiufundi wa kimpira...
Hata aje engineer wa kutoka mars, hata itumike Trillion moja as long ile pitch itaendelea kuchimbwa chimbwa kabla ya mechi fulani fulani na timu fulani fulani yale madimbwi hayataisha kamwe
Kaka tumekuwa wote kijijini
Wote tumefeli darasa la Saba
Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa
Naomba siri ya mafanikio.
Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka???
Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
Mahakamani ni mahala pa heshima sana na nidhamu ya hali ya juu. Kuna mabango ya kuzuia kelele na watuhumiwa pia hukaa kwa nidhamu.
Nimeshangaa leo mtuhumiwa anapiga kelele yeye na wenzake kama yuko gulioni. Hii ni aibu kubwa sana kwa Mahakama kuona mwenendo wa shauri unakuwa influenced...
Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa.
Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande...
Ukisikia kujipa matumaini hewa ndo haya Sasa
Timu limepigwa goli 2 bila kelele
Ball possession RS Berkane iliongoza 78%
Simba walicheza kama wapo pungufu
Berkane wanakuja ku press kama hawajashinda wala mbumbumbu msitegemee ati watakaza nyuma walinde
Dhahama itatokea ikiwa Simba atajifanya...
Msaada tafadhali, nahitaji kucheki series za kikorea ila ndio hivyo tangu dramacool waamue kushut down site zao zote, nimekosa mbadala. Nipeni mautundu niburudike....
Hii umenisgangaza sana sijajua kwanini wakuu labda wengine mnifafanulie naona baada ya kushinda janabi kuwa mkurugenzi wa WHO africa naona taasisi nyingi za kiislamu zinampongeza tofauti na ushindi wa ndungulile naona taasisi nyingi za kiislamu zilikaa kimya ila taasisis za kikiristo ndizo...
Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyekua kwenye kundi la G55 ambalo halikubaliani na Mkakati wa chama hicho uliopewa jina la "No Reforms No Election" ameamua kurudi baada ya Kutangaza kujitoa kwenye Chama hicho.
Anipher Kassim Chiwili, anasema kilichomfanya kuondoka...
Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka.
Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
Hamas inatoa ofa ya kuachilia nusu ya wateka waliosalia kwa ajili ya kusimamishwa kwa mapigano kwa muda wa miezi miwili - ripoti
Hamas inashuku kama Marekani inaweza kumlazimisha Netanyahu kuzingatia masharti ya makubaliano yoyote, kufuatia kuachiliwa kwa Edan Alexander wiki iliyopita.
Hamas...
Sabato Njema!
Hizi purukushani za kisiasa zinazoendelea watu wengi tunazifuatilia kwa ukaribu Sana.
Ikiwa uchaguzi utafanyika hiyo October na CHADEMA wasiposhiriki, itamaanisha hawatapata Ruzuku. Pesa ambazo ni muhimu kwa chama chochote.
Ikiwa watapambana wakatoboa 2027 wakiwa na nguvu hiihii...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu anasumbuliwa sana na koo na masikio kuwasha pia mwili kuwasha baada ya kuoga. Je tatizo linaweza kuwa ni nini!?
Nadhani umaskini, ujinga ,uchama na uchawa ni maadui wakubwa sana wa Taifa hili la Tanzania.Ukweli unafichwa ,watu wenye mawazo ya kusaidia nchi wapo ,malighafi zipo ila maadui hawa wanaharibu nchi .
https://youtu.be/gHlYAZNZwQ0?si=GtfXB0S5pr4kfI6P...
Serikali ya Kaunti ya Nairobi imefunga Jumba la Grand Lodge linalotumika kama Ukumbi wa ibada kwa wa waumini wa Freemasons wa Afrika Mashariki lililopo katikati mwa jiji kutokana na na malimbikizo ya deni la ardhi kiasi cha Shilingi milioni 19 za Kenya
Operesheni ya utekelezaji hiyo...
Wakili Dickson Matata, mmoja wa mawakili wa utetezi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, amesema kuwa baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa uamuzi wa kesi ya mteja wao kusikilizwa kwa uwazi badala ya njia ya mtandao, hali gerezani imeanza kubadilika na Lissu ameacha mgomo wa...
Wana CCM tumekaa kimya wengi wetu si kuwa tumeridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea la hasha ni kuwa hatuna la kufanya waswahili wanasema mwenye nguvu mpishe.
Nimeona umechukua hatua kwa viongozi wa Chadema na kutangaza kutotambua wajumbe wa secretariat. Nakusihi na huku kwetu CCM umulike...