Habari wadau .
Moja kwa moja kwenye mada .Nimeona baadhi ya mashabiki wa simba wakijipa moyo kuwa wanabeba ubingwa .
Ukweli japo mchungu nikwamba baada ya mechi kila shibiki wa simba atatoka kichwa chini .leo ni siku chungu kwa simba atapigwa vibaya sana.
Viongozi walishauza mechi wamevuta...