baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2025 Baada ya Uchaguzi Samia Suluhu anataka kuridhiana na nani?

    Tanzania Kuna vituko hatari. Samia na Nchimbi walisikika wakisema ndani ya siku 100 baada ya kuchaguliwa wataunda tume ya upatanishi na maridhiano. Ninavyoelewa maridhiano ufanyika kipindi ambacho pande zote mbili zimeumia. Sasa Samia na CCM wameumia Nini Hadi watangaze maridhiano? Na je...
  2. M

    Baada ya Charlie Kirk Kuuawa, wafuasi wa chama cha Democrats waanza kupanga majina ya Republicans watakaofuata kuuawa

    Baada ya Charlie kirk kuuawa kazi bado haijaisha, Wafuasi wa chama cha Democrats wameshauri zoezi liwe endelevu na wametoa orodha ya majina ya republicans wa kuuawa. Hawa Republicans waliotajwa wamekuwa mwiba kwenye sera za democrats zinazohusu Abortion, Kuruhusu wahamiaji haramu, kuruhusu...
  3. Baada ya maboresho yao kurejea Nitahama rasmi CRDB

    Hela naitafuta kwa shida sana kuna muda nalala na viatu nalala sehemu mbaya halafu kidogo nacho nduduliza wahuni hawakithamini. Hela yangu haiwezi nitesa jana sijalala kabisa hadi muda wa kufika kwenda job ukafika. Siwezi elezea sana lakini hii bank HAPANA HAPANA HAPANA. Mods tusipangiane...
  4. S

    GE2025 Kihongosi jiandae kupita kwenye tanuru la mateso kama watangulizi wako, Nape na Polepole), baada ya zama za wahuni kupita

    Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe. Hivi sasa ni zamu ya Polepole...
  5. Donald Trump: Muuaji wa Charlie Kirk tayari tumemtia nguvuni

    Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria. Soma Pia: Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi
  6. Just imagine baada ya haya yote unaishia kuwa winga tu

    Daaah inasikitisha
  7. Mashabiki DRC wang'oa viti Uwanjani baada ya timu ya taifa kufungwa na Senegal

    Mashabiki wa DR Congo wameharibu Uwanja wao kwa kuvunja na kurusha viti baada ya timu ya taifa kushindiliwa mabao 3-2 na Simba wakali toka hifadhi ndogo ya Wanyama ya Teranga Senegal nyumbani kwao. DR Congo walikuwa wakiongoza 2-0 kabla bao hizo mbili kuchomolewa kisha wakafungwa na jingine...
  8. Dkt. Aaron Mujajati: Ni ngumu kwa mwanamke kupata watoto baada ya miaka 35

    Daktari msomi sana toka Zambia, Dr Aaron Mujajati kaweka wazi kuwa ni ngumu kwa mwanamke kupata mtoto akivuka 35years. Hajasema haiwezekani ila kasisitiza kupata mtoto huambatana na changaamoto nyingi. Ikumbukwe Dr Aaron Mujajati ndo yule aliyesema kuwa hakuna ushahidi wa kisayansi kuonyesha...
  9. Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  10. Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃 Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia...
  11. Nmekuwa na huu URAIBU kwa Miaka zaidi ya 30 sasa naelekea kuacha baada ya kukutanishwa na Wataalam

    Wajameni.... Mimi nlikuwa nahonga. Nlikuwa nahonga mpaka nahonga. Miaka zaidi ya 30 mimi nikitaka demu sina maneno mengi, sina mistari ni kuhonga tu. Unajua sisi wengine ambao sio hendisamu na pia hatuna sana mvuto na hatupendi kujieleza tunaona shida sana kukimbizia mbunye. Ni mwendo wa...
  12. U

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
  13. Nimepona tena baada ya kuweka mkono na kukemea ugonjwa!

    Kama kawa, nimekuwa nikiwaletea habari za kweli kabisa, bila kuchanganya hata tone la uongo. Leo tena napenda kuwahabarisha kuwa jana, ghafla tu, nilipata maumivu makali sana katika sikio langu la kushoto. Ni maumivu makali yaliyoenea mpaka upande wa juu wa kichwa changu. Kama hiyo haitoshi...
  14. Honda wamezindua 6th Gen Honda Prelude: Hii Coupé imerudi baada ya Civic na Accord coupés kusitishwa!

    Honda Prelude ni sport car iliyotengenezwa kutokea 1978 na kusitishwa mwaka 2001, na sasa inarudi officially. Inakuja na 2.0 L engine, ikiwa imeunganishwa na dual-motor hybrid system, ambavyo kwa pamoja vitakupa 200 hp na efficiency ya 20 km/L average. Wanatumia CVT transmission ikiwa na...
  15. E

    Vyama vinavyojinadi kuleta mabadiliko ya Katiba baada ya uchaguzi kupitia Ilani

    Madai ya kuwa na katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano yamekuwa ya muda mrefu, tangu wakati wa kurejesha mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, ambapo Tume ya Jaji Francis Nyalali ilipendekeza suala hilo ili katika iliyokuwepo iendane na mfumo huo. Hata hivyo, mabadiliko ya Katiba hayakufanyika wakati...
  16. Baada ya Majeshi ya Israel kuanza kupiga Jaramba kwenye viunga vya Gaza Magaidi wa Hamas wapata kiwewe!!!

    Hamas imesisitiza utayari wake wa kuingia katika makubaliano ya kina ya kuwaachilia mateka wote wa Israel walioko kizuizini. Kwa upande wake, kundi hilo la kigaidi linadai kusitishwa kwa vita huko Gaza, kuondolewa kikamilifu kwa majeshi ya Israel, kufunguliwa kwa vivuko vya mpaka kwa ajili ya...
  17. Baada ya kelele nyingi, Yanga yaamua kutoa jezi mpya

    Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi. Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba. Wengine wanasema ukiscan jezi inakupeleka Mkuranga. Wengine wanasema moto umewekwa kuunguza mapafu kama...
  18. Code: Kabla ya siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi kuna mibuyu mikubwa miwili itaanguka.

    Copy Code; Save the code.
  19. Sudan watu zaidi ya 1,000 wafariki dunia kwenye maporomoko ya ardhi. Kijiji chote kilifunikwa

    Wakuu, Maporomoko mabaya ya ardhi katika eneo la Darfur nchini Sudan yamefuta kijiji kizima, yakiua zaidi ya watu 1,000 na kumuacha mtu mmoja pekee hai, kwa mujibu wa Harakati ya Ukombozi wa Sudan/Jeshi (SLM/A). Tukio hilo lilitokea tarehe 31 Agosti baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadhaa...
  20. Yani Mtu akazaliwa akaitwa Yeshua mwana wa yosef aliezaliwa na miriam, nyie baada ya karne kazaa mkasema aitwe issa, 😂😂

    Mi nafikiri kama alivyosema solomoni kila kitu chini ya anga ni ubatili alikuwa sahihi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…