baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Ludewa: Kiongozi wa CHADEMA apiga magoti kuishukuru CCM kwa kutekeleza ilani yake. Hii ni baada ya mto Ruhuhu kukamilika

    Diwani wa kata ya Ruhuhu wilayani Ludewa mkoani Njombe kupitia CHADEMA Atanas Haule, amejitokeza katika ziara ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Godfrey Kasekenya na kuipongeza serikali kutekeleza Ilani ya CCM kwa kukamilisha ujenzi wa daraja la mto Ruhuhu.
  2. SoC01 Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme

    Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
  3. RC Ally Hapi aliagiza Jeshi la Polisi kuwasaka waliopoteza mamilioni ya Serikali

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi ameliagiza Jeshi la Polisi mkoani humo kuwasaka na kuwakamata watu zaidi ya 100 ambao wanadaiwa kupotea na kutowasilisha fedha benki zilizokusanywa kupitia Mashine za Kukusanyia Mapato (POS) kwa Halmashauri ya Bunda, Tarime Mji pamoja na Butiama. Source: Dar Mpya
  4. NIDA VS UHAMIAJI: Ukikamilisha taratibu zote, unapata passport baada ya wiki 2. NIDA wao unapata kitambulisho baada ya Mwaka au zaidi

    Habari zenu wakuu. Kwa kadri miaka inavyosogea, ndivyo mahitaji ya huduma za haraka na zenye ufanisi yanaongezeka. "Being Quick, Efficient and Consistent is being Good" Kasi ya maisha ya mwaka 1980 haiwezi kuwa sawa na ile ya 2020. Katika taratibu za kawaida za kazi, kuanzia siku ambayo...
  5. Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

    Kufa ni nini? Kufa ni hali ya roho kuepukana na kiwiliwili, au kufa ni kukatika matumizi ya roho kwa kiwiliwili na kukosa kiwiliwili ambayo ndio ala yake na kumuepusha mtu na mali yake na watoto wake na mke wake. Kufa kunakata utamu wa maisha ya kiulimwengu na kwenda ulimwengu mwingine. Mtu...
  6. R

    My casual observation baada ya Mbowe kuachiwa: Chadema iko mioyoni mwa watu!

    Nimepita mitaani, nikapitia mitandao ya kijamii, nimesikiliza watu wazima, watoto , vikongwe na watu kama hao, wanafurahi Mbowe ameachiwa na kuishangilia Chadema. Maana yake nini? Chadema iko mioyoni mwa watu! Erythrocyte
  7. Kauli ya kwanza ya Mbowe baada ya kuachiwa huru

  8. Picha: Kamanda Mbowe baada ya kuachiwa akionesha furaha kuu

    Picha ni Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu baada ya kufutiwa mashtaka ya ugaidi na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) leo Ijumaa Machi 4, 2022.
  9. Baada ya Chelsea kuwekwa sokoni, kocha apata hofu wachezaji kuikimbia klabu

    Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kuwa ana hofu kuwa kuna uwezekano wa wachezaji ambao wanaelekea kumaliza mkataba klabuni hapo wanaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Hatua hiyo inakuja baada ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kutangaza mpango wake wa kutaka kuiuza klabu hiyo...
  10. Baada ya siku 226 rumande, Zitto Kabwe asema “KWA MBOWE HAKI IMETENDEKA”

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe na wenzake watatu, wameachiwa huru leo Machi 4, 2022, na Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, baada ya DPP Kuwasilisha hati ya kutokuwa na nia ya kuendelea na shauri hilo. Hatua hiyo imekuja siku...
  11. Tamko la Marekani baada ya kesi ya Freeman Mbowe kufutwa

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Ambassador Donald J. Wright amezungumzia maamuzi ya Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake kuachiwa huku na Mahakama, leo Machi 4, 2022. Balozi Wright ametoa mtazamo huo kupitia kurasa zake za kijamii kwa kuandika...
  12. Ajiua kwa kujitumbukiza kisimani baada ya kuua mke, mtoto kisa mgogoro wa michepuko

    Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Madirisha Kanyalu (60) amejiua kwa kujitumbukiza kwenye kisima baada ya kumuua mtoto wake Meshack Madirisha (miezi 11) pamoja na mkewe aitwaye Evodia Nyerere (27) kwa kutumia kitu chenye makali akimtuhumu mkewe kuchepuka na wanaume wengine. Kwa mujibu wa Kaimu...
  13. Video: Akojoa wadudu baada ya kutembea na mke wa mtu Kenya

    MK254 Hebu tumble huu uchawi wenu mmeupata wapi?
  14. Nigeria: Baada ya miezi 3 abaini 'house girl' ni mwanaume

    Mwanamke mmoja raia wa Nigeria, amezua taharuki mitandaoni kwa kusimulia yaliyomkuta baada ya kubaini kuwa mtu aliyemwajiri kama mfanyakazi wa ndani mwanamke 'house girl' sio wa jinsia ya kike bali ni mwanaume. Mwanamke huyo amebaini kuwa huyo si mwanamke baada ya kumfanyia kazi kwa takribani...
  15. Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

    Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli. Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
  16. Upinzani tusigeukane kwenye critical times baada ya Uchaguzi Mkuu

    Udhaifu wa vyama vya upinzani ni kugeukana kwenye critical times baada ya uchaguzi mkuu kupita. 1. Critical time ya kwanza ni 2015 baada ya kufutwa kwa matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar. Baada ya Tume ya uchaguzi Zanzibar kufuta matokeo ya uchaguzi chama Cha CUF kupitia Maalim Seif walipinga na...
  17. Q

    Majibu ya Zitto baada ya kuulizwa na Mnyika, “I am a leader. Properly groomed. I desist from responding to you”

    ANNOUNCEMENT BY ZITTO THE TCD CHAIRPERSON. The National Conference on Justice, Peace and Reconciliation organised by Tanzania Centre for Democracy @TCDemokrasia will be officiated by President @SuluhuSamia on the 30th March 2022. The conference with specific reform agenda will be attended by...
  18. Moja Kati ya faida Bora kabisa utakazo zipata baada ya kuachana na mpenzi wako

    Uta stop Ku pretend kumpenda / kumkubali / kumtolerate ndugu kimeo wa ex wako ambae katika hali ya kawaida usingeweza kuwa na ukaribu nae ila ulizamika kuwa Na ukaribu nae Kwa Sababu ya kuwa katika mahusiano Na ex wako.. Kwa mfano binafsi niliwahi kutoka Na dada mmoja yupo vizuri sana ila ana...
  19. Udhaifu wa upinzani baada ya Uchaguzi Mkuu

    Upinzani wa Tanzania huwa una udhaifu mmoja mkubwa hasa baada ya uchaguzi mkuu. Kugeukana na kumpa credit CCM kipindi ambacho mshikamano unahitaji. Tuchukue mifano mitatu mikubwa. 1. Mwaka 2015, baada ya uchaguzi mkuu Zanzibar matokeo ya urais na baraza la mawakilishi yalifutwa na tarehe ya...
  20. J

    Putin atafanya nini baada ya kuiangusha Serikali ya Ukraine? Au alikurupuka kwa hasira?

    Wakuu habari, Russia yupo na uwezekano mkubwa wa kuiangusha Serikali ya Ukraine, japo Ukraine anaonyesha ustahimilivu lakini hawezi kudumu milele. Sasa tukiangalia kiini cha hii vita ni Serikali ya Ukraine kukataa ,matakwa ya Putin ambayo yangemfanya Putin kuwa na control na sera za Ukraine...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…