baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  2. JamiiForums Tanzania Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano(NICTBB) unaweza kuzalisha mapato kuizidi TANESCO, endapo wanaokwamisha watadhibitiwa.

    Preamble: Fikiria una nyumba 1000, zote zina huduma ya umeme na fiber. Zote zina matumizi ya kawaida ya umeme na fiber. Kwa kawaida gharama ya umeme iko chini kushinda fiber. Nyumba moja inaweza kutumia 20,000/= kwa mwezi kwenye umeme. Kwenye fiber kifurushi cha 50,000/= unlimited kwa mwezi...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi yaunda jeshi baada ya kuazimia kukalia moja kwa moja mikoa ya Ukraine iliyoiteka

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kukusanya wanajeshi wa ziada kwa ajili ya vita nchini Urusi - kulingana na shirika la habari linalomilikiwa na serikali TASS. Anasema kuwa nchi za Magharibi zimeonyesha kuwa lengo lake ni kuiangamiza Urusi na kwamba zimejaribu kuwageuza watu wa Ukraine...
  4. JamiiForums Tanzania Tahadhari ya Baa la njaa duniani yatolewa, mtu mmoja hufariki kila baada ya Sekunde 4

    Katika barua ya wazi kwa viongozi wanaokutana katika Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Jijini NewYork, Mashirika 238 kutoka Nchi 75, yakiwemo #Oxfam, #SaveTheChildren na #PlanInternational yameelezea hali ya wasiwasi ongezeko la viwango vya njaa Barua hiyo imebainisha kuwa Mtu mmoja...
  5. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanaume aghairi Harusi baada ya mchumba wake kukataa kumtaja mtu aliyempa Iphone 13 Pro Max

    Ni huko kwa wanaijeria. Walikuwa tayari wameshaengage na kilichokuwa kinasubiriwa ikawa ni Wedding. Mwanamke alirudi na Iphone 13 Pro Max na alipoulizwa kwamba nani kamnunulia simu hiyo ya Gharama akadali ni Family member. Alipoulizwa huyo Family member ni nani akagoma kudisclose Identity...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia apandishwa Basi huko London kwenye Msiba wa Malkia Elizabeth II

    Aibu! Huko London kwenye msiba wa Queen Elizabeth II, Rais Samia wa Tanzania ni mmoja wa Viongozi waliopandishwa kwenye basi. Nb: Kuna kila dalili Rais wa bongo alikuwa ana mind mpiga picha 😄.
  8. JamiiForums Tanzania Amuua mke wake baada ya Mganga kumwambia atamuona ndotoni

    Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Ali Idd Mkonongo, mkazi wa Kijiji cha Inala kwa tuhuma za kumuua mke wake aliyefahamika kwa jina la Mariam Yusuph kwa kumpiga na kitu kizito kichwani wakati akiwa amelala majira ya saa sita usiku, kisha kuuchukua mwili na kuutumbukiza kisimani kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kombora la Urusi limeshambulia karibu na kinu cha nyuklia

    Ukraine claims missile hit area near nuclear power plant Screenshot from a video published by Vladimir Zelensky's social media A missile has hit a location in Ukraine’s Nikolaev Region close to the South Ukraine nuclear power plant, President Vladimir Zelensky has claimed. The incident...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Askari Police wa hapa Puerto Rico 'Wanavyoua' Wahalifu ili Kumridhisha Rais baada ya kutokea Tukio baya ambalo Wamelishindwa

    Huanza kusaka Wahalifu kiholela na Kukurupuka kiasi kwamba huamua tu Kuua Watu ambao huenda hawana hata Kosa ila wamewakuta tu wamekaa zao Vijiweni na wanapiga Story zao. Police wa hapa nchini Puerto Rico ambako ndiyo makazi yangu ya Kudumu GENTAMYCINE huu Mwaka wa 20 sasa kama wakiona kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Shaka : Baada ya kifo cha Hayati Dkt Magufuli,wale wote Waliombeza Rais Samia Ujenzi wa miradi ya kimkakati leo wanaumbuka, Wami ilikuwa 47% leo 89.2%

    SHAKA ;RAIS SAMIA AMEWAUMBUA WALIOBEZA MIRADI YA KIMKAKATI. Ataja kukamilika kabla ya wakati ujenzi wa daraja la Wami ni kielelezo cha uwezo wa serikali ya awamu ya sita Na Mwandishi Wetu,Pwani KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amesema...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi watangaza kuwaua Panya Road sita Dar e Salaam waliokuwa wanatumia Noah

    Jeshi la Polisi limetangaza kuuawa kwa watuhumiwa sita wa vitendo vya unyan’ganyi wa kutumia silaha za jadi ikiwemo mapanga, visu na nondo ambao ni maarufu kwa jina la Panya Road, eneo la Makongo Area Four, Dar es Salaam. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne amesema...
  13. JamiiForums Tanzania Hili jambo ndilo ambalo lilinishtua Baada ya Kifo cha Magufuli

    Mafisadi Nchi nzima Yalifurahi sana. Yalifanya sherehe na kushukuru. Hapa nikafunguka macho. Huyu mtu kwa nini alichukiwa na Mafisadi? Hili lilinishtua sana. Nikaanza kujiuliza upya ni wapi nlikosea. Ndiyo....ni wapi nlikosea maana mimi mara ya kwanza sikuwa nakubaliana na mambo kadhaa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Charles Kitwanga: Sioni umuhimu wa Nchi kufanya Sensa kila baada ya miaka 10

    Mwanasiasa, Charles Kitwanga amesema haoni umuhimu wa Serikali kufanya Sensa nyingine baada ya miaka 10 kwa kuwa kuna njia nyingine za kupata idadi ya watu tofauti na hiyo iliyotumika. Amesema kwa kuwa idadi ya watu imeshajulikana, Serikali itengeneze utaratibu wa kidigitali wa kuongeza watu...
  15. JamiiForums Tanzania Kwahiyo mnaamshwa baada ya Matukio ya Mauaji kutokea na siyo kuchukua Tahadhari mapema ili Kuyazuia?

    "Niwahakikishie wananchi sasa ulinzi upo wa kutosha na doria zipo, kama zilikuwa nne sasa hivi ziko 12 kwahiyo waweke ulinzi wa kutosha kwenye nyumba zao, hiki kilichojitokeza kimetuamsha," - Raia Nassor, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mzimuni Kawe. Chanzo: EastAfricaTv Kwa Viongozi Majuha kama hawa na...
  16. JamiiForums Tanzania Msimamo wa ligi kuu NBC baada ya mizunguko minne

  17. JamiiForums Tanzania Baada ya kwenda kufanya manunuzi, nimeazimia kumrudisha nyumbani kwao

    Kwema wakuu, Nianze kwa kusalimia wanaume wenzangu wote mliooa. Shikamooni! Taikon wikiendi nilitembelewa na hsemeji yenu. Safari hii akaniambia kuwa amekuja moja kwa moja, yaani anataka tufanye maisha. Nilifurahi sana si unajua tena. Basi jana tulienda kuhemea vitu vya ndani. Nilichokutana...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya Kuapa naanza kumuona Rais Ruto kama ni Mtu mwenye Papara, Kukomoa, Unafiki na Visasi Moyoni

    Anachokisahau tu ni kwamba Rais aliyemaliza muda wake ni Mafia hasa na karibia 95% ya System ya Kenya Iko Himayani Kwake. Rais Ruto aangalie sana yasiye Kujitokeza yale ya tarehe 17 Machi, 2021 kwa Majirani zake. Anaanza kunipa Wasiwasi mkubwa.
  19. JamiiForums Tanzania Miguna Miguna athibitisha kurejea Kenya baada ya Rais Ruto kumpa kibali

    Wakili aliyehamishwa Miguna Miguna ana kila sababu ya kutabasamu baada ya Rais William Ruto kuondoa arifa nyekundu zilizotolewa dhidi yake. Katika taarifa yake mnamo Jumanne, Septemba 13, wakili huyo alibainisha kuwa alipokea hakikisho kutoka kwa Amiri Jeshi Mkuu kuhusu hali yake ya uhamishoni...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Raila Odinga aalikwa kuapishwa kwa Rais Mteule William Ruto, akataa mwaliko

    Kiongozi wa muungano wa Azimio La Umoja Raila Odinga hatahudhuria hafla ya kuapishwa kwa Rais mteule William Ruto siku ya Jumanne. Katika taarifa yake siku ya Jumatatu, Odinga alikiri kuwa Ruto alimwalika yeye binafsi kwenye hafla ya kuapishwa lakini akasema hataheshimu mwaliko huo kwa vile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…