baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia afuta vibali vya wawekezaji wageni uchwara wa Madini na kuwapa Vijana wazawa wa BBT Madini

    My Take Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo. https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
  2. JamiiForums Tanzania Morogoro: Nyoka aliyekuwa anafugwa auawa baada ya kuleta taharuki Mavimba

    wa Kata ya Milola, Wilaya ya Ulanga Mkoani Morogoro, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Aloyce Andrew, kwa kushirikiana na wananchi wa kata hiyo, wamefanikiwa kumuua nyoka aliyekuwa akifugwa ambaye alisababisha taharuki kwa wakazi wa eneo la Mavimba, njia panda ya mnadani na wananchi wengine...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje unaomba talaka halafu baada ya kuipata unaanza kuishi maisha yasiyo na mipaka?

    Nimeona jambo hili kwa baadhi ya wanawake, hasa wale waliotoka kwenye ndoa Zenye changamoto. Mwanamke anapokuwa kwenye ndoa yenye changamoto labda ameumizwa, amepuuzwa, amenyanyaswa au hakupata alichotarajia, anaweza kufikia uamuzi wa kuomba talaka. Hatua hii, kwa wengi, huonekana kama ujasiri...
  4. 5

    JamiiForums Tanzania BBC: Meli zashambuliwa Hormuz, nyengine zageuza baada ya onyo la Iran

    Inaonekana US hawako tayari kwa maridhiano, mlango ulifunguliwa rasmi lakin US wakaendelea kupaki meli zao huko bahari kuu sasa umefungwa tena rasmi.
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kusimamishwa Mapigano Magaidi wa Hezboulah na wafuasi wao wafanya Sherehe!!

    Magaidi wa Hezbollah na wafuasi wao wanasherehekea kote Lebanon kuanza kwa usitishaji vita wanazodai kuwa walishinda na kuanza kwa watu waliokimbia makazi yao kurejea katika maeneo yao - huko Dahieh, Beirut na kusini mwa Lebanon. Vizuizi vya zege kutoka kwa viingilio vya vitongoji vya kusini...
  6. JamiiForums Tanzania POTOSHI Bunge la Iran limetangaza kuongeza mishahara April 2026, kwa wafanyakazi baada ya vita

    kumekuwepo na chapisho ambalo limechapishwa na baadhi ya watumiaji wa mitandao ya facebookk wakiwa na ujumbe unao nukuu kuwa bunge la iran limetangaza kuongeza mishahara baada ya vita katika chapisho hilo ambalo lina nukuu inayosomeka "Baada ya Bunge kuidhinisha sheria mpya ya Malipo kada ya...
  7. R

    JamiiForums Tanzania BURUNDI: Mahakama yamwachia huru Mwandishi wa habari baada ya kukaa jela miaka miwili

    Mahakama ya rufaa nchini Burundi imemwachia huru kwa masharti mwandishi wa habari Sandra Muhoza, hatua inayohitimisha kizuizini cha karibu miaka miwili kilichoibua hofu mpya juu ya uhuru wa habari nchini humo. Muhoza, ambaye ni mwandishi wa habari wa shirika la La Nova Burundi, alikuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Nilivyonusurika kukamatwa na Mjeda baada ya kudoji kwata

    Nilimaliza form six nikaingia jeshini kwa mjibu wa sheria nilienda kibishi tu na nguo za kitaani fulani nyeupe na modo nyekundu na sendos za kishikaji fulani . Nimefika zangu Dodoma natokea mkoa x nikachukua usafiri wakunipeleka makutopora JKT -834KJ. Mimi sikwenda na mzigo wowote ile tumefika...
  9. JamiiForums Tanzania Mtoto aliyefariki, arudishiwa uhai baada ya kuombewa!

    Hili ni tukio la ajabu na kweli lililofanyika huko Congo miaka kadhaa iliyopita. Ilikuwa hivi: Mtoto mdogo aliumwa na nyoka mwenye sumu kali, akakata pumzi. Hakupumua kwa takriban masaa matatu. Kisayansi mtu asipopumua kwa muda huo mrefu, anapaswa kufa au kupata uharibifu mkubwa wa ubongo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Propaganda: Baada ya kushindwa kudanganya kifo cha Netanyahu, Iran wamekuja na nyingine ya Marekani kuwalipa Dola Bilioni 6.

    Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani. Dola Bilioni 6 zilikuwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana na wafungwa, ambapo Marekani ilitoa ruhusa...
  11. JamiiForums Tanzania Msisitizo! Hakuna kipaji (inborn ability), mtu huwa na uwezo wa kitu fulani baada ya kuzaliwa

    Wazungu walituaminisha kuwa Kuna watu huzaliwa wakiwa tayari na uwezo wa kufanya vitu fulani, mathalani, kucheza mpira, kuimba, n.k, ili tunaposhimdwa kufanya mambo fulani, turidhike kwa kuamini kuwa hatukuzaliwa na uwezo wa kutenda/kufanya mambo hayo. Ukweli ambao watu wengi hawaujui ni kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Tabia ya wapenzi kuvujisha faragha baada ya kuachana ni akili au upumbavu?

    Salaam JF tuwe makini hili linaweza kumkuta yoyote. Kumekua na tabia ya baadhi wapenzi baada ya kuachana huvujisha faragha zao kama voice, picha au video walizoshiriki wakati wa mahaba motomoto na kuzua taharuki. Uenda usababishwa na mihemko, hasira au kukomoana. Nini kifanyie kukemea hii...
  13. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania kulikuwa na wafitini waliosababisha Wenge Musica kusambaratika na Koffi kukimbiwa na wanamuziki mara baada ya kuzuru nchini miaka ya 90?

    Kwa mujibu wa wao wenyewe Wenge BCBG ni kuwa mara baada ya ziara yao ya Tanzania mwaka 1997 ndo ukaibuka mgogoro mkubwa uliosababisha wasambaratike na kundi kuvunjika. Mwaka mmoja baadae Koffi Olomide alikimbiwa na wanamuziki wake mjini Dar es Salaam walipokuja kupiga show. Ishu ya Koffi ilikuwa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka?

    Je ni lazima kubadilisha jina baada ya kuokoka? Katika biblia Mungu hakuwabadilisha watu majina kutokana na tafsiri za majina yao. Ni muhimu sana kufahamu hili, vinginevyo shetani anaweza kukutesa na tafsiri ya jina lako. Hii ni kwa sababu usipomwelewa Mungu jinsi anavyotenda kazi...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya Yapata Aibu Nyingine Ni Baada ya Uganda Kukataa Kuwapa Msaada wa Mafuta

    My Take Wakaombe Kwa Beberu USA wanakoshoboka huku wakisifiwa na desperate and useless Chadema fans 😂😂👇👇 Kiukweli Uganda wamejua kunifurahisha. Tanzania ya Samia tuna Akiba ya miezi 3 na matenki yakikamilika tutakuwa na Akiba ya mwaka mzima. ----- Uganda 🇺🇬 has turned down Kenya’s 🇰🇪 request...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Iran kuchomoa sasa Magaidi wa Hezbollah wanapata Kipondo hasa!!

    Ndani ya dakika 10 na katika maeneo mengi kwa wakati mmoja, IDF ilikamilisha shambulio kubwa zaidi lililoratibiwa tangu kuanza kwa Operesheni ya Roaring Lion, ikilenga zaidi ya vituo 100 vya amri ya Hezbollah na maeneo ya kijeshi huko Beirut, Beqaa, na kusini mwa Lebanon. Malengo yaliyopigwa...
  17. JamiiForums Tanzania So, hata baada ya zile drama zote, ambao hawakuchoma sindano za COVID19 bado hawajafa hadi leo!! Inahuzunisha!.

    Nakumbuka kulikuwa na kelele nyingi sana hata hapa nchini kwetu zikitia watu hofu ili wachomwe chanjo ya korona. Nguvu nyingi sana ilitumika kupitia matangazo ya medias, serikali hadi wanaharakati uchwara. Mfano hata media kubwa duniani kama CNN na The New York Times yalitumia propaganda sana...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya netflix kuwaharibu watoto wenu na maudhui ya kishoga sasa wamekuja na jipya la kuchafua ukatoriki.

    Wameandaa show ya kuonesha kuwa papa ni shoga na ana mahusiano na askofu.
  19. JamiiForums Tanzania Kizembe kabisa Kuna watu wanaenda kuozea magerezan kwa uzushi wa kuibiwa nyeti baada ya kusababisha vifo

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwaresma imeisha salama sasa tuko tunaendelea kusherekea pasaka na leo ni jumatatu ya pasaka Kila siku mimi kama Beira boy katekista wa parokia ya st Joseph huwa nawasisitizia vijana wenzangu kuwa uchawi haulipi na imani za kishirikina siyo...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutohama kwa taarifa za Utumishi baada ya kuhamia Halmashauri nyingine

    Mimi ni mwalimu, Nimehama kutoka halmashauri A tangu mwaka 2024 na sasa nipo halmashauri B lakini mshahara na taarifa za utumishi bado zinasoma halmashauri A. Na wanaohusika kuhamisha hizo taarifa ni TAMISEMI na kila ninapowapigia simu majibu ni yaleyale kuwa watahamisha lakini hawajahamisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…