baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Swali Kwa Waislamu: Sababu gani ya msingi kuwataka wanandoa waanze na line (namba) mpya za simu baada ya kufunga ndoa

    Wasalaam JF Rejea muktadha wa jicho la habari ulivyosomeka, naomba michango ya majibu yenu, wanandoa sio misukule wana kumbukumbu, wana akili za aina mbalimbali ikiwemo unafiki. Je, kama ni kweli wanandoa hasa mwanamke kwa msisitizo kwa nini sharti abadili namba yake ya simu? baada ya kufunga...
  2. JamiiForums Tanzania Peter Msechu adai kupungua kilo 7 baada kuwekewa puto Tumboni

    Msanii Peter Msechu amefanikiwa kupunguza uzito wa kilo saba ndani ya siku saba tangu alipowekewa puto na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila ili kumsaidia kupunguza uzito. Msechu aliwekewa puto hilo Januari 25, 2023 akiwa na uzito wa kilo 143.4 lakini kufikia leo Februari Mosi 2023...
  3. JamiiForums Tanzania Mkataba wa Yanga na Sport Pesa waingia mdudu baada ya Yanga kutambulisha mdhamini mpya

  4. L

    JamiiForums Tanzania Wachina washerehekea Sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China baada ya wimbi la maambukizi ya COVID-19 kumalizika

    Mkesha wa Mwaka Mpya wa Jadi wa China ulifanyika tarehe 21 Januari mwaka huu, ambapo wanafamilia kutoka sehemu mbalimbali walikusanyika pamoja na kukaribisha Mwaka Mpya wa Sungura. Sikukuu hiyo kwa mwaka huu ilikuwa ni ya kwanza kufanyika baada ya China kutangaza mapema Januari kuwa, inapunguza...
  5. JamiiForums Tanzania Mlipuko wa msikitini Pakistan: Takriban watu 32 wauawa baada ya mlipuko huko Peshawar

    Takriban watu 32 wameuawa katika mlipuko uliotokea kwenye msikiti mmoja katika mji wa Peshawar nchini Pakistan. Mlipuko huo ulitokea wakati msikiti huo ukiwa umejaa waumini na zaidi ya watu 150 kujeruhiwa. Sehemu ya jengo iliharibiwa, na maafisa wanasema watu wamezikwa chini ya vifusi.Wengine...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Sophia Mjema, baada ya kuzuia upigaji Vishikwambi. Angazia na hawa HESLB waturejeshee pesa walizotukata kimakosa. Prof. Mkenda limemshinda

    Hawa HESLB wana tabia ya kuzidisha makato ya marejesho ya mkopo bidi unapomaliza marejesho ya mkopo kwa kuendelea kukata mishahara yetu kila mwezi, hata kwa zaidi ya miezi 3 hadi 6 inategemea ya wepesi wako wa kuwafuata kwenda kulalamika. Baado ya hapo ukiomba kurejeshewa makato yaliyokatwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kisa cha kweli: Bodaboda atoswa na kisha baadaye kupindua meza baada ya kusomesha mchumba toka O'level hadi Chuo Kikuu

    Hello, Acha mapenzi yaitwa wazimu wa hiari, ama Ibilisi asiye na akili rehani. Huyu bodaboda kijana wa kinole morogoro vijijini, alikuwa na mchumba mtoto wa kirangi akasomesha toka O'level hadi chuo ahadi ni kumuoa baada ya kuhitimu chuo. Baada ya kuhitimu chuo mrembo wa kirangi kapata...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Watanzania ni Wavivu na Waoga. Wanataka kila kitu afanye Tundu Lissu au Mbowe, hatutafika kwa utaratibu huu!

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Watanzania ni Wavivu wanategemea kila kitu afanye Tundu Lisu na Mbowe Kwa utaratibu huu hata Katiba mpya itakuwa ngumu kuupata, amesema Wananchi ni lazima mtumie WINGI wenu kuibana Serikali itekeleze matarajio yenu vinginevyo mtaendelea Kuwa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

    Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka. Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately...
  10. JamiiForums Tanzania Watoto kutokuripoti kidato cha kwanza baada ya kupangiwa shule, serikali ndio sababu. Serikali isikwepe wajibu

    Habari! Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi ambao wanajichanga ili wawapeleke watoto wao shule na pia wazazi wengine hawana mpango wowote. Yote...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tafakuri baada ya Hotuba #1 ya Lissu

    Hotuba ya kwanza ya Lissu ilikuwa jana. Basi kama ilivyo kwa makombora tulitegemea majibu thabiti kutokea ule upande mwingine. "Kinyume chake kumepiga kimyaaaa!" Kwa kimya kingi hiki ni wazi kuwa: 1. Mama hana uungwaji wowote mkono kwenye huku alikotufikisha na hali hii ya maisha, ikiwamo bei...
  12. JamiiForums Tanzania Cameroon: Waandishi wa Habari waomba ulinzi baada ya mwenzao kuuawa

    Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi huyo aliyekuwa Mkosoaji wa Serikali, alikuwa ametishia kufichua Ufisadi Serikalini Shirika la kutetea...
  13. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje kuhusu tathmini ya uharibifu wa shamba baada ya mifugo kuharibu shamba?

    Kuna documents kutoka halmashauri ya wilaya fulani hivi. Inaelezea tathmini ya jinsi ya kutatua migogoro ya mifugo itakapoharibu kila aina ya mazao na malipo yake. Mfano: Ng'ombe wakiingia shamba la mahindi muda wowote wa ukuaji wa mazao hata kama mahindi yana wiki toka kupandwa, inapigwa...
  14. JamiiForums Tanzania Morogoro: Profesa wa SUA afikishwa Mahakamani kwa shitaka la ugoni, mkewe adai fidia ya Milioni 100

    Profesa wa Chuo Kikuu Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo Mkoani Morogoro, Christopher Kasanga na mwenzake Linael Makundi mfanyakazi wa Benki ya CRDB Tawi la Mandela mkoani hapo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Morogoro kwa shtaka la madai ya Ugoni dhidi ya mlalamikaji Matrida Sigaret...
  15. JamiiForums Tanzania Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi. Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili? Miaka 39 kazini Serikalini. Mafao hayazidi 10Million Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7) Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K Asante
  16. JamiiForums Tanzania Familia ya Hayati Magufuli inajisikiaje Baba yao kutukanwa miaka miwili baada ya kufariki?

    Kabla ya Hayati Magufuli walikuwepo Marais wanne waliomtangulia, ila wote hakuna anayetukanwa si mitandaoni wala majukwaani. Hayati Magufuli amevunja rekodi ya kutukanwa na kubezwa sana,si majukwaani au mitandaoni. Alikosea wapi? Familia inajisikiaje?Au wameshazoea? Je, tuna la kujifunza kwake...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Nipashe lifungiwe baada ya Serikali kuchunguza habari hii

    Gazeti la Nipashe liliandika kwa kichwa cha habari kikubwa kuwa Watoto wafundishwa kulawitiana shuleni Watu wengi walishtuka lakini mimi Nilishikwa na wasiwasi kuhusu ukweli wa hii habari hasa ukizingatia gazeti hili lilikuwa nalijua kwa kuandika habari kwa mtindo wa "sensationalism", kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuiponda awamu ya 5, maoni ya wananchi ambao ni wapiga kura kwenye Instagram page ya JF yanashtua

    Sijui imekaaje hii kisiasa mimi sio mwanasiasa ila naamini nguvu yoyote bila legitimacy ya umma haiwezekani. Mbowe alikuwa akimwaga sifa kwa Mama Samia uku akiiponda serikali ya Magufuli. Maoni yake yamewakera sana wananchi na wameonesha hisia zao kupitia kurasa ya Instagram ya jamiiforums...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini maji yanakuwa na ladha chungu ukiyanywa baada ya kula nanasi?

    Eti wakuu, kwa nini hili hutokea?
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba ya Mbowe Mwanza, ni wakati muafaka Chadema iwafukuze uanachama Lema, Martin Maranja Masese, mdude na Heche

    Hotuba ya Mbowe aliyotoa mwanza ni ya kupongezwa na imeonyesha ukomavu wa kisiasa, na kimsingi huo ndio muelekeo wa chama na wanachama wote wa Chadema. Ila bado Kuna vichwa ngumu wanaofanya Siasa za kihuni huni. Nashauri uanze mkakati wa kuwafukuza uanachama. Chadema Ina heshima yake, kukaa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…