baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nataka kuteketeza 10 million means kuzichoma moto hizi pesa baada ya kugundua pesa hizo sio halali

    Pesa makaratasi... hii ndo maanake ☝️😁😁 ukichoma pesa serikali inakupa kesi. Pesa zangu afu serikali inanipangia matumizi ☝️ hata kuchoma pesa ni matumizi mbona nikipoteza pesa hainisaidii kutafuta hizo pesa.... Utumwa still bado upo. Any way ....
  2. JamiiForums Tanzania Marubani wa Urusi watatunukiwa tuzo baada ya tukio la kuzuia ndege zisizo na rubani za Marekani

    Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya Urusi kutumia nguvu zote na kushindwa kufumua Bakhmut, sasa Ukraine kujibu

    Urusi imepoteza zaidi ya wanajeshi 70,000 kwa kujaribu kufumua kamji kadogo ka Bakhmut, imeshambulia kwa nguvu zote na kutupa kila kitu, lakini wazalendo wa Ukraine walipambana kuhimili hayo mapigo na kwa sasa Urusi imekwama kiasi cha kutojua nini cha kufanya zaidi.....kichekesho...hawa ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Utashangaa baada ya Afrika sasa Kuingiza Timu 10 Kombe la Dunia 2026 kwa Kulaanika Kwetu bado tutatoka Kapa tu

    Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe. Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni Kheri (Bora) hawa FIFA wangeongeza idadi ya Timu / Nchi kwa Mabara yaliyo Serious...
  5. JamiiForums Tanzania Tanganyika stars baada ya kuchukua kombe la challenge

    Timu ya Taifa baada ya kuchukua kombe la Challenge, Syllersaid Salimin Kahema Kangero MZIRAY aka Super Coach akiwa Kocha. ilikuwa 1994 sina hakika na mwaka. Rest in Peace SillaMziray, toto la Kipare lilisakata Kabumbu si hawa akina Fei mnawapa airtime tu. PICHANI Sylversaid Marehemu REGINALD...
  6. JamiiForums Tanzania Mafia: Watu 7 wafariki dunia baada ya kula nyama ya Kasa

    Mpaka muda huu watu sita wamefariki dunia baada ya kula nyama ya kasa kisiwani Mafia wakiwemo watoto wawili ambao ni ndugu huku baba yao na mama yao wakiwa wapo hospitali hapa Mafia wamelazwa. Taarifa zinakuja sababu bado huduma inaendelea watu ni wengi waliokula taarifa inakuja ishazikawa...
  7. JamiiForums Tanzania Ajinyonga ukweni baada ya kunyimwa mke

    Mwanaume mmoja ambaye jina lake halijafahamika amejinyonga na kufariki dunia ukweni kwake baada ya juhudi za kupatanisha na mke wake kugonga mwamba. Mwanaume huyo alikuwa amekwenda ukweni kwake Kijiji cha Kolondo Mashariki mwa Homa Bay, ambapo inaelezwa lengo lake ilikuwa ni kumrudisha mke wake...
  8. JamiiForums Tanzania Nimesoma sana hiki kitabu na hii chapter nilikuwa bado sijaielewa, juzi baada ya kusikiliza hotuba fulani ndipo nikaisoma tena na nikaelewa

    Hello bosses and roses... Hii chapter ina mistari kumi tu, lakini ni fikirishi sana hasahasa kwa historia ya siasa hapa Tanzania kwa kipindi cha 2015 hadi sasa. Kwa muda mrefu nilishindwa kung'amua mafundisho yake lkn hivi juzi ndipo nikaelewa mwandishi (Lao Tzu) alimaanisha nini. Chapter...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Tafakuri naachana na kampeni ya kataa ndoa, nahiitaji Mwanamke wa kuoa

    Ujana una mengi na siwezi danganya mengi nimefanya. Sifa zangu Urefu Futi 5.9 Elimu: degree moja Kazi Mwalimu wa secondary (Government) Kabila Haya Sifa za Mwanamke Awe Bikra Elimu sio lazima Cha muhimu kusoma na kuandika Kiswahili Dini Muslim Sifa kuu awe bikra na smart kichwani That all...
  10. JamiiForums Tanzania Niliporudi kutoka Uswisi baada ya kukaa kule wiki mbili niliona Dar ni chafu sana

    Nilipata safari nikaenda Uswisi kwenye miji ya Zurich na Bern ila niliporudi baada ya wiki mbili niliona Dar ni chafu kupitiliza. Ilifika mahali nikaanza kumwambia yule dereva teksi aliyenibeba pale JK Nyerere airport kwamba natamani nirudi ulaya maana huku kunatisha. Baada ya muda nilizoea...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kugeuka na kuwa kama kina Shibuda, John Cheyo na Mrema ni upi mustakbali wa siasa za upinzani Tanzania?

    Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na CCM kule Zanzibar na CHADEMA nao wanatafuta robo mkate wao huku Tanganyika. Kabla CHadema hawajaanza...
  12. JamiiForums Tanzania Nilitegemea baada ya Watanzania kupitia Ukame na Maji yakawa ni Mgawo sasa tungekuwa busy Kuvuna Maji tusijetaabika tena

    Matokeo yake tumeshajisahau na kama Kawaida yetu tuko busy na Kumsifu Mtu kila Saa ( kwa kile ambacho mpaka sasa GENTAMYCINE sijaona alichofanya ), tuko busy Kutongozana na Kubanduana, tuko busy na Suala la Fei Toto, tuko busy na Mambo ya Mpira, tuko busy na Mabadiliko ya Mawaziri, Makatibu na...
  13. JamiiForums Tanzania Chris Brown ahojiwa na Polisi kwa vurugu zilizotokea baada ya kuingia Klabu

    Polisi wa England wamemhoji Star huyo wa R&B kutokana na vurugu zilizotokea kwenye Klabu ya Usiku ya 'Tape' jijini London ambapo Watu walioambatana naye walipigana na Walinzi wa Klabu na kusababisha Mtu mmoja kujeruhiwa kwa Chupa Kichwani na kukimbizwa Hospitali. Chris Brown anayeendelea na...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Mungu ataumba tena binadamu wengine baada ya dunia kufikia mwisho?

    Swali langu ni hili, je, Mungu ataumba binadamu wengine baada ya kukifuta hiki kizazi cha tatu? Au baada ya dunia kufikia mwisho na sisi kukutana na doom ambayo Mungu ameipanga mambo ya binadamu ku-exist duniani yatapotea kabisa? ======================= Salamu kwa wanajukwaa, nawasalimu wote...
  15. JamiiForums Tanzania Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

    Wageni weusi kutokea mataifa kutokea mataifa mengine Afrika waanza kuikimbia Tunisia baada ya rais kufyatuka na kuwalaumu kwa wao kujaribu kubadilisha kizazi cha watu wa Tunisia (ambao ni waarabu) na pia kulaumu weusi kwa uhalifu. Makundi ya waarabu yameanza kutembeza kichapo kwa weusi...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya kuwapuuza wanachama hawa maisha yangu JF yameboreka sana

    Unafungua JF unakuta notifications kumi na, unafungua kujua walioreply na kulike comments zako. Unaingia unakuta ni member mmoja kalike comments zako kumi! Si zako tu. Kalike thread nzima. Inakata stimu kabisa maana likes zenyewe siyo sincere. Basi kwa shingo upande ikanilazimu kuwaignore...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Aishi zaidi ya siku 30 akila wadudu baada ya kupotea msituni

    Bolivia. Kisa cha Jhonatan Acosta (30) kimewashangaza wengi baada ya kuishi kwa kula minyoo na wadudu kwa zaidi ya siku 30 tangu alivyopotea katika msitu wa Amazon. Akifanya mahojiano na kituo cha televisheni cha Unitel alisema, "Ilinibidi kujifunza mbinu mpya za kuishi, nilijilazimu kutumia...
  18. JamiiForums Tanzania Watoto wachanga 240,000 hufariki wiki 4 baada ya kuzaliwa kila mwaka

    Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) zimeeleza vifo hivyo vinatokana na changamoto za kiafya au ulemavu unaohusiana na masuala ya uzazi. Changamoto hizo za kiafya pia zimechangia vifo vya Watoto 170,000 wenye umri wa mwezi mmoja 1 hadi miaka mitano kwa mwaka. ============ An estimated 240,000...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kisa: Nini hutokea pale muoaji au muolewaji anapotokomea kusikojulikana baada ya kukusanya michango?

    Salam Wakuu, Ndani ya mada kabisa, Nataka kujua ni hali gani anakuwa na mtu kama huyu. Mapema January mwaka huu nilipata kadi ya kuchangia send-off kutoka kwa rafiki yangu, ambapo aliainisha mapema mwezi huu ata-agwa kutoka nyumbani kwao. Kwa tamaduni za send-off, japo siyo mdau huwa naona...
  20. R

    JamiiForums Tanzania WanaCCM wana mengi kuhusu Hayati Magufuli, tutasikia mengi tuwe na akiba ya maneno

    Habari JF, Ni wazi kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi wa 2025 kwa namna yoyote ile. Hili liko wazi hata kwa wapinzani ambao tayari wamelielewa. Na hii sifia sifia ina ahadi nzuri ndani yake. Hivyo, 2025 goli liko wazi kwa nafasi za ubunge na udiwani. Kitakachotokea ni kwamba wabunge wataingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…