baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa mboga ilala waingia hasara baada ya mboga zao kushikiliwa na mamlaka ya vipimo.

    Wafanyabiashara wa mbogamboga Soko la Ilala wamelia kupata hasara baada ya gari iliyokuwa imebeba mizigo yao kutoka Gairo mkoani Morogoro kukamatwa nje ya soko hilo. Mwenyekiti wa Wafanyabiashara hao, Thomas Hezron amesema gari hiyo ilikamatwa na mawakala wa vipimo kwa mazao ya shamba mkoa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya US Federal reserves kupandisha interest rate madhara yake yameanza kuonekana

    Baada ya watu kutoka lockdown iliyoshababishwa na corona kulipelekea watu kuwa na hela nyingi huku uzalishaji production ikiwa chini kilichotokea ni inflation kuwa juu karibia nchi zote dunia Marekani kama taifa lenye uchumi mkubwa waliamua kupambana na inflation kwa kupandisha interest rate...
  3. JamiiForums Tanzania Cristiano Ronaldo asujudu baada ya kufunga goli muhimu

    Baada ya kupiga bao muhimu Ronaldo akashangilia kwa kusujudu kama wafanyavyo Waislam. Huu ni mwanzo wa Ronaldo kusilimu au ni raha za furaha iliyopitiliza (euphoria)? Tumewahi kumuona mara nyingi, kama si zote, kila Ronaldo anapopiga bao huwa na kawaida ya kufanya ishara ya alama ya msalaba...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya vuta nikuvute ya kujaribu kuacha fegi, hatimae kwa sasa nimejinasua kabisa kwenye kifungo cha uraibu wa sigara, ni miezi 6+ siijui fegi

    Nimeanza kuvuta fegi since 2012, fegi ilikuwa daily mara 3 asubuhi, mchana, sometomes jioni na usiku, kila siku, ni mara chache mno niliruka. Nilikuwa mvutaji wa siri sana, nilikuwa naenda kuvutia maeneo ambayo sijulikani na kweli niliweza kuitunza siri hii mpaka nimeacha hakuna anaejua kasoro...
  5. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mwanaume aomba ushauri kufuatia mke wake kufariki baada ya majibu ya DNA

    Imetokea nigeria mwanaume mmoja aliamua kupima watoto wake wawili DNA. Majibu yakatoka watoto wote si wake. Mkewe akafa ghafla baada ya kupata majibu. Ungekuwa weae ungechukua uamuzi gani kwa watoto au unampa ushauri gani huyo jamaa.
  6. JamiiForums Tanzania Wamiliki wa Jengo la Millenium Towers, PSSSF watoa tamko baada ya lift kushuka ghafla na kujeruhi Watu 7

  7. JamiiForums Tanzania Nilivyopata shida baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu na baade kupata mtaji

    Habari yako mwanajamii, nina imani ulipo unaendelea vema, kama haupo sawa Mungu akutangulie katika jambo lako. Leo nimepata muda wa ku-share vitu nilivyopitia katika maisha yangu. Mimi ni mzaliwa wa Nyanda za Juu Kusini (Songwe -Mbozi) nimesoma shule ya primary Songwe Mwaka 2008 na nikajiunga...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kanisa laahirisha ndoa baada ya watarajiwa kukiri kuzini

    ''Asiye na dhambi awe wa kwanza kuokota mawe na kuwapiga hawa watuhumiwa''.........mwisho wa kunukuu sasa endelea na story ====== Bibi na Bwana harusi watarajiwa wamejikuta wakishindwa kufunga pingu za maisha baada ya Kanisa kukataa kuwafungisha ndoa kutokana na kile kinachodaiwa walishiriki...
  9. JamiiForums Tanzania Watalaamu, hii kabla au baada ya tukio?!

    Ukisema ni kabla uwe na sababu Ukisema baada uwe na sababu
  10. JamiiForums Tanzania Wakili: Deni la Membe kwa Musiba liko palepale

    Dar es Salaam. Wakili Jonathan Mdeme, aliyekuwa akimwakilisha mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Bernard Membe (69) kwenye kesi dhidi ya mwanahabari Cyprian Musiba, amesema deni la waziri huyo wa zamani wa mambo ya nje kwa Musiba liko palepale na msimamizi wa mirathi ataendelea alipoishia...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wote wanaojuta baada ya kupiga peku

    Habari wakuu, Kuna watu wanamtindo wa kujaamiana na watu wasiowaamini kwa Mara ya kwanza au pili bila kondom halafu anaenda mbele kujilaumu au anajialaumu kesho yake, baada ya siku kadhaa anajipa moyo yule alikuwa fresh tu, mara anakutana na mwingine anarudia tena halafu anajilaumu...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru Kenyatta afutilia Mbali wito wa Kustaafu Siasa baada ya Kutishwa na “Wasiojulikana”

    Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta, jumatatu hii ametupilia mbali ushauri na maoni ya Viongozi mbalimbali waliotaka astaafu Rasmi siasa za Kitaifa Nchini humo. Picha: Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta Akizungumza kwenye halfa moja ya Kitaifa ya Chama Cha Jubilee iliyofanyika jumatatu ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu hawatakiwi Afrika Kusini baada ya 01 Juni

    Wito tayari umetolewa huko Bondeni kuwa wageni hawatakiwi baada ya tarehe 01.06.2023. Waambieni ndugu zetu huko wachukue tahadhari kabla ya hatari. Vinginevyo, warudi nyumbani tuuze malonya Kariakoo.
  14. JamiiForums Tanzania Fedha wanazolipwa timu kila watakapufuzu kwenda hatua nyingine Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika

    Kila timu italipwa kulingana na kiwango ilichofikia. Hakuna hela inayotolewa kwa kuvuka kila hatua, hawawezi kulipa kila hatua kwasababu fungu la bajeti halina uwezo huo. Ukiingia mashindano ya CAF ukatolewa hatua ya awali ukashindwa kuingia kwenye makundi utakuwa umetoka patupu hata mia...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya Tume ya haki jinai naona ipo haja ya kuanzishwa kwa tume ya Kodi

    Kodi ndiyo roho ya serikali kiasi kwamba bila kodi hakuna serikali na kwa vile kodi inatokana na biashara, basi kimantiki biashara ndiyo serikali. Kwa tuliyoyashuhudia hali si shwari kati ya wasimamizi wa kukusanya kodi na wafanyabiashara wanaolipa hizo kodi; kwa misingi hiyo ipo haja ya kuundwa...
  16. JamiiForums Tanzania Watoto 4 Wakutwa Wakiwa Hai Siku 16 Baada ya Ajali ya Ndege

    Maofisa nchini Colombia, wanasema watoto wanne waliotoweka tangu ndege kuanguka msituni, wamepatikana wakiwa hai zaidi ya wiki mbili baadaye. Mama yao na watu wazima wengine, walifariki katika ajali hiyo. Shirika la Serikali la Ustawi wa Watoto (ICBF), lilisema limepata taarifa kutoka eneo hilo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Wafanyabiashara kusikilizwa. Wachimbaji wadogo kanda ya ziwa nao wasikilizwe

    Kumekua na malalamiko mengi sana kutoka kwa Wachimbaji Wadogo wa dhahabu kwa miaka mingi bila kutatuliwa. Tusipojifunza kwa Wafanyabiashara wa Kariakoo tutegemee maandamano mengine ya wachimbaji wadogo. Baadhi ya Malalamiko yao ni 1. Kulipa kadi(mrahaba) zaidi ya mara 2, mchimbaji hukatwa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Marekani yasitisha zoezi la kupeleka ndege vita F -16 baada ya mifumo yake ya ulinzi kudunguliwa uko Ukraine

    Baada ya mifumo ya ulinzi ya Marekani ambayo walikuwa wakiiamini sana kupigwa na kuharibiwa na majeshi ya Russia, kwa kutumia makombora ya kinzhai, leo Marekani amepiga marufuku ndege zake aina ya F -16 zisipelekwe ukraine wala kuwafundisha askali wa ukraine. Hii Ni baada ya kugundua kwamba...
  19. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Bado Afisa Elimu msingi Moshi manispaa yupo ofisini baada ya kuuzia saccos eneo la shule?

    Tunakoelekea tume fila mahali sasa watumishi wa Umma Wanafanya watakalo na hafanyiwi chochote, Je TAMISEMI mama ANJELA KAIRUKI Unafahamu maeneo ya Taasisi Za Umma Mfano maeneo ya shule Za msingi Za serikali yanauzwa? Kama Bado Afisaelimu mtajwa hapo juu yupo ofisini hadi leo kuna kila sababu...
  20. JamiiForums Tanzania Baada ya kufulia alikaa miezi sita akaniacha hata hivyo namshukuru

    Kisa cha kweli nilikuwa na mpenzi ambae kwa tulipenda sana kwa jina lake letina cosmatiko mtoto huyu kaumbia pia mzuri mimi ashampoo huwa napenda mataka mtoto alikuwa nayo nilikutana posta huko mwaka 2017sura nayo nzuri sana Sijisifii kila siku nawaambia mungu alinibariki nikashika hela...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…