baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Irani kuanza vita rasimi Marekani wamekimbia

    Mara zote Irani yeye alikuwa haziishi mashambulizi ila alikuwa anajibu Baada ya kushambuliwa na alikuwa anajibu Kwa kiwango kinachofanana nafikiri walikuwa wanafanya Kwa kufuuta Sheria za kiislam Ila hili shambulio la mwisho la US la kupiga miundombinu Yani reli za mwendokasi, Madaraja ...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sefu Musa adaiwa kuawa na askari baada ya kutuhumiwa kuwa mjangili Ngorongoro

    Kijana mmoja anayefahamika kwa jina la Sefu Musa amefariki dunia baada ya kudaiwa kuuawa na askari watatu katika eneo la Ngorongoro mkoani Arusha, baada ya yeye na wenzake kutuhumiwa kuwa ni majangili. Sefu alikuwa pamoja na Salim Hamisi maarufu Pachaa na Abdallah Nuru, wakitokea Arusha mjini...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya Machawa Majinga Fulani Kumkufuria Kaka, Akayapuuza kwa Kuyanyamazia Aka..., Sasa Yameanza Kumkufuria Dada!, Ayapuuze, Ayanyamazie au Akemee?.

    Wanabodi, Angalizo. Simple minds discuss people, great minds discuss ideas, hili sio bandiko la kudiscuss people, ndio maana hakuna jina la mtu yeyote limetajwa humu, hivyo nakuomba hata kama wewe ni simple mind, ukajisikia unawashwa washwa kutaja majina, nakuomba jifanye great mind kwa...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu Sita Wakamatwa Ruiru Baada Ya Wahindi 3 Kuokolewa Katika Kesi Ya Usafirishaji Binadamu

    Watu sita wamekamatwa huko Ruiru, Kaunti ya Kiambu, baada ya maafisa wa upelelezi kuwaokoa raia watatu wa India waliokuwa wameripotiwa kutoweka baada ya kuwasili nchini Kenya tarehe 5 Agosti 2026. Uchunguzi wa kitengo cha Operations Support Unit (OSU) cha DCI uliwawezesha maafisa kuwafuatilia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  7. M

    JamiiForums Tanzania X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti?

    X wako ana hali gani huko alipokwenda baada ya kukusaliti? Usaliti wake umemlipa au yuko hoi anajutia anatamani kurudi tena kwako?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tunda gani ulikuwa unalitamani kutokana na kusifiwa ila baada ya kulionja hulitaki tena?

    Nilikuwa nikisikia sifa zinazopewa kwenye tunda linaitwa embe ng'ong'o nilikuwa natamani sana kulionja kwa kuwa huku kwetu kanda ya magharibi halipo na kama lipo mie sijwahi kukutana nalo. Nikawa natamani sana kulionja, ila siku niliyolionja nikasema chaaa nini hiki, sitaki hata kulisikia tena...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania Kuzisaidia nchi za Afrika kupata Uhuru nazo sasa zaisaidia Tanzania

    Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Inaonekana wazi sasa kuwa Dangote alikimbilia kujenga refinery Kenya baada ya kukataliwa Tanzania

    Ni takribani mwezi mmoja tu tangu bwana Dangote alipotangaza kuwekeza mradi wake mkubwa wa takribani $16 bilioni nchini Kenya. Hayo yalijitokeza baada ya maneno ya rais wa Kenya kwamba walishakubaliana mwanzoni kuwa kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) kijengwe Tanga lakini ilionekana kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Baada ya MOSSAD kufeli huko Iran, viongozi waandamizi wafukuzwa kazi

    Mkurugenzi wa Mossad, Roman Gofman, amewaondoa maafisa wawili waandamizi wa shirika la ujasusi ambao walihusika kwa karibu katika kutengeneza mpango usiofanikiwa wa kuangusha utawala wa Iran, televisheni ya Israeli iliripoti Alhamisi. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Israel, mmoja wa maafisa...
  12. JamiiForums Tanzania Familia ya Muigizaji wa wakanda, Chadwick Boseman Yadaiwa Kukabiliwa na Bili ya Hospitali ya Karibu Dola 900,000 Baada ya Kifo Chake

    Kifo cha mwigizaji maarufu Chadwick Boseman mwaka 2020 kiliwashtua mamilioni ya mashabiki duniani kote. Boseman, aliyefahamika zaidi kwa nafasi yake ya T'Challa katika filamu ya Black Panther, alikuwa akipambana kwa siri na saratani ya utumbo mpana (colon cancer) huku akiendelea kufanya kazi...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamume akamatwa baada ya kuvaa kama 'Grim Reaper' (Malaika wa Mauti) na kusimama juu ya paa la hospitali na kuwakodolea macho wagonjwa

    Jamaa mmoja mwenye umri wa miaka 26 anayeitwa Leon Gillespie alikamatwa kwa kuvaa vazi la 'Grim Reaper' na kusimama kwenye paa la Hospitali ya Ysbyty Glan Clwyd huko Wales. Baada ya mahojiano likubali mashtaka mahakamani na kupigwa faini ya pauni 200 (£200) na mahakama ya Llandudno. Tukio hilo...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya makongamano na shughuli za ibada Tanganyika Peaks–Kawe, nani anawajibika kwa usafi wa mazingira?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa). Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
  15. JamiiForums Tanzania Tiba za kihindi (ayurvedic) na za asili za Tanzania malipo ni baada ya kupokea mzigo

    Hernia powder;shs 40,000 dozi Siku 7 ni dawa ya Asili inatibu tatizo la ngiri na uvimbe, Korodani kushuka na kuingia ndani,maumivu ya Korodani, ume kulegea au korodani kuvimba, homoni msawazo shs 40,000 dozi siku 28 ni dawa bora ya kutibu magonjwa yote ya uzazi -Ugumba, Pid, chango la...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume kwenye kurudisha fadhila wako vizuri

    MEN ARE SIMPLE, unamsaidia leo 50k baada ya miaka kumi unashangaa anakupigia simu akulipe fadhira karibia mara 50 yake, unamwambia NO ila ana insist.
  17. JamiiForums Tanzania Haki uleta amani pale Palipo na Amani Haki inapatikana Ukiona mwana Siasa anatanguliza Amani baada ya HAKI huyo ni Tapeli

    Palipo na Haki amani hipo watu wanaotaja Amani huku neno HAKI kwenye vinywa vyao hao ni matapeli wanatumia neno amani kwa maslahi yao...
  18. JamiiForums Tanzania Simba wana akili nyingi sana. Baada ya usajili kubuma wameamua kujivunja

    Kwakifupi si Moo wala Magori, wote wanaogopa sana kipigo cha kihistoria watakachopata tarehe 12/08/2026 hivyo wameona watengeneze mgogoro ili ionekane Yanga kaifumua Simba magoli 15 - 0 kipindi Simba haijakaa sawa.
  19. JamiiForums Tanzania MAISHA BAADA YA KESI NIMEFIRISIKA YAMEKUWA MAGUMU SANA

    HAbari ndugu zangu nahisi kuchanganyikiwa jumatano tarehe 29 nilihukumiwa faini na kifungo cha nje miez 4 kufanya usafi pugu kata, kwa sasa maisha yamekuwa magumu kesi imenifirisi mtoto karudishwa shule sina pakushika sina msaada kila siku saa 1 mpka saa 4 kufanya usafi familia iko hoi naombeni...
  20. JamiiForums Tanzania HAKI YA KULIPWA FIDIA BAADA YA KUSHINDA KESI

    Habari ndugu zangu wanajamii forum, Nimekuja huku kuomba kujengewa uwezo na wataalam wetu mliopo katika jukwaa hili la Sheria. Mwaka juzi nilikuja na post yangu kuomba msaada baada ya kufukuzwa kazi serikalini Kwa zengwe la kutengenezwa. Ninashukuru Kwa yote, mambo yalienda sawa nikaja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…