Utangulizi
Katika kipindi hiki cha kisiasa, ni muhimu sana kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa makini na maamuzi yake, hasa katika kumchagua Nchimbi kuwa Makamu wa Rais kuelekea mwaka 2030.
Hatari hii inaonekana wazi kwa sababu inawezekana kwamba tunajenga msingi wa Rais wa mwaka 2030 hadi...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024.
Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26.
Pakua Samia App kupitia...
awamuawamu ya sita
barabara
barabara za lami
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
kutoka
lami
mikoa
mtandao
mtandao wa barabara
rais
rais dkt. samia
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
serikali
suluhu
urefu
wilaya
Rais Mwinyi wa Zanzibar ana ulinzi wenye madoido na wa aina yake. Amenikumbusha enzi ya awamu ya tano chini ya hayati John Pombe Magufuli. Hongera sana Rais Mwinyi!
Wakuu salaam,
Nadhani sasa ifike mahali sisi wananchi tuache kudanganywa kwa ahadi hewa. Tumesha kuwa watu wazima sasa, sio watoto.
Huu mradi sote tulishuhudia utiaji saini wake na Mh. Mchengerwa mwaka jana, mwezi Oktoba, na kuahidi utekelezaji wake ufanyike mara moja.
Naomba kuuliza, ni...
Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu.
Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
Kwa kuwa sasa ni dhahiri maridhiano yanalipa, yameleta utangamano wa kitaifa.
Nashauri Rais Samia aandae maridhiano awamu ya pili ambayo itagusa mambo makubwa makubwa ya kisiasa, ikiwamo mabadiliko ya sheria mbalimbali. Mchakato huo uhusishe vyama vyote.
Tumpe ushirikiano ilo afanikishe hilo
Kwa niliyosikia akisema Erick Kabendera, halafu unasikia mtu anabeza maridhiano na kuyaita upuuzi. Taifa lote tusimame na kumpuuza kwa nguvu zote. Kama nchi, tumepiga hatua kubwa kutoka katika hali ile.
Tuwapongeze Mama Samia na Mbowe.
Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
Na huo ndiyo ukweli. Chadema ya sasa imechanganya Chadema sanaa na Chadema wazalendo. Hizi Chadema zilikuwa pamoja.
Mbowe ambaye ni kiongozi wa Chadema sanaa ametengana na Lissu ambaye ni kiongozi wa Chadema wazalendo. Hawa watu walikuwa pamoja na sisi wafuasi wa kila mmoja tulikuwa pamoja...
Kwa mara hii tumepishana njiani kitofauti kabisa. Sisi miaka ya nyuma tulimhitaji Mbowe kuwa mwenyekiti wa Chadema taifa kwenye kila chaguzi na CCM walikuwa wanawahitaji zaidi wapinzani wake kwenye kinyang'anyiro hicho kuwa wenyeviti. Awamu hii hali ni tofauti kabisa.
Sisi awamu hii kama...
Nilipata maono wakati ule, tarehe 2 ya mwenzi October 2020, niliandika bandiko lililokosa mashiko hapa.
Nimeona tena sehemu kubwa ya maono yale, upande dhaifu wa pili kupata pigo kubwa mapema kabla ya Ulawulo olutsha.
Kwasasa majina ya wanasiasa ni makubwa sana kuliko jina la jamhuri,Chama cha siasa ni taasisi kubwa kuliko jamhuri matokeo yake tunatibu hisia za wanasiasa na tamaa zao kuliko matakwa ya jamhuri!ni kwanini tumeamua kuidogosha jamhuri na kukuza majina ya wanasiasa na vyama vyao!!?
Ni nani tumpe...
JamiiCheck imefuatilia hotuba iliyotolewa na Stephen Wasira akiwa kwenye mkutano wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa mkoani Mwanza tarehe 26-11-2024 ambapo mbali na mambo mengine alisema kuwa Serikali katika awamu hii sita ilinunua magari ya wagonjwa 528, lakini pia CHADEMA ilijipanga...
👉Kwa mujibu ya awamu ya kwanza naomba mnipe majibu Hali ilikuwa vipi kati ya wafanyabiashara na wafanyakazi watu wa enzi za ujamaa mtuambie
👉Awamu ya pili wafanyabiashara walikua juu kutokana na Ile sera ya "soko huria" mambo kadhaa wa kadha yalikuwa ni ruksa kwa wafanyakazi hali ilikua ngumu...
Nchi hii haijawahi kuwa nyepesi kwenye uchumi lakini kuna awamu kadhaa mambo yanakuwa nafuu
Kipindi cha kikwete kulikuwa na kampuni kibao, ajira watu wanachagua, mzunguko mkubwa wa pesa, n.k. vijana wengi walishika pesa.
Awamu ya Magufuli tunaijua kwamba vyuma vilikaza, ni special case.
hii...
Niaje waungwana
Japo mimi sio mchambuzi mzuri wa mambo ya siasa, lakini nina imani kuwa wengi mtakubaliana na mimi kwamba utawala wa awamu ya nne na ya sita vinafanana sana, sema tofauti ipo kwenye jinsia ambapo awamu ya sita wanawake wameongezeka zaidi katika uongozi kuliko ilivyokuwa awamu ya...
I will be short
Watu tuna hustle sana kupush mambo yetu huko serikalini. Mambo ya viongozi ni chap sisi wengine ni hustle ya miezi kadhaa mambo mambo magumu sana.
Tukutane 2025, Watanzania kama ni mungu anatupiga pigo takatifu.
Hii serikali ya sasa sio yetu.
Ie 2025 mungu atuepushe na...
Siku za karibuni kwa wafuatiliaji wa mambo ya ndani ya Nchi na Siasa za Bongo kumekuwa na kasumba ambayo haijazoeleka ya mawaziri kufungua au kukagua miradi isiyo ya sekta anayoisimamia. Ivi karibuni
1. Deo Ndejembi, Waziri wa Ardhi alionekana Msalala Kahama kwenye miradi ya shule iliyopo...
Baada ya Dar kurejeshewa hadhi yake ya jiji, Je kuna haja ya Dodoma kutenguliwa hadhi haki ya jiji na kurejeshwa kuwa manisipaa tu?
Ukitizama vizuri Dodoma haina tofauti kubwa na Manisipaa ya Morogoro ambayo sio jiji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.