awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu Serikali ya awamu ya sita?

    Nawaita hapa wote. Wadau wa CCM , wadau wa vyama vya upinzani, wasio na vyama na watu wengine. Maneno mtaani ni mengi kuhusu Serikali ya awamu ya sita. Yanasemwa mengi kuihusu ikiwemo ufisadi unaofanywa na Rais , familia yake pamoja na watu wa karibu yake. Lakini haya husemwa kila awamu...
  2. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  3. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania mafanikio awamu 6-UG is now richer than us?

    haijawahi kutokea tangia kuanzishwa kwa hizi nchi zinazoitwa za afrika ya mashariki kwamba waganda wakawa juu ya tanzagiza kiuchumi, siku zote ilikuwa kenya inaongoza halafu tanzagiza and then ug, sasa leo hii per capital income ya ug ni kubwa klk tanzagiza, usisahahu kwamba ug ni landlocked...
  4. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini serikali ya awamu ya sita haisikilizi kabisa maoni ya wananchi?

    Sijajua kuhusu awamu ya kwanza lakini awamu ya pili ya rais Mwinyi, awamu ya tatu ya Mkapa na awamu ya nne ya Jakaya Kikwete ziliundwa tume za kutosha ili kujibu na kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya kijamii na mengine kuyaondoa katika utekelezaji ikiwa jamii ilionekana kutoyaunga mkono...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu

    Chalamila na Msando ni muda wenu wa kuchunga ndimi zenu, kuna uwezekano mkubwa mkaingia mikono ya Raia wenye hasira kali
  6. mangikule

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunajua ni kwanini Samia anasisitiza awamu nyingine kwa tofauti na wenzake?

    Wadau Ninaomba tujadiliane hapa! Mama SSH aliingia awamu moja na Magu na akatumikia kipindi cha kwanza kama makamu wa rais na kipindi cha pili (miezi minne) kama rais. Jumla ni vipindi viwili! Tumejifunza hata kama Magu asingefariki kiutamaduni wa Chama huyu hakutakiwa kurudi kugombea! Tulianza...
  7. tinWyn

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Basi la Shule – Malipo ya Awamu 🚍 TABORA

    Habari, Tunatafuta mtu au kampuni inayoweza kutupatia school bus kwa mpango wa malipo ya awali (down payment) na kisha kumalizia kulipia kwa awamu. Shule ipo Tabora na basi litakuwa kwa matumizi ya kusafirisha wanafunzi. Kama una au unajua kampuni/mtu anayeweza kutoa huduma hii, tafadhali...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumsikiliza na kumwelewa Polepole wa Sasa tuwarejee Mapolepole wa awamu mbili zilizopita

    Kwa siye waislamu neno "Alhamdulillah ni muhimu sana pale unapotaka kuwa ni mwenye kushukuru Nami niseme Alhamdulillah kwa Mungu wetu kutupatia Polepole huyu wa Sasa anayepigana barabara kwa jasho jingi na haonekani kutetea mkate wake Bali taifa lake na sote tunaona kwa macho ya kawaida...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna mtu alikuja kuniambia kuwa kiongozi wa awamu ya 5 atakufa

    Leo kwenye muendelezo wa mawasilisho yake huko mitandaoni Ndugu Humphrey Polepole amesema kuwa wakati wanakaribia uchaguzi mkuu 2020 kwenye kazi yake ya kusikiliza wananchi kuna bwana mmoja alimfuata akamwambia kuwa kuna watu wanapanga kumuua Rais wa wakati huo! Anasema alipeleka ujumbe huo kwa...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi : Awamu hii Mahakama yenyewe imekubali Shauri la Mch Dkt Malisa dhizi ya CCM, hili tu la kukubali kusikiliza Kesi, Haliwatii Aibu?

    Tuachilie Mbali Hukumu itakayotolewa ambayo huenda Ikatolewa Kwa Maelekezo!! Hili tu la Jopo la Majaji Watatu kuona Mch Dkt Malisa ana Hoja, Je halitoshi Kwa nyie Majaji wasajili wa VYAMA vya SIASA kuishurutisha CCM kama ambavyo mnafanya Kwa CHADEMA??. NYIE WAZEE HAMNA AIBU WALA HAYA USONI...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwakibete ajinadi kutetea kiti cha ubunge kwa awamu nyingine

    Mbunge Atupele Fredy Mwakibete na watia nia wengine wameanza Kampeni za Kujitambulisha na Kujinadi mbele ya Wanachama wa Chama cha Mapinduzi katika Kata Mbalimbali Jimboni Busokelo. Akijinadi Mbele ya Wanachama wa Kata za Lwangwa na Kabula,Mwakibete amesema kuwa maendeleo yaliyofanyika Jimboni...
  12. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Idris Abdul Wakil alitawala kwa awamu moja tu, akakaa pembeni. Historia kujirudia?

    Oktoba 25 mwaka 1990 Idris Abdul Wakil alimaliza majukumu yake kama Rais wa awamu ya 4 katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Ilikuwa ni hali ya kushangaza ila Abdul Wakil akaamua kukaa zake kando. Alikuwa na nafasi ya kumalizia mitano mingine ila haikuwezekana. Historia ni mwalimu mzuri na...
  13. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Wewe unayenihoji mie sikusema wakati wa awamu ya 5, wewe ulisema awamu ipi?

    Balozi Humphrey Polepole awacharukia wanaohoji kwanini anayoyasema sasa ikiwemo masuala ya utekaji hakuyasema awamu ya tano, Je wao wamewahi kusema kwenye awamu ipi? Ametolea mifano kadhaa ambayo chama cha mapinduzi kipindi cha John Magufuli walikemea utekaji na mauwaji ikiwemo yaliyotokea...
  14. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Je, Samia Alichaguliwa kwa Kura za Maoni Kugombea Awamu Hii?

    Ni muhimu kufahamu kwamba Rais Samia Suluhu Hassan hakuingia madarakani kwa kuchaguliwa kupitia uchaguzi mkuu, bali alirithi madaraka baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli mwaka 2021, ili kumalizia kipindi cha awamu ya tano ya uongozi. Hadi sasa, bado tupo katika awamu ya tano. Awamu ya...
  15. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Awamu hii tumewakamata na hamchomoki. Mwajifanya mwajua kupanga pangeni na hii

    Oktober imesimama! Oktoba ya Mama! Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kiroho , Utawala wa awamu ya tano umekatiliwa naomba wataalamu wengine wa kiroho mkae chini na atafutwe Mgombea anayekubalika.

    Kiroho Rais , Samia hatoweza kuwa Rais wa awamu ya sita. Ikiwa kuna wataalamu wa kiroho wamshauri mapema . Na pia yalifanyika makosa makubwa kumteua kuwa Makamu wa Rais kwakuwa hatima yake haikuwa ya kitaifa bali ya eneo dogo Kama Jimbo Ndo ufanisi wake ambao umeacha alama ni ule wa Bunge la...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Awamu Hii imetengeneza Chuki iliyozaa Kisasi ambayo Sijui ni nani atarejesha Umoja Kwa Watanzania !!

    Fikiria Familia za Akina Soka ,Mdude , Sativa Fikiria Familia za Mzee Kibao alouliwa na kutobolewa macho Fikiria Mgombea Uenyekiti CHADEMA alipigwa Risasi na Kufa papopapo mbele ya familia ake. Fikiria Shambulio la mauaji lilofeli dhidi ya Padre KITIMA. Fikiria LISSU kufunguliwa kesi ya...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri cha mwisho kwa Awamu ya Sita

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Julai 14, ameongoza kikao cha mwisho cha Baraza la Mawaziri cha Serikali ya Awamu ya Sita kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Dk Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim...
  19. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je yaliyotekea awamu ya tano na awamu ya sita ya yapi hasa yamebadilika kuna uwezekano mkubwa Mzee kijana kaambiwa inatosha sasa kama super black.!

    Tusimpongeze MTU wala kumbeza tuache muda uongee Ila kunauwezekano Mzee Kijana na super black wakawa wamewekwa pembeni bila wao kupenda Kwakuwa nikiuchambua uongozi wa awamu ya tano na sita sioni Kama umetafautina sana. Kwa kuangila mambo Kama "Good governance " na n.k.
  20. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Awamu ya pili vita israel na Iran inanukia

    Ndani ya wiki moja baada ya kusitisha mapigano, israel imepokea zaidi ya tani 800 za silaha toka marekani, ujerumani na nchi za magharibi,bila shaka na makombora ya udunguaji ya iron dome Pakiwa na taarifa kwamba awamu ya pili ya mashambulizi itakua mzito zaidi na kuenea zaidi ndani ya iran...
Back
Top Bottom