awamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni wazi wananchi wa Zambia wameamua kuirejesha serikali yao madaraka kwa awamu ya pili, hakuna haja ya waliokataliwa kulaumu au kusingizia waTanzania.

    Kiongozi wa upinzani Zambia mh. Brian Muntayala Mundubile, ni vizuri akawa mtulivu na akaheshimu demokrasia na maamuzi huru ya wananchi wa jamuhuri ya Zambia kwa kumchagua tena Rais Hakainde Hichilema. Hakuna haja ya kusingizia waTanzania, wakati wananchi wa Zambia kwa uhuru, haki na utashi wao...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Dr.Samia S. Hassan kuhitimisha awamu yake ya pili ya Urais 2030, unadhani kuna mbadala wa mrithi wake zaidi ya Dr.Emmanuel J. Nchimbi?

    Toa maoni yako kwa uhuru na amani, Na Mwenyezi Mungu akubariki sana 🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  3. JamiiForums Tanzania Nashauri Jeshi la Wananchi Lilinde Uhai wa Wafuatao Mpaka Awamu Ijayo

    1. Ndugu Mafwele 2. Ndugu Muliro 3. Ndugu Abdul Nalionba sana jeshi letu liwalinde hawa raia kwa wivu mkubwa, ili awamu ijayo watusaidie kuwatafuta ndugu zetu waliopotea. Nawasilisha.
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Utaratibu wa penalty kwa kila awamu ya ada ST FRANCIS UNIVERSITY COLLEGE OF HEALTH AND ALLIED SCIENCES unaumiza

    Ndugu wanajamii, Naomba kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu uliowekwa na chuo chetu wa kutoza penalty ya shilingi 50,000 kwa kila awamu ya ada inayochelewa kulipwa. Ada ya chuo ni Shilingi milioni 4 kwa mwaka, ambayo hulipwa kwa awamu nne za Shilingi milioni 1 kila awamu. Kwa mujibu...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa nini jeshi la mtandaoni la JPM waliacha kusapoti awamu ya sita ya mama?

    Kusema ukweli enzi za JPM alikuwa na watu mtandaoni haswa. Kama hapa JF alikuwa na Kijiji kweli cha watu, wanaanzisha nyuzi mpya kila dakika, wanashambulia nyuzi kujibu mashambulizi, wanaripoti accounts au nyuzi zifungiwe au ziondolewe na wanatishia watu ikibidi. Jina la buku saba lilianzia...
  6. JamiiForums Tanzania Awamu ya sita ndo inaongoza kua na viongozi mzigo kwa wananchi kuzidi awamu zote. Tangia nchi imepata uhuru

    Awamu zote hiii awamu kiboko Ina viongozi mzigo kuanzia kitongoji mpka huko juu kwenye mihimili wana uwezo mdogo sana IQ na EQ zao kwakweli zinatia mashaka makubwa sana. Jamani hata kama mlijichagua bila kuchanguliwa na wananchi ndo...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya awamu ya sita, Imefeli Kusimamia Sekta ya Madini Chunya na Songwe

    Kwa masikitiko makubwa, wananchi na wachimbaji wadogo wa Wilaya za Chunya na Songwe wameendelea kulalamikia hali mbaya ya utendaji ndani ya ofisi za Tume ya Madini, ambapo vitendo vya rushwa, upendeleo na matumizi mabaya ya madaraka vinaonekana kuwa sehemu ya kawaida ya utendaji wa kila siku...
  8. JamiiForums Tanzania Awamu ya 6 na Jiji la Dar - barabara kwishney!

    Kwa sasa hivi Jiji la Dar halina mwenyewe. Awamu ya 6 iko Dodoma, Dar itajiju. Katikati ya Jiji kuna mahandaki kama tuko Bulyanhulu machimboni. Mama anatoa Fedha lakini sijui zinaliwa na nani?
  9. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Awamu ya 5 kuna Kiongozi mkosoaji alishambuliwa ilionekane ni Serikali

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesayasema hayo Mei 23, 2026 wakati akizungumza na wananchi wa mkoa wa Iringa, katika viwanja vya kichangani. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega: Serikali imejenga zaidi ya Kilometa 1,495.45 za Barabara kiwango cha lami na madaraja makubwa 18 ndani ya Miaka 5

    Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanikiwa kujenga kilometa 1,495.45 za barabara kwa kiwango cha lami pamoja na madaraja makubwa 18 ndani ya kipindi cha miaka mitano, hatua iliyoelezwa kuwa mafanikio makubwa katika sekta ya miundombinu nchini...
  11. JamiiForums Tanzania Silaha itakayotumika na Iran awamu hii ni kukata nyaya za Internet zilizopita chini ya bahari…

    Iran is threatening undersea cables. The world’s ‘digital chokepoints’ have never been more vulnerable Ngoma inogile waache wajichanganye tena safari hii hata pesa kwenye ATM hawatatoa . Hizi zimepita pale Hormz ,wasipokata watalipisha tozo kama Misri lakini Iran wao waliacha free lakini dunia...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa nini kipimo cha maendeleo Tanzania kianzie awamu ya Nne?

    "Unapozungumzia maendeleo ya nchi iliyopita kwenye mabadiliko makubwa ya kimfumo kama Tanzania, ni rahisi kuanguka kwenye mtego wa kupima mafanikio kwa kutumia mstari mmoja ulionyooka tangu mwaka 1961. Hata hivyo, kiuhalisia, maendeleo hayaji kwenye ombwe. Ili kutoa hukumu ya haki na ya...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight

    Serikali awamu ya sita yawezesha NIT kuanza Mafunzo ya Urubani, Wanafunzi Wafanya Solo Flight Serikali kupitia National Institute of Transport (NIT) imeanza rasmi kutoa mafunzo ya urubani tangu Julai 2025 baada ya chuo kukidhi vigezo vya Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) na kupokea ndege...
  14. JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Baraza la Watalamu wa Radiografia (MPIRC) kuchelewesha leseni zetu

    "Kwa baraza la watalamu waalamu wa radiografia (MPIRC) tunaomba ufafanuzi juu ya ucheleweshaji wa utoaji wa leseni za awamu ya pili kwa mwaka huu wa 2026. Tulio wengi tumekamilisha taratibu zote za maombi na malipo kupitia mfumo wa HPRS (Tanzania Health Practitioner Registration System), lakini...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Moja ya kitu nimefurahia awamu hii ni Mama kuwakumbuka wastaafu

    Kiwango cha chini cha Pensheni kimeongezeka kutoka Tsh 100,000 hadi Tsh 250,000 kwa mwezi
  17. Y

    JamiiForums Tanzania Yohana Msita: TASAF awamu ya nne iko njiani

    Mtakumbuka Serikali ya Tanzania kupitia TASAF III Shilingi bilioni 43.5 zilitolewa moja kwa moja kwa kaya maskini kama ruzuku na malipo ya walengwa. Faida Kuu za TASAF kwa Wananchi ni Kupunguza umasikini wa kipato Kaya maskini hupokea ruzuku ya fedha ili kukidhi mahitaji ya msingi kama...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Wanatukana ili kuhalalisha mikataba yao ya kufugwa, walimtukana sana Rais wa awamu ya 5 alipokufa wakahamia kwa Rais Samia

    'Ndio maana wao huwa wanahama tu na awamu. Awamu ya nne walikuwa wanatukana Rais wa awamu ya nne. Alikuwa hawajibu, anaendelea na kazi yake. Alivyomaliza tu, wakahama, wakahamia kwa Rais wa awamu ya tano. Bahati nzuri teknolojia inatunza: hakuna Rais katika rekodi ya nchi yetu aliyetukanwa kama...
  19. JamiiForums Tanzania Awamu ya sita imevunja record ya kufuturisha inaonekana ni Sehemu ya ilani ya CCM

    Hello. Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha. Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama. Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mradi mpya bongo awamu hii ambao haujapewa jina la Samia?

    Leo nimesikia tangazo la Samia Land clinic, mradi kwa ajili kutatua matatizo ya ardhi. Kuna Samia cup, Samia Stadium, Samia SGR Station, Samia this Samia that... Kuna mradi mpya utaanzishwa usipiwe jina lake awamu hii? Vipi kuhusu Samia Airport?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…