atakuwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa utaratibu wa CCM baada ya samia,2030 huenda mgombea atakuwa Mkristo mkatoliki?

    Kama jibu ndio January Makamba na wenzakewote wenye imani kama yake itawapasa kusubiri mpaka 2040,Makamba atakuwa mzee wa miaka 65+, Watoto wa 2000 watakuwa na umri kama alionao yeye kwa sas...,kutakuwa na wanasiasa wapya kabisa wenye confidence na ushawishi kulIko yeye,dalili zimeanza...
  2. PreGE2025 Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atashinda kwa 95%, Samia atakuwa nafasi ya nne.

    Kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, na Tundu lissu akawa mgombea urais, Lissu atashinda kwa 95%. Bitozo atashika nafasi ya nne. Ushindi wa Urais wa Tundu Lissu ni UHAKIKA kama uchaguzi ukiwa huru na wa haki, Tundu Lissu atachukua nafasi ya kwanza kwa 95%. Bitozo ataambulia 1%. Watu wengi mno...
  3. Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!

    Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka...
  4. F

    GE2015 Je ni kweli mgombea Urais CCM 2015 alikuwa Amina Ally ila kwa kutamka Lowassa atakuwa Makamu wake akagauza upepo?

    Nipo hapa Dodoma mzee mmoja wa Makamo ndani ya chama kateta nami jambo hili. Mzee anadai Balozi Amina Ally aliteleza wakati wa kuomba kura huku akijua wazi jina la Lowassa limekatwa na kudai atamteua kuwa mgombea mwenza. Kauli yake hiyo kilimkera mwenye Chama chake kipindi hicho na bahati...
  5. Uchambuzi:Sifa za wanaotajwa kuwa mmoja atakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa.

    Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa. 1.Paul Kimiti 2.Abdulah Bulembo 3.Mizengo Pinda 4.Dr Bashiru Ally Kakurwa 5.Yusuph Makamba 6.Frederick Sumaye 7..Dr Asharose Migiro 8.Anna Makinda 9.Steven...
  6. Endapo Mbowe atakuwa mwenyekiti kwa mara nyingine, hii ndio itakuwa safu yake ya uongozi

    Hii kwa sasa ndio cream ya chadema ya Mbowe. Awa ndio tunatakiwa kuwaamini kuwakabidhi dola na hazina ya taifa. Tumepigwa parefu!
  7. PreGE2025 Ni dhahiri Lissu akishindwa Uenyekiti hawezi kubaki CHADEMA. Akibaki naye atakuwa Walewale tu

    Habari za Leo. Hakuna kitakachomfanya Lisu aendelee kubaki CHADEMA. Lisu anagombea uenyekiti ili aisafishe CHADEMA Hasa kwenye Safu ya juu ya uongozi ambayo anaishutumu imechafuka kwa Rushwa na matendo ya kifisadi. Ikitokea Lisu amepigwa chini. Na uongozi ule anaosema umechafuka kwa Rushwa...
  8. Kigwangwala: Mbowe asikubali kushindwa na Lissu atakuwa fala kumuachia chama

    Huu ndio ushauri wa Kigwangwala kwa Mbowe.
  9. Mbowe hata akishinda atakuwa kama ameshindwa tu.

    Bila shaka umewahi sikia kuhusu msemo Pyrrhic Victory. Msemo huo unamaanisha ushindi uliopatikana kwa gharama kubwa kiasi kwamba umekuwa sawa na kushindwa. Miaka kama 300 kabla ya Yesu mfalme mmoja wa ufalme mdogo wa Kigiriki aliyeitwa Pyrrhus alipigana na Waroma. Alishinda vita ila alipoteza...
  10. Ukiona kiongozi anajisifia mwenyewe,kuwa yeye ndio amekijenga CHADEMA kuliko wengine atakuwa anashida fulani.

    Jamani napata shida sana,kusikia Mbowe anasema yeye ndio amekijenga CHAMA, eti kwa fedha, mawazo,nk, nijuacho mm kiongozi mzuri na mwenye hekima hawezi kusema yeye ndio umekikuza CHAMA na kukijenga CHAMA ni tasisi, ambayo inajengwa na watu mbalilmbali ndani ya nchi na nje, watu wanatoa michango...
  11. S

    Endapo Lisu atakuwa Mwenyekiti, Makamu mwenyekiti Heche na Katibu Mkuu awe Lema. Patachimbika!!

    Tutashuhidia maccm yakiomba uraia nchi jirani kukimbia moto wa chadema. Mungu ibariki chadema.
  12. K

    Tetesi: Tundu Lissu atakuwa bilionea TSh miaka miwili ijayo

    Tindu Lissu na zile kampuni za Tigo ya zamani na wamiliki ni muda tu kabla ya kukubaliana kiasi gani wamlipe. Mjadala unao endelea sasa ni mgawanyo kati ya Lissu na mawakili wake kwa mara nyingi mawakili wanataka 30% lakini Lissu amekazia hapo wakati wengine wakitaka 30% pamoja na gharama za...
  13. PreGE2025 Rais Samia atakuwa mtendaji mzuri zaidi akishinda uchaguzi 2025

    Kila nikimtazama mh Rais naona hafurahishwi na mambo ya ovyo yanayoyofanywa na watendaji wake. Nadhani anakwepa mgawanyiko katika Chama chake maana anataka ajenge umoja kuelekea uchaguzi mkuu ili aweze kushinda yeye na Chama chake Mh Rais ni mtu wa haki. Na hapa anakuwa anawazoom tu Baada ya...
  14. Hivi Tume ya gorofa la Changombe mnakumbuka? Mshawahi sikia majibu. Nasubiria engn wa kariakoo atakuwa nani

    Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu. Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume? Je wajua engn alietajwa kusimamia lile ghorofa n mmoja wa mabosi wakubwa. Soma Pia: Live Updates Kuporomoka kwa...
  15. Nani atakuwa Rais kama Trump akienda jela?

    Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani. Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela? Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi? Wataalam msaada hapo. Natanguliza shukrani
  16. Dube atakuwa mchezaji wa kwanza kufunga derby ya keshokutwa

    Namwona Dube katika ubora wake mpaka sasa Dube atakuwa mchezaji wa kwanza kufunga goli katika Derby ya keshokutwa All d best mwamba...
  17. Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

    Mzee kikwete akiulizwa kuhusu Mtazamo wake wa Uchaguzi wa Mwaka huu na nafasi ya CCM amesema: "Mimi naamini chama kipo kwenye mazingira mazuri, lakini watu wanasema Politics is local, kuelekea Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa na uchaguzi wa Mkuu mwakani sina hofu na CCM, itaendelea kushinda na...
  18. Yanga akizifunga timu zote zinazofadhiliwa na GSM atakuwa na point 36 kibindoni,Yanga Bingwa

    GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga. Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata. Wanayo familia kubwa sana, nusu ya...
  19. Huyu Member Anayejiita Chief Godlove ni mzima kweli au atakuwa na tatizo?

    Kila ninapokuwa nikiingia hapa Jukwaani ni lazima nitakutana na Uzi wa huyu jamaa Anayejiita Chief Godlove Nimekuwa nikilazimika kufungua nyuzi zake kwasababu nimekuwa nikiona mada zake zimekaa Kishambenga hasa kushambulia wanaume ambao yeye Kwa tafsiri yake amekuwa akiwaita "MASIKINI" Huyu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…