"Kabla ya kwenda huko tathmini kidogo dhamiri yako, lakini dhamiri inaweza kuwa potofu isipokuwa na uelewa wa kutosha. Tuachane na dhamiri potofu, dhamiri yako itakuwaje safi na kamili? Kwanza muwe na uelewa wa kutosha kwa hicho unachoenda kufanya, Usikilize dhamiri yako kuhusu Ukweli na ile...
Mara kwa mara alipokuwa akisali pale Lushoto Cathedral alipomaliza mahubiri alikuwa akiomba Mungu amlinde na kumponya Tundu Lissu.
Pumzika kwa amani mtumishi wa Mungu. Haukupenda dhuluma na kujipendekeza
Askofu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Shinyanga, Johnson Chinyong'ole, amewataka wanawake kutambua kuwa kura zao ni turufu ya ushindi kwa vyama vya siasa, hivyo wana nafasi ya kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo kwa kipindi cha miaka mitano.
Askofu Chinyong'ole ameyasema hayo...
Alikuwepo Mchungaji Chiwanga, Mchungaji Kusupa, na sasa mchungaji Peter Msigwa anayebadili vyama kama mashati.
Hatimaye kuna Askofu Gwajima, kiboko ya misukule.
Tuje kwa Askofu Bagonza wa Karagwe, mwandishi wa maneno ya hekima na busara, ambaye anapenda ote wamsime.
Askofu Bagonza kwa nini...
Mababa Askofu wamewaongoza waumini kusali Novena. Kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie amani na haki katika uchaguzi. Lakini Jambo Moja naomba kuwauliza mababa Askofu. Je
1. Uchaguzi wa October utakuwa wa haki?- Ifahimike kuwa uchaguzi ni mchakato na siyo tukio. Je mpaka hivi sasa mchakato ni wa...
Akizungumza leo Agosti 25,2025 kwa njia ya mtandao mbunge wa zamani wa Kawe Askofu Josephat Gwajima Amesema, Wananchi wanapodai haki zao kwa njia ya kawaida wakanyimwa; wataidai kwa njia isiyo ya kawaida.
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Hellow!
Ushauri huu ni mzuri, Hawa wastaafu wa Tra kwa mfano, wakistaafu, wafungue pia biashara zile zile walizokuwa wakiwabana wenzao walipe, nao iwahusu.
Ameshauri wastaafu serikalini ifike mahali wakubali kustaafu, Serikali ina washauri wake, wastaafu kujileta mbele ya viongozi wetu kwa gia...
Kuna Askofu ame shauri kwamba Kiongozi akistaafu, basi astaafu kikweli kweli, sio mguu moja Ndani , mwingine nje, Kwani huko ninkulitakia Taifa shida au migogoro.
Askofu Bangonza kwenye waraka wake ameeleza mambo mengi sana kuhusu CCM kugeuza nyundo alama ya chama chao kuwagonga wasiokubaliana nao.
Lakini kamalizia na Aya aliyoijaza mambo yanayotaka TAFAKURI ya kina. Askofu Bagonza Kaandika hivi:
"Wamesahau Mungu wetu haongeki na hapokei maelekezo. Kwake...
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Jovitus Mwijage amesema amani haiwezi kuwepo katika nchi mambo yanaendeshwa kwa ujanja ujanja, usiri na uongo.
Askofu Mwijage amesema kiongozi hapaswi kutumia katiba kwa vipengele tu vinavyomlinda yeye huku vingine vikitupwa mbali bali katiba inapaswa kufuatwa...
Wakuu,
Kuna haja ya kumlinda Askofu Bagonza kwa wivu mkubwa sana.
Jana kufuatia mwenendo wa Kesi ya Lissu, Askofu Bagonza ameshusha waraka mwingine kupitia ukurasa wake wa Facebook. Ameandika yafuatayo:
MAHAKAMA “IMETUPINDUA”: Tuishtaki wapi?
Bila kuathiri mwenendo wowote wa kesi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.
Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au...
1. Nimezunguka majimbo karibu yote Tanganyika naangalia umati uliokuwa nyuma yangu. Watawapigia kura CCM? / watakwenda kupiga kura
2. Wafuasi wa madhehebu mbali mbali watawapigia kura CCM? watakwenda kupiga kura?
3. Wapenda haki watawapigia kura CCM?/ watakwenda kupiga kura?
4. Mwachieni Lisu
5...
Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini.
Baada ya kuona huungwi mkono na Makanisa kwa kujifanya una Akili (wakati huna) ukatafuta Kanisa lililo na Ushawishi na Kubwa la...
Salaam!
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Hili ni swali lingine gumu ameliuliza kwa chama chake CCM Yeye akiwa mnec,
Ameuliza kuwa ikiwa Tundu Lissu ndiye angekuwa Rais na Mwenyekiti wa CHADEMA mwenye mamlaka ya kumteua Mwenyekiti wa...
Salaam!
Soma pia PreGE2025 - Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!
Swali Hilo hapo juu limeambatana na swali lingine kuwa, ikiwa unazo njia zingine za kushinda uchaguzi bila hayo makundi,( wizi wa kura),
Je utatawala vipi nchi ambayo imegawanyika?
Kwa ufupi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.