askofu

  1. TANZIA Askofu Gerald Mpango ambaye ni kaka wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango afariki dunia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefiwa na kaka yake Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Gerald Mpango. Askofu Gerald Mpango amefariki tarehe 19 Januari 2022 Jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango...
  2. Furaha Dominic: Askofu Gwajima ndiye kiongozi wa kundi linalomkwamisha Rais Samia

    Kwenye interview ya Furaha, amemchanachana Askofu Gwajima kwa kusema kuwa ni MNAFIKI na MUONGO. Kazungumzia vipi alivyowatapeli wananchi wa Kawe kwa kudai kuwa ndani ya siku 100 atawajengea wana Kawe Barabara na kuwapeleka Birmingham. Kwa kweli Gwajima amekuwa Muongo kwa siku nyingi sana...
  3. B

    Askofu Bagonza atoa somo la uraia, uvumilivu wa kusikiliza hoja kinzani ndiyo siasa yenyewe

    Mgongano wa mawazo ndiyo afya, nchi inapitia ktk tetemeko la kisiasa baada ya kifo cha Rais aliyekuwa anahudumu Askofu Bagonza atoa mawazo yake kuhusu masuala mbalimbali ya siasa na sayansi ya siasa. Spika au rais wote wana huru wa kutoa mawazo yao wakiwa katika nafsi iliyo nje ya taasisi ya...
  4. Askofu Mpemba amjibu RC Amos Makala kuhusu nchi zilizowahi kuuzwa....

    Askofu Mpemba hakutaka kukurupuka, aliingia huko huko alikoingia Makala wa CCM with facts. Ametaja nchi kadhaa kwa ukubwa, mwaka iliuzwa, kiasi, na Wanunuzi. Kwahio kwa hitimisho, tuna RC Kilaza saaana sana. Unaweza kufuatilia video hii.
  5. Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

    Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo Kazi iendelee
  6. Q

    Askofu Bagonza: Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge

    MAMA TUVUSHE, TUKUVUSHE Yawezekana tulikuwa na Bunge bila Spika. Tunakoelekea tunaweza kuwa na Spika bila bunge. Bila ushabiki wala uzembe, tuangalie yafuatayo kwa makini: 1. Ukubwa wa CCM si mtaji, ni hatari. Bila upinzani imara, CCM ni sawa na chatu aliyefugwa ndani chungu cha mfinyanzi...
  7. Afrika ilipata bahati ya kuzawadiwa Askofu mmoja -- Desmond Tutu

    Juni 11, 2010, katika Uwanja wa FNB maarufu “Soccer City", kulikuwa na ufunguzi wa Kombe la Dunia. Siku hiyo, Desmond Mpilo Tutu, alikuwa kwenye kiwango bora cha furaha. Kwa Kiingereza unaweza kusema “he was in a very good mood”. Tutu alikuwa amebakiza pungufu ya miezi minne atimize umri wa...
  8. W

    Askofu Gwajima: Spika Ndugai ni boss wangu lakini namshangaa sana, ajiuzulu haraka sana

    Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima amemshauri Spika wa Bunge, Job Ndugai ajiuzulu kutokana na mpasuko ambao amesema anauona Gwajima amesema anaona Ndugai anataka kuchonganisha wananchi na serikali kwa kauli yake ya kusema '2025 mkimuweka mwingine sawa' Aidha amesema suala la...
  9. Press conference ya Askofu Gwajima yapigwa stop 🛑

  10. Josephat Gwajima kuliamsha dude kesho saa 5 asubuhi

    Ameitisha mkutano na wanahabari muda huo
  11. K

    Askofu Bagonza: Tuna muhimili mmoja unaopakwa rangi

    Tuna mhimili mmoja. IKUBALIKE BILA MANUNGUNIKO. Asubuhi Wanaupaka rangi ya serikali. Mchana wanaubadili rangi unakuwa mahakama. Jioni unapakwa rangi ya bunge. Hakikisheni rangi imo ya kutosha kwenye makopo na wapakaji wawe sharp ili kuokoa muda. V Kuna kitu hakiko sawa.
  12. T

    Askofu Bagonza na kauli fikirishi na tata.

    "Kufafanua kauli si kubadili kauli" Hii imetokana na Spika Ndugai kumuomba msamaha Rais. Ndugai ameombaje msamaha ikiwa amesema waliosambaza wamepotosha. Je waliisambaza wameigiza sauti ya Ndugai?
  13. Jeneza la Askofu Desmond Tutu lichukukiwe kama somo kwa wanaopenda ufahari kwenye mazishi

    Naangalia matangazo mubashara ya mazishi ya shujaa wa kupambana na utawala wa ubaguzi wa rangiu, mtu aliyetumia Maisha yake yote kupigania haki za wananchi wake, Askofu Desmond Tutu, unaoonyeshwa kwenye vituo mbalimbali vya kimataifa vya TV, kama vile SABC, CNN, BBC, Sky News na Al Jazeera...
  14. Mwili wa Desmond Tutu kuchomwa Moto

    Kufuatia kifo cha Askofu Mkuu (Mstaafu) Desmond Tutu. Imefahamika mwili wake utachomwa moto na majivu yake kuhifadhiwa kwenye Kanisa Kuu (Cathedral) la St. George's, Capetown. Raha ya Daima umuangazie. NB: Tunaomba Prof Mkuu akatuwakilishe msibani ili akaelezee historia ya Askofu toka mwaka...
  15. Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki Duniani: Homilia ya Askofu Mkuu Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

    Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi, wa JImbo Kuu la Dar es Salaam, akitoa homilia Usuli Tarehe 17 Oktoba 2021, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam Mhasham Jude Thaddeus Ruwaichi aliongoza Ibada ya Misa takatifu kwa ajili ya Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Ibada hiyo...
  16. Jeshi la Polisi nchini, msimtishe Askofu Mwingira, bali zifanyieni kazi tuhuma nzito alizozitoa

    Jukumu namba moja la Jeshi la Polisi nchini, ni kuwalinda Raia na mali zao. Katika mahubiri aliyoyatoa katika sikukuu ya Krismas, Askofu Mwingira wa kabisa la Efatha nchini, alitoa tuhuma nzito Sana kwa vyombo vya serikali, kuwa alinusurika kuuawa mara 3 na akaendelea kueleza kuwa hata yule...
  17. Zitto adai alichosema Askofu Mwingira kiliwakumba Watanzania wengi wakati wa utawala wa Hayati Dkt. Magufuli

  18. B

    CHADEMA, tunayo ya kujifunza kwa Askofu Tutu

    Elimu haina mwisho na hekima ni kujifunza kutoka kwa wengine: Kutokuwa tayari kujifunza ni kuyakumbatia mawazo mgando: Yetu ni madai ya uwepo wa haki, usawa, uhuru na demokrasia. Kila mwenye hoja hizi ni mwenzetu. Hatuwezi kuwa na marafiki wa kudumu bali agenda. Kwa kila mpambano wa...
  19. R

    Jumanne Muliro aache kupaniki suala la Askofu Mwingira, badala yake asome PGO

    Nimemsikiliza Jumanne Muliro Naona kama amepaniki na tayari anahukumu badala ya kuonesha nia ya kufahamu ukweli anapomwita Askofu Mwingira kufika polisi kufanya mahojiano juu ya kauli yake. Anaonesha wazi kubeba hisia kama si za kidini basi za kujipendekeza kwa wenye mamlaka kama ilivyo kawaida...
  20. B

    Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu

    Wamesikika watumishi wa Mungu wakikemea maovu hadharani. Kasikika Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira na wengi wengine: Maaskofu wataka haki kwa kila mtu Kati ya binadamu na Mola, sifa na heshima zote ni kwa Mola: Wakanwe hadharani hawa wenye kuwakilisha maslahi yao: Vita hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…