askofu bagonza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Ukikosoa chama chako utanyang’anywa kadi na kuitwa majina mabaya yote, CCM iwe imara inahitaji upinzani imara

    Wakuu Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD). Askofu wa dayosisi ya Karagwe. SOMENI BILA SHIDA na SOMENI KWA FURAHA. Niliishasema na ninarudia tena. Someni Bila Shida na Someni kwa Furaha: WAPINZANI ACHENI KUIONEA CCM na CCM IACHE KUJIONEA. 1. Taifa hili bila CCM imara...
  2. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuna watu wanajiita 'Malaika' wakiwa na jambo ukatakiwa utoe ushirikiano, ukikubali umeisha, ukikataa umeisha

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) UKIKUBALI UMEKWISHA; UKIKATAA UMEKWISHA. Jamani tuache utani. Kuna kundi la watu. Ni wanadamu lakini wao hujiiita “malaika wa kibinadamu”. Wakiamua jambo lao wakakujia kutaka utoe ushirikiano wa kulifanikisha, UKIKUBALI UMEKWISHA, UKIKATAA UMEKWISHA...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Nimepokea taarifa kuwa 'Wasiojulikana' watakuja kunimaliza

    Ameandika Baba Askofu Rev.Dr.Banson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe KAMA NI KWELI; WAMEKOSEA: KAMA SI KWELI; WAMEKOSEA Leo 8/5/2025, siku Papa wa 267 (Papa Leo Xiv) amechaguliwa. Ni Mwana Chicago mwenzangu; Mwana Catholic Theological Union (CTU) mwenzangu, na Mwana Augustino...
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Mitume 10 waliuawa kwa upanga, kamba, moto, mikuki. “UKWELI” hajawahi kuwa rafiki yetu, Iwezekane upone haraka Fr. Kitima

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook. NANI ANAFUATA? Je ni hujuma? Kwa Nani? - Kwa Fr. Kitima? -Kwa Nchi yetu? Kwa Rais? Kwa Kanisa Katoliki? -Kwa Ukristo? -Kwa Chama cha Siasa? Kipi? - Kwa Wasiojulikana? -Kwa Kristo: Nabii, Kuhani na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Kama nchi ni yetu sote kwanini watu hawaruhusiwi kwenda kusikiliza kesi ya Lissu Mahakamani?

    Anaandika Mtumishi waMungu: UJINGA WANGU SASA UMEKOMAA Niliamini UHAINI ni kosa kubwa. Neno lenyewe tu, linaogopesha kulisoma, kuliandika na kulitamka. Ni kitendo cha kutaka au kupindua serikali yoyote (halali au haramu). Sasa kuna mtu mmoja katuhumiwa kutaka kutufanyia hayo. Huyu atakuwa ni...
  6. Bhikalamba

    JamiiForums Tanzania Kumekucha! Kumekucha ! Huyu ni Askofu Bagonza

    Ni vyema watawala wetu wakazingatia ujumbe huu mahususi kutoka Kwa mtumishi huyu wa Mungu mwenye maono aliyekataa nira ya watawala. Mtu huru na aliye objective. Nisiwachoshe hebu tumusikie wenyewe
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza :KANISA linakibali kuiambia Dunia, Mateso na Video haifai Tena, watafute Njia nyingine, Kanisa linapofanya hivo haliingilii Siasa.

    Ashangaa, Kanisa likisema "Mnaupiga mwingiiiii' Serikali inakenua meno yooote Kanisa hilohilo likisema "Mnaupiga mchache" Serikali inanuna. Asema, Tusiruhusuifumo Onevu na kandamizi kuendeleza Harakati zao https://youtu.be/_H_J4RBBW0c?si=aTr4zL51ZB0IXjQJ
  8. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza awataka Watanzania kuukataa uzushi wa kuimba wimbo wa amani isiyotokana na haki

    Hakika Askofu Kalikawe Bagonza ametupa jiwe gizani. Na kauli hiyo ni mwiba mchungu kwa wazushi wengi nchini kwetu.
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Kama wanajua alipo na hawasemi ni kosa

    Baada ya taarifa kwa umma iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kulitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Tundu Lissu baada ya viongozi wa chama hicho baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Siku ya usaliti wa Yuda Iskariot, Kujifanya huna upande (neutral) katika mazingira yenye dhuluma na uonevu. Ni usaliti

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) == SIKU YA USALITI WA YUDA ISKARIOT JUMATANO ya mwisho katika kwaresima ndiyo hutukumbusha usaliti wa Yuda Iskarioti kwa Bwana Yesu. Tukisoma Mathayo 26: 14-16, tunasikia Yuda “aliwaendea” wakuu wa Makuhani na kuwauliza wamlipe kiasi gani ili...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Tumvumilie aliyesema atakinukisha kama tulivyomvumilia aliyesingizia kuna Ebola na Mpox

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka, kama waliweza kumvumilia mhaini halisi wanawezeje kuendelea kumshikilia mwingine huku Watanzania wakiona ni mchongo mchana kweupe kabisa? Katika waraka wake, Askofu Bagonza aligusia kuhusu kuvumiliwa kwa Makalla na maisha yakaendelea kutokana kauli yake ya...
  12. Chakaza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Kuiba kura ni uhaini kwa sababu unapindua madaraka ya wananchi

    Ni kuhusu maana halisi ya Uasi na Uhaini. Mnalichukulia kwa urahisi neno hilo ambalo lina adhabu kubwa duniani. Adhabu ya Kifo kisheria. Maneno ya Bagonza yaliyo toholewa kutoka katika andiko lake ni haya; 4. Tuache kuchezea neno “uhaini”. Maneno yanaumba. Tusilizoee maana halizoeleki. Tafsiri...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Tuache kuchezea neno “uhaini” Kupindua serikali ni uhaini lakini tuna wahaini wengiii wanaongoza serikali Afrika na wanalaani uhaini

    RESILIENCE ni USTAHIMILIVU Kwenye 4R za Rais wetu, “R” moja inahusu USTAHIMILIVU yaani kwa Kijaluo, RESILIENCE. Kwa sasa marubani wetu wa nchi, niwasihi zimeni “R” zote, bakizeni RESILIENCE (Ustahimilivu). Naelewa, msalani hatuendi na njaa bado inauma! Naelewa, ngedere wapo wanaocheka msitu...
  14. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza ni zaidi ya Mtumishi, Rais Samia ongeza Mishahara kwa Watumishi Serikali za Mitaa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: CCM dhaifu na upinzani dhaifu ni chanzo cha taifa lililojaa machawa

    Na Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) CHADEMA/UPINZANI, ACHENI KUIONEA CCM. 1. Taifa hili bila CCM imara, litayumba sana. Sina hakika kama bado. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na kubaki salama. 3. CCM dhaifu...
  16. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Musiba acha uchonganishi wako, huyu si Rais wako peke yako kama yule, huyu wetu sote

    NI KWELI KABISA 1. Ni kweli kabisa, Hotuba ya Mh. Rais siku ya Idd ilikuwa na nia njema. 2. Ni kweli kabisa, si wote waliotajwa na Mwanaharakati Huru Musiba, walikuwa wakijibu hotuba hiyo. 3. Ni kweli kabisa, kama kuna waliojibu hotuba hiyo, walifanya kwa nia njema. 4. Na ni kweli kabisa...
  17. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kupoteza mtu ni kutunza amani lakini kulalamika kuwa mtu amepotea ni kuvuruga amani

    Anaandika Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) KUNA MAMBO HAYAKO SAWA Kuna mambo yanayotuunganisha wote bila kujali itikadi, dini, jinsia, kabila, hali ya mtu kiuchumi, ufupi au urefu wa mtu kama mimi. Haya yote yanaunganishwa na neno HAKI au kwa Kijaluo JUSTICE. Kuna mambo 10 hayako sawa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Agenda ya Mageuzi ni ya Taifa zima, isimilikiwe na chama

    Askofu Dkt. Benson Bagonza wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe amesisitiza kuwa ajenda ya mageuzi ni mali ya taifa zima na haipaswi kumilikiwa na chama chochote cha siasa. Akizungumza kuhusu mchango wa Rais Samia katika mageuzi ya taifa, Askofu Bagonza amesema...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makamu Mwenyekiti CCM Stephen Wasira na Askofu Bagonza wakutana na kuteta jambo Karagwe

    WASIRA, ASKOFU BAGONZA WAKUTANA, WATETA KARAGWE Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira na Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza, wamekutana na kuzungumza wilayani Karagwe Mkoa wa Kagera. Wasira na Dk...
  20. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza awajia juu Mwijaku, Makalla asema 'Mnaiunga mkono No Reform, No Election bila kujua'

    Na Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD) JUZI KUFURU; Leo HIJJA au Utalii…halafu JINAI. Wanyambo na Wajaluo wana msemo usemao, “Give me a Break”. Wakisema hivyo wanamaanisha vituko vyako vimezidi, wape muda wapumzike kidogo. 1. Akatoka mmoja juzi. Kamlinganisha rais wetu na Mitume...
Back
Top Bottom